Hayati Magufuli alitaka kuiangamiza CHADEMA kwa mabavu, Rais Samia amewapa kamba wajinyonge wenyewe

Hayati Magufuli alitaka kuiangamiza CHADEMA kwa mabavu, Rais Samia amewapa kamba wajinyonge wenyewe

Kwa Miaka 10 baada ya Dr. Slaa mpaka Sasa hakuna Mtanzania Mwenye Kariba ya Tundu Lisu.
Yule MTU ni habari nyingine Kabisa .
Tatizo la Chadema ni kukosa MTU Wa kutunga será zinazoendana na watanzania .
Chadema isione aibu kumrejesha Dr.Slaa.
Dr. Slaa anaijua sana hii Nchi na ulimwengu Kwa ujumla.
DR. Slaa anajua kucheza na michezo ya Wanasiasa katika propaganda.
Ni kweli Mbowe ni mwanasiasa Mwenye msimamo lakini Hana siasa za kuitandika CCM katika propaganda na Data.

Mbowe ashike Chama lakini Kwa Sasa Afanye Juu chini kumrejesha Dr. Slaa. Lakini Chadema watumie Wingi Wa Wanachama wao kujiimarisha kiuchumi na kuwafund watu Kama akina Mdude na wanaharakati wengine .
Waanze kukusanya Fedha Kwa ajili ya kufidia wahanga Wa kisiasa Ili kumotivate Wanasiasa wengine.
Sioni Kwa nini pasiwe na michango Nchi Nzima Kwa ajili ya kuimarisha chama na pia kuwapa fidia familia kama za kina mwangosi, Akwilini, na Wengineo. Hata kuwapa mil. 5 Kila familia ,itaamsha morali Wa kupigania chama.
Kwa Sasa ni Lazima pawe na watu Wa kupigania Haki Kwa namna yoyote kuelekea 24/25 . Huu ujinga Wa kuwaacha Wezi na wahuni watawale siasa za Tanzania Kwa kuvuruga uchaguzi ufikie mwisho . Mkurugenzi akijaribu kuharibu uchaguzi basi kwake kiwe ni kiyama na anachohongwa asipate nafasi ya kukifaidi Tena. Ndivyo huo ujinga utakapokoma na kurejesha haki na uwajibikaji katika taifa hili.
 
yaani chama kilichokufa kimemtoa mama pangoni na kuja kutoa masimango hadharani, kwa mfano yani ACT wameshawahi wanyima uzingizi MACCM tulieni ivo ivo, ili dawa ifanye kazi kwa haraka tunatumia sindano tukichoma tu mnatoka kama makenge mapangoni kujibu mashambulizi.
 
Imekuwa NGO's ya harakati na si chama cha siasa.....

Madhara ya kuwaachia chama WAHUNI wasiodhibitika.....

Tundu Lissu ni wa kumteua kuwa VC?!! [emoji3][emoji3][emoji3]

Mjomba wangu alisoma naye LAW SCHOOL....anasema huyo jamaa ni mjuaji wa kila kitu....huwezi kujadiliana naye jambo akakubali hoja za wengine.....

Alinieleza kuwa amekutana na watata wengi....ila ndg.Tundu alimpa TUZO ya zaidi ya utata wa kawaida wa wanasheria MAHAKAMANI....

Mzee wa "kubadili gia angani" wala hayamuumizi kimaslahi....

Kwani zile alizochota baada ya "askofu mshenga" kumkabili....bado zipo katika akaunti za OFFSHORE.....

Hizo zilikutana na zile alizodibua kwa R.A 2005...

Akina RODNEY wanajichana nazo tu....Mdude kazi kwake [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

#SiempreJMT[emoji7][emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Yule ni mbeba maono.
Mbeba maono anazaliwa nayo .
Hawezi kushawishiwa na waovu na wenye maono ya kihalifu na ubinafsi.
Tundu Lisu ni Nabii Wa wakati huu uliojaa dhulma na tamaa kubwa Kwa watawala.

Hata Mohammad au Yesu hawakua na mjadala kwenye kukemea dhambi.
Ukivunja Sheria na Katiba ya Nchi ni Lazima ukutane na Sheria .

Lisu angekua mkaidi bila sababu anekua anagombana na Mwenyekiti wake .
Kumbuka Akina wasira walikua Upinzani lakini hawakua na Adabu mpaka wakampiga Mwenyekiti wao wakati huo ,Mh. Agustino Mrema(R.I.P)

Lisu Hata ukisikiliza Hotuba zake . Hakika huwezi ukamlinganisha na mwanasiasa yeyote hapa Tanzania na Afrika Mashariki na Kati. Na Hata Afrika Nzima hakuna mwanasiasa Wa uwezo Wa Lisu. Hayupo.
Kama unabisha wekeni mdahalo Wa Wanasiasa Wa Vyama vyote mnavyovijua Kwa Lugha ya Kizalendo na ile ya kwenu ya kidalali .
Mtakimbia jukwaa Kwa aibu kubwa.

2025 ni Lisu inyeshe mvua liwake Jua.
 
Tukionee huruma hiki chama cha harakati
Kwa sasa dawa ya kuwamaliza imepatikana

Uhuru walipewa wanadhihirisha mbele ya watanzania kuwa wao ni wahuni na watapuuzwa wakijiangamiza wenyewe.
Hakikisha unapata milo mitatu kabla hujalala. Ona sasa ndoto gani hizi.
 
Magu aliwashindwa vipi watu aliwapiga marufuku wasifanye mikutano ya hadhara wakatii, aliwatisha wakatishika wakakimbia nchi, akawapora majimbo yote na viti Maalum akawachagulia Wabunge ?

Wanaharakati wote wa kupinga Serikali na kulilia Katiba mpya walikuwa likizo ya lazima wakati wa Mwamba John Joseph Pombe Magufuli

JPM alikuwa chuma cha Mjerumani kile
Lakini alikua mzalendo.
Hakuruhusu wezi kuja kupora ardhi ya watanzania.

Watu walikubali JPM.
Hakuruhusu watu kula Mali za umma Kwa sababu ya kamba zao kuwa ndefu.
Alitumia Katiba kudhibiti Wezi na kujenga miundo mbinu. Wengine wanatumia Katiba kuwaleta wajomba zao kuja kupora ardhi Yote ya Tanganyika. Inasaidia nini kuwa na Wananchi wasio na ardhi kwenye Nchi Yao?

Hata Katiba Mpya tungeipata ikiwa Bora sana mana tungekua na watawala wanaoogopa Sheria. Kwa Sasa watawala hawajali Wala hawaogopi Sheria .
 
Tukionee huruma hiki chama cha harakati
Kwa sasa dawa ya kuwamaliza imepatikana

Uhuru walipewa wanadhihirisha mbele ya watanzania kuwa wao ni wahuni na watapuuzwa wakijiangamiza wenyewe.
1694436608278.jpg
mtwara zinarudishwa kadi za chadema!
 
Yule ni mbeba maono.
Mbeba maono anazaliwa nayo .
Hawezi kushawishiwa na waovu na wenye maono ya kihalifu na ubinafsi.
Tundu Lisu ni Nabii Wa wakati huu uliojaa dhulma na tamaa kubwa Kwa watawala.

Hata Mohammad au Yesu hawakua na mjadala kwenye kukemea dhambi.
Ukivunja Sheria na Katiba ya Nchi ni Lazima ukutane na Sheria .

Lisu angekua mkaidi bila sababu anekua anagombana na Mwenyekiti wake .
Kumbuka Akina wasira walikua Upinzani lakini hawakua na Adabu mpaka wakampiga Mwenyekiti wao wakati huo ,Mh. Agustino Mrema(R.I.P)

Lisu Hata ukisikiliza Hotuba zake . Hakika huwezi ukamlinganisha na mwanasiasa yeyote hapa Tanzania na Afrika Mashariki na Kati. Na Hata Afrika Nzima hakuna mwanasiasa Wa uwezo Wa Lisu. Hayupo.
Kama unabisha wekeni mdahalo Wa Wanasiasa Wa Vyama vyote mnavyovijua Kwa Lugha ya Kizalendo na ile ya kwenu ya kidalali .
Mtakimbia jukwaa Kwa aibu kubwa.

2025 ni Lisu inyeshe mvua liwake Jua.
Angalia msukure huyu....

Mbeba maono anakosa busara na hekima?!!!

Mbeba maono huwa mropokaji ,mzushi na mjuba zaidi ya kila mwingine ?!!![emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Tukionee huruma hiki chama cha harakati
Kwa sasa dawa ya kuwamaliza imepatikana

Uhuru walipewa wanadhihirisha mbele ya watanzania kuwa wao ni wahuni na watapuuzwa wakijiangamiza wenyewe.
HeeeeEEEnHeeeeEEE!

Hii yako inastahili kicheko cha dharau!

"CHADEMA wamepewa kamba ya kujinyonga wenyewe"?

Nitawadharau sana CHADEMA kama watapoteza fursa zote hizi zilizotolewa na Samia na kushindwa kuwaondoa CCM madarakani.

Haijalishi, hata CCM watumie njia zote haramu za kutaka kubaki madarakani kwa nguvu, CHADEMA watakuwa ni wajinga kabisa kushindwa kuwaondoa madarakani.

Nitakachokubaliana na wewe ni kuwa, wakishindwa kwa ujinga wao tu, hakuna sabau ya chama hicho kuendelea kuwepo.
 
Tena hivi kuna ruzuku zimeachiwa, machokumchuzi humsogezi kwenye uenyekiti hata hatuwa moja.

Au ujifanye wewe sijuwi unajuwa kuongea sana au una hoja sana kuliko yeye, unakwenda na maji kama walivyoenda kina Zitto, Mkumbo, Slaa na wengineo.
Ukiwa kwenye siku zako unaropoka sana
 
Tukionee huruma hiki chama cha harakati
Kwa sasa dawa ya kuwamaliza imepatikana

Uhuru walipewa wanadhihirisha mbele ya watanzania kuwa wao ni wahuni na watapuuzwa wakijiangamiza wenyewe.
Uchambuzi wa masuala ya siasa una wenyewe. Tangu lini mbwa akachambua siasa?
 
Ndiyo hivyo sasa watu wanaikataa CCM mchana kweupe.
Usidanganywe na hizo video chache. CCM wana uzoefu mkubwa sana wa siasa.

Ukumbuke awamu ya JK kila mtu akajua ndio mwisho wa chama, wakatumwa wazee kina Kinana na Migiro kuiangukia jamii ya wapiga kura.

Iwapo JPM alishinda kwa kishindo sioni namna ambayo Samia anaweza kushindwa, anatekeleza miradi ya marehemu, mmoja baada ya mwingine.

DP World watakapoanza kazi Novemba utayaona mabadiliko makubwa kwenye uchumi mzima wa nchi. Kuna uwezekano bei za bidhaa nyingi zikashuka, tukumbuke kuwa meli zao pekee ndio zitakazohudumia bandari hii ya Dar hivyo kuna gharama watakazozibeba wao ambazo zitakwenda kugusa bei za bidhaa mtaani.

Pia ushushaji na upakiaji wa haraka utakwenda kubadilisha masuala mengi ya kiuchumi ambayo kwa sasa bado ni mzigo.
 
Tukionee huruma hiki chama cha harakati
Kwa sasa dawa ya kuwamaliza imepatikana

Uhuru walipewa wanadhihirisha mbele ya watanzania kuwa wao ni wahuni na watapuuzwa wakijiangamiza wenyewe.
Wote wanaoshabikia CCM ni kwa sababu ya akili ndogo.
 
Tukionee huruma hiki chama cha harakati
Kwa sasa dawa ya kuwamaliza imepatikana

Uhuru walipewa wanadhihirisha mbele ya watanzania kuwa wao ni wahuni na watapuuzwa wakijiangamiza wenyewe.
When the actions of sneezing, yawning and fart, and all of them happened at once to a person ndipo anakuwa na mawazo mgando kama haya.

Hali hii usababishwa na mtu kutumia kwa walati mmoja lishe ya chale nzima ya ndizi mbivu, akashushia glasi ya maziwa ya mgando, kisha akatwanga yai la kuchesha, akashushia supu ya utumbo wa mbuzi, kisha kipande cha papai, klatokoñezea supu ya ngisi kwa kuchanganya na kichuri, kisha akapiga "Energy" na hatimaye kumalizia na kushushia lita kadhaa za pombe ya kiemyeji.
 
Tukionee huruma hiki chama cha harakati
Kwa sasa dawa ya kuwamaliza imepatikana

Uhuru walipewa wanadhihirisha mbele ya watanzania kuwa wao ni wahuni na watapuuzwa wakijiangamiza wenyewe.
Mbona hujaainisha huo uhuni wao, pia nashaur CCM wafute vyama vya upinzani ibaki CCM tu. Naona upinzani unawarugia san michongo yenu!!
 
Back
Top Bottom