1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,201
- 9,529
Kwa Miaka 10 baada ya Dr. Slaa mpaka Sasa hakuna Mtanzania Mwenye Kariba ya Tundu Lisu.
Yule MTU ni habari nyingine Kabisa .
Tatizo la Chadema ni kukosa MTU Wa kutunga será zinazoendana na watanzania .
Chadema isione aibu kumrejesha Dr.Slaa.
Dr. Slaa anaijua sana hii Nchi na ulimwengu Kwa ujumla.
DR. Slaa anajua kucheza na michezo ya Wanasiasa katika propaganda.
Ni kweli Mbowe ni mwanasiasa Mwenye msimamo lakini Hana siasa za kuitandika CCM katika propaganda na Data.
Mbowe ashike Chama lakini Kwa Sasa Afanye Juu chini kumrejesha Dr. Slaa. Lakini Chadema watumie Wingi Wa Wanachama wao kujiimarisha kiuchumi na kuwafund watu Kama akina Mdude na wanaharakati wengine .
Waanze kukusanya Fedha Kwa ajili ya kufidia wahanga Wa kisiasa Ili kumotivate Wanasiasa wengine.
Sioni Kwa nini pasiwe na michango Nchi Nzima Kwa ajili ya kuimarisha chama na pia kuwapa fidia familia kama za kina mwangosi, Akwilini, na Wengineo. Hata kuwapa mil. 5 Kila familia ,itaamsha morali Wa kupigania chama.
Kwa Sasa ni Lazima pawe na watu Wa kupigania Haki Kwa namna yoyote kuelekea 24/25 . Huu ujinga Wa kuwaacha Wezi na wahuni watawale siasa za Tanzania Kwa kuvuruga uchaguzi ufikie mwisho . Mkurugenzi akijaribu kuharibu uchaguzi basi kwake kiwe ni kiyama na anachohongwa asipate nafasi ya kukifaidi Tena. Ndivyo huo ujinga utakapokoma na kurejesha haki na uwajibikaji katika taifa hili.