Hayati Magufuli alitaka kuiangamiza CHADEMA kwa mabavu, Rais Samia amewapa kamba wajinyonge wenyewe

Tukionee huruma hiki chama cha harakati
Kwa sasa dawa ya kuwamaliza imepatikana

Uhuru walipewa wanadhihirisha mbele ya watanzania kuwa wao ni wahuni na watapuuzwa wakijiangamiza wenyewe.
Hiki sio kizazi cha CCM boss, imeshashindikana kuiua CDM kwa mbinu halali na mbaya. Njia pekee ya kuimaliza CDM ni kuifuta. Ukitaka kujua CDM ndio chenye ushawishi kwa umma, nenda kaangalie kampeni za uchaguzi mdogo wa Mbarali ambapo CDM wamesema hawawezi kushiriki huo upuuzi, ndio utajua CDM ni chama cha aina gani, kwa jinsi kampeni zilivyododa, na utegemee idadi ndogo sana ya wapiga kura kujitokeza hiyo septemba 19, ambao kimsingi ndio wapiga kura wenu, kisha mnaishia kupora uchaguzi.
 
Imekuwa NGO's ya harakati na si chama cha siasa.....

Madhara ya kuwaachia chama WAHUNI wasiodhibitika.....

Tundu Lissu ni wa kumteua kuwa VC?!! [emoji3][emoji3][emoji3]

Mjomba wangu alisoma naye LAW SCHOOL....anasema huyo jamaa ni mjuaji wa kila kitu....huwezi kujadiliana naye jambo akakubali hoja za wengine.....

Alinieleza kuwa amekutana na watata wengi....ila ndg.Tundu alimpa TUZO ya zaidi ya utata wa kawaida wa wanasheria MAHAKAMANI....

Mzee wa "kubadili gia angani" wala hayamuumizi kimaslahi....

Kwani zile alizochota baada ya "askofu mshenga" kumkabili....bado zipo katika akaunti za OFFSHORE.....

Hizo zilikutana na zile alizodibua kwa R.A 2005...

Akina RODNEY wanajichana nazo tu....Mdude kazi kwake [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

#SiempreJMT[emoji7][emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Ukipinga wizi wa kura wa CCM ww sio mwanasiasa bali ni mwanaharakati. Ila ukikubali kuporwa uchaguzi ww ndio mwanasiasa! Hizi ndio tafsiri za akili za kukimbizia mwenge.
 
Jionee harakati za TL....

Kupinga ujenzi wa bwawa la mwalimu JKN kwa kutumia wabunge wa CDU walobby pale BUNDESTAG kuhami mazingira ya TURATHI la Selous[emoji1787][emoji1787]

Ilihali ithibati ya UNESCO ilishatufungulia njia baada ya kutotumia zaidi ya 3% ya eneo lile...

Vuuu puuuu kageukia NGORONGORO....hapa haoni umuhimu wa kuhifadhi turathi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Imekuwa NGO's ya harakati na si chama cha siasa.....

Madhara ya kuwaachia chama WAHUNI wasiodhibitika.....

Tundu Lissu ni wa kumteua kuwa VC?!! [emoji3][emoji3][emoji3]

Mjomba wangu alisoma naye LAW SCHOOL....anasema huyo jamaa ni mjuaji wa kila kitu....huwezi kujadiliana naye jambo akakubali hoja za wengine.....

Alinieleza kuwa amekutana na watata wengi....ila ndg.Tundu alimpa TUZO ya zaidi ya utata wa kawaida wa wanasheria MAHAKAMANI....

Mzee wa "kubadili gia angani" wala hayamuumizi kimaslahi....

Kwani zile alizochota baada ya "askofu mshenga" kumkabili....bado zipo katika akaunti za OFFSHORE.....

Hizo zilikutana na zile alizodibua kwa R.A 2005...

Akina RODNEY wanajichana nazo tu....Mdude kazi kwake [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

#SiempreJMT[emoji7][emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Alisoma na mjomba wako anamkubali kweli kweli.
 
Kama magu alishindwa bi kidude hataweza asilan...
Magu aliwashindwa vipi watu aliwapiga marufuku wasifanye mikutano ya hadhara wakatii, aliwatisha wakatishika wakakimbia nchi, akawapora majimbo yote na viti Maalum akawachagulia Wabunge ?

Wanaharakati wote wa kupinga Serikali na kulilia Katiba mpya walikuwa likizo ya lazima wakati wa Mwamba John Joseph Pombe Magufuli

JPM alikuwa chuma cha Mjerumani kile
 
Magu aliwashindwa vipi watu aliwapiga marufuku wasifanye mikutano ya hadhara wakatii, aliwatisha wakatishika wakakimbia nchi, akawapora majimbo yote na viti Maalum akawachagulia Wabunge ?
Then badaa ya kupora unajua kilichofata...hakuna alichofaidi had leo imebak stor na chadema wapo na bi kidude halali stress in climax...
 
Back
Top Bottom