Hayati Magufuli alishatuambia kuwa Rais Samia ana wajomba Oman

Mkuu unanikumbusha hotuba ya Nyerere 1995 pale kilimanjaro hotel akiongea na waandishi wa habari, Aliyefilisika hutafuta uhalali mbele ya watu. Anaposhindwa kujihalalisha kwa jimbo, atajihalalisha kwa mkoa, akishindwa atajihalalisha hata kwa mtaa anaotoka.

Halafu haya mawazo ya kibaguzi yanasikika awamu ya sita wakati ubaguzi wa sisi upande wa huku bara uliota mizizi nyakati za marehemu JPM. Pale wasukuma walipojiona wao ndio kila kitu serikalini na kibaya zaidi wakitaka kunyanyasa watu kisa mtoto wao ndio Rais.

Achana na haya mawazo ya kibaguzi unauumiza tu moyo wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…