Hayati Magufuli alisitisha ongezeko la mishahara kwa sababu fedha zilielekezwa Bwawa la Nyerere

Watu waliobaki na wanaopenda kutumia maneno kama Mabepari au Mabeberu kwenye Ulimwengu huu ambao ni kama kijiji wanashida kubwa ya akili…Najitahidi sana nisiwaite Wapumbavu.
 
Alimkopa nani wakati nchi ilifungwa?
CCM hii hii ilituambia kwamba kutokana na STAILI ya uongozi wa Magufuli nchi ilinyimwa mikopo.Sasa Magufuli alikopa wapi hilo ni swali la kila mwenye akili TIMAMU.
 
Bahati mbaya hilo hatulikumbuki wala hatuhitaji kulikumbuka kwa sababu jambo hilo hilikumbukiki kwakuwa halikuwepo ... Sisi tunacho kikumbuka ni wizi wa mali ya uma uliokuwepo pamoja na udikteta uchwara

Zaidi ya yote kumbukumbu zilizokuwepo mpaka sasa ni kwamba hakuna serikali iliyopiga hela kwa udanganyifu huku ikiwahadaa wananchi kama serikali ya awamu ya 5

Na kumbukumbu pia zinasema kila alie jaribu kuwastua wananchi juu ya ubadhirifu huo alipotezwa na kuuawa na watu wasiojulikana. Kumbukumbu pia zinasema isingekuwa mkono wa Mungu kuingilia kati leo hii tungekua na hali mbaya sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu waliobaki na wanaopenda kutumia maneno kama Mabepari au Mabeberu kwenye Ulimwengu huu ambao ni kama kijiji wanashida kubwa ya akili…Najitahidi sana nisiwaite Wapumbavu.
Wazungu wenyewe wanatumia manenio haya Capitalists
Shida kubwa watu wanataka anachowaza yeye na mwenzake awaze
Kila mtu ana uhuru wa kuwaza. Kuwaza kuwa unajua zaidi na hujui ni shida pia kubwa ya akili.
 
Wazungu wenyewe wanatumia manenio haya Capitalists
Shida kubwa watu wanataka anachowaza yeye na mwenzake awaze
Kila mtu ana uhuru wa kuwaza. Kuwaza kuwa unajua zaidi na hujui ni shida pia kubwa ya akili.
Hamna suala la mtu kutaka uwaze anachowaza. Ukweli ni kuwa, hayo maisha ya kuhisi eti unawindwa na wazungu kwa zama hizi ni kujipotezea muda wa kufanya mambo yako ya msingi. Tunatengeza Taifa la Paranoids.
Ndio ujinga ule ule wa kusema kuna Face masks zimewekwa Corona ili zituue sisi wa Africa sababu ni matajiri sana.
 
JPM angekataa kupandisha na kuteseka kwa kizingizio cha vita ya Urusi na Ukraine! Kama vile alivyo kataa kuharibu uchumi kwa kisingizio cha covid-19.
Ange sema bei za mafuta na vitu vyote vibaki vile vile, ila sisi tuchape kazi zaidi.
Ange sisitiza kazi zaidi kusudi vita ikiisha tuwauzie hao walio bweteka na kuhangaika kukopa fedha kwa mabeberu! Sasa hayo yanatupata wenyewe. RIP JPM.
 
Shubamiit. Yule mwehu hata umttetee vipi inazidi ulkujiaibisha. Nani kakwambia maisha huwaga yanasimama kwanza kupisha stihlers
 
Hela za mkopo wa biashara zingewezaje kulipa mishahara? Au Samia katudanganya juzi?
 

Nimegundua ukiwa mchungi, basi akili zinakuwa kichungi chungi.
 
Chonde chonde ndugu yangu, imefikia mahali tuachane kabisaa na masuala ya kumlaumu John Magufuli ili kuleta amani katika uchaguzi wa 2025. umezuka mchezo wa kumlaumu magufuli na wengine kumlaumu raisi wetu SSH zote hizi ni hasira zitakazo leta goalmouth melee huko mbele.haya makundi ya kulaumu either JPM au SSH yakiachwa yaendelee yatajenga mpasuko huko mbele na kuashilia mipira ya kona isiyo na refa.Kenya kiliwakuta 2005. Somalia ndiko hakuna mapatano. tujifunze kuvumilia na kupenda maraisi wajao latika soko la demokrasia.mara utasikia Sukuma gang mara msoga gang mwisho wa siku tutakuja singizia mataifa ya ulaya yanatugombanisha kumbe tatizo ni kukosa amri kuu kupita zote isemayo PENDANENI!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…