Ibrah wa kiwira
Senior Member
- May 17, 2023
- 179
- 167
Infact Mimi sio mwanataluma wa uwekezaji.Ukiwa hujaelewa kitu ni vizuri uandishi wake usiwe na maneno ya kujifanya unaelewa unachokiongea.
Hati miliki ya bandari ni mali ya bandari yenyewe, ambayo ni mali ya serikali ya JMT.
DP World anapangishwa magat namba tatu mpaka namba nane.
Mwendeshaji mwingine anayetafutwa muda huu atapangishwa magati namba nane mpaka kumi na moja.
Kuna mwendeshaji mwingine anayetafutwa muda huu kwa ajili ya bandari ya Mbegani Bagamoyo, atapangishwa pia.
Kuna mwendeshaji mwingine anatafutwa muda huu kwa ajili ya bandari ya Tanga, atapangishwa pia.
Hawa ni wapangaji sio wamiliki, sasa hayo masuala ya bandari zetu kuuzwa ni matokeo ya uelewa mdogo wa hao wanaoipinga mipango ya kiserikali.
Rasilimali za Taifa sio bandari, kile ni chombo cha kibiashara. Ni sawa uwe na nyumba kadhaa za kupanga na wakati wewe mwenye nyumba unaishi eneo hilo hilo, unavuta kodi yao kwa mujibu wa mkataba mnaokubaliana na wao wanaendelea kutoa huduma bora za bandari.
Watu wangu wanapotea kwa kukosa maarifa - Biblia Takatifu.
Na Wala sio mwanasheria.
Je wewe unataaluma ipi? Pengine usiwe mtu sahihi katika hoja ya uwekezaji katika bandari au ukawa mtu sahihi. Lakini ni chawa kama chawa wengine hutuwezi tukafikia hatuna nzuri. Maana Kwa uchache tu nimefuatilia mijadara kadhaa inayohusu bandari na Nina maswali yasiyo na majibu.
Kama unataaluma inayoendana na hili nipe nafac nikuulize