Hayati Magufuli alisitisha ongezeko la mishahara kwa sababu fedha zilielekezwa Bwawa la Nyerere

Bado wewe unayejiita wa mjini unamkandia JPM? Hata Dar yenyewe kajitahidi kupunguza kero fulanufulani bado unamwita JPM alikuwa mshamba? Kweli wewe ni tatizo!
Sijasema mshamba, nimesema alikuwa ana matatizo yake mengine, ila kwa infrastructure alijitahidi, Magu alikuwa akipenda vitu vizuri vizuri. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni.
 
Hakufanya kazi yoyote zaidi ya kufoka na kuaaambia watu shombo.
 
Limeisha hilo bwawa lenu?
 
Siyo eyapoti ya chato?
 
Fedha za ongezeko la salary na ajira na kupandisha madaraja saizi zimetoka wapi?

Bwawa limesimama kujengwa?

Failures siku zote huwa Wana excuses nyingi Sana.
 
Hakufanya kazi yoyote zaidi ya kufoka na kuaaambia watu shombo.
Mwenzio kapewa tuzo kwa kukubali yule mtangulizi wake kama si yeye hata hiyo tuzo asingepata!,
Soma gezeti la mwananchi la tarehe 26 Mei 2022
 
Yule mzee alikuwa muongo hakuna mfano hela anakopa anatudanganya anajenga kwa hela za ndani
Alikopa wapi nyanooko wewe! Nyie ndiyo wale mafisadi mnalipwa kueneza uongo kwamba JPM alikua hafai, nakuambieni ni ngumu kueleweka kwa waTanzania maana waliona Kwa macho yao kilicholala kiliamka, kilichoanguka kiliinuliwa ..... Acha ushenzi wewe
 
Takataka achà lifilie kwa mbali
 
Hii ilikuwa dhambi mbaya sana. Huwezi kuwaibia watu wachache kwa malengo ya nchi nzima. Ilitakiwa kuchukua pesa za madini au kukuza maisha ya watu ndipo tuwekeze kwenye miradi ya namna hii..

Wizi siyo njia halali ya kuendeleza nchi.
 
magufuli alikuwa mtu mpuuzi. nyongeza ya mishahara ni takwa la kisheria, haliamuliwi majukwaani,
makonda alikuwa mpuuzi pia sikukuu ya may mosi siyo siku ya kuusifu utawala.
TANZANIA ILISHAWAHI KUWA NA RAISI CHIZI. ********
 
Hayati alikuwa anaomba mbali pamoja na vurugu zake. Unaendaje shamba kuanza kulima na kutaka kuvuna kesho yake.
 
Wameondoka wasiojulikana vs panya road.vp hapo nani alitishia usalama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…