johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Sioni tofauti ya shetani na Magufuli, maana shetani ndio Baba wa uongo.Tunakumbushana tu kwamba hayati Magufuli alisitisha ongexeko la mishahara kwa sababu fedha zilielekezwa kwenye ujenzi wa Bwawa la umeme la Stiglers gorge au Nyerere.
Kwa sasa mradi uko mwishoni na fedha zinaelekezwa maeneo mengine.
CCM ni sikivu, hongera Rais Samia.
Alikopa wapi?Yule mzee alikuwa muongo hakuna mfano hela anakopa anatudanganya anajenga kwa hela za ndani
Labda alimkopa yeyeAlikopa wapi?
Acha ushamba wewe. Magufuli alikuwa tatizoTunakumbushana tu kwamba hayati Magufuli alisitisha ongexeko la mishahara kwa sababu fedha zilielekezwa kwenye ujenzi wa Bwawa la umeme la Stiglers gorge au Nyerere.
Kwa sasa mradi uko mwishoni na fedha zinaelekezwa maeneo mengine.
CCM ni sikivu, hongera Rais Samia.
Huo mshahara ukiongezeka uje uniambieTunakumbushana tu kwamba hayati Magufuli alisitisha ongexeko la mishahara kwa sababu fedha zilielekezwa kwenye ujenzi wa Bwawa la umeme la Stiglers gorge au Nyerere.
Kwa sasa mradi uko mwishoni na fedha zinaelekezwa maeneo mengine.
CCM ni sikivu, hongera Rais Samia.
Na mie nasubiri jibu hapa.Awamu ya sita imepokea mradi ukiwa umefika % ngapi? Na ukiwa umechelewa kwa siku ngapi?
Miaka 5 ya kusimamisha ajira na ongezeko la mishahara, mradi gani ulikamilika 100%?
Hayo yalikuwa mawazo ya KISHETANI tu na ndiyo maana Magufuli amenyakuliwa kwenda Jehanam.Tunakumbushana tu kwamba hayati Magufuli alisitisha ongexeko la mishahara kwa sababu fedha zilielekezwa kwenye ujenzi wa Bwawa la umeme la Stiglers gorge au Nyerere.
Kwa sasa mradi uko mwishoni na fedha zinaelekezwa maeneo mengine.
CCM ni sikivu, hongera Rais Samia.
🤣🤣🤣hivi hii nchi bado ujinga wa kiwango hikiAlikopa wapi?
Zilikuwa fedha za mikopo au makusanyo ya kodi??...Tunakumbushana tu kwamba hayati Magufuli alisitisha ongexeko la mishahara kwa sababu fedha zilielekezwa kwenye ujenzi wa Bwawa la umeme la Stiglers gorge au Nyerere.
Kwa sasa mradi uko mwishoni na fedha zinaelekezwa maeneo mengine.
CCM ni sikivu, hongera Rais Samia.
Fedha za ndaniZilikuwa fedha za mikopo au makusanyo ya kodi??...
Kwa hiyo?Tunakumbushana tu kwamba hayati Magufuli alisitisha ongexeko la mishahara kwa sababu fedha zilielekezwa kwenye ujenzi wa Bwawa la umeme la Stiglers gorge au Nyerere.
Kwa sasa mradi uko mwishoni na fedha zinaelekezwa maeneo mengine.
CCM ni sikivu, hongera Rais Samia.
Fedha za ndani hazijapelekwa huko....Fedha za ndani
Alimkopa nani wakati nchi ilifungwa?Yule mzee alikuwa muongo hakuna mfano hela anakopa anatudanganya anajenga kwa hela za ndani