Hayati Magufuli alitaka kuiangamiza CHADEMA kwa mabavu, Rais Samia amewapa kamba wajinyonge wenyewe

Then badaa ya kupora unajua kilichofata...hakuna alichofaidi had leo imebak stor na chadema wapo na bi kidude halali stress in climax...
Hoja ni kuwa walitii maelekezo yake au laa, aliwanyoosha au laa, Mbowe aliufyata hata kusema tu kuwa Akaunti zake zilipigwa pin aliogopa na kaja kusema miezi kadhaa baada ya Mwamba kuondoka? suala la kifo lipo kwa kila mtu na tofauti yetu ni muda na chanzo tu
 
Naona unajichekesha mwenyewe mpaka unatoa hewa chafu
 
Tukionee huruma hiki chama cha harakati
Kwa sasa dawa ya kuwamaliza imepatikana

Uhuru walipewa wanadhihirisha mbele ya watanzania kuwa wao ni wahuni na watapuuzwa wakijiangamiza wenyewe.
Punguza makasiriko
Chadema inawaumiza kichwa
Kwa ushauri next time usije humu kujaza server.. iko hivi Uhuru wa mikutano maandamano kukosoa utawala hatuhitaji hisani ya mtu ni ruksa kwa mujibu wa Katiba
 
Then badaa ya kupora unajua kilichofata...hakuna alichofaidi had leo imebak stor na chadema wapo na bi kidude halali stress in climax...
kishawapa jibu la jumla nyie na mawakala wenu

'…hakuna cha Waraka wala hati miliki …lila mtu ana haki sawa sawa kwny Nchi hii…' waliohongwa na kutoa Waraka na kusambazwa ili kulinda ufisadi wa Bandarini sasa hivi pumzi zimekata wamebaki kulaumiana tu

sasa hivi wamebaki kutetea kwanini Mabilioni wanayopokea kila mwezi kuendesha Taasisi zao yasisitishwe kwa kuwa tayari wana uwezo wa kujiendesha na huduma wanazotowa hakuna ya bure?

Ada ya Shule 4 million na bado unapokea ruzuku za Wizara ya Elimu, Hospital zako huduma zote unalipisha wateja kwa bei ya soko na bado unapewa ruzuku?

Tunashauri Serikali ilete mdahalo hadharani na hata Jamii ya Walipa kodi ijue hili na ifanye maamuzi kama iendelee au laa!


Ada ya Mamilioni, Ikitaka kuongeza darasa hawaendi kuchukua Mkopo au kutenga sehenu ya ada kujengea badala yake wanakusanya michango ya w
 
Hivi sasa wamesahau hoja ya bandari kuuzwa, wanakuja na video zinazoonyesha wamasai wakirudisha kadi za CCM.
Siyo wamasai tu wanarudisha kadi,kila pembe ya nchi sasa kadi zinarudishwa hivi unajua kwa nini huyo bimkubwa wenu anaropoka kama amekunywa maji machafu? Chama kinamfia mikononi.
 
Tukionee huruma hiki chama cha harakati
Kwa sasa dawa ya kuwamaliza imepatikana

Uhuru walipewa wanadhihirisha mbele ya watanzania kuwa wao ni wahuni na watapuuzwa wakijiangamiza wenyewe.
Mkuu siasa sio CHUKI...
CHADEMA ni Watanzania wenzenu.
Ni ushamba kuchukuiaba kwa itikadi za siasa..
 
Siyo wamasai tu wanarudisha kadi,kila pembe ya nchi sasa kadi zinarudishwa hivi unajua kwa nini huyo bimkubwa wenu anaropoka kama amekunywa maji machafu? Chama kinamfia mikononi.
Kuendesha nchi kunataka msimamo, wajinga ni wengi sana Tanzania na wanataka wawe na sauti siku zote, haendeshi bar au maskani ya wavuta bangi anaendesha nchi.
 
Kimeishia wapi chuma cha mjerumani?
 
Kimeishia wapi chuma cha mjerumani?
Kimefariki kikiacha legacy kubwa sana ambayo haipiti siku bila ya jina lake kutajwa mara zaid ya 10 humu JF seuze mitaani

Mtu akionewa na wenye pesa na madaraka lazima amkumbuke JPM

wanasiasa wakianza blaa blaa za Katiba mpya ili wapige pesa kwny vikosi kazi lazima akumbukwe JPM

Umeme ukikatika anakumbukwa JPM

hii ndio maana ya Chuma cha Mjerumani …umeelewa ?

Wee ulidhani maana ya Chuma cha Mjerumani maana yake hafi?
 
Reactions: Cyb
Tena hivi kuna ruzuku zimeachiwa, machokumchuzi humsogezi kwenye uenyekiti hata hatuwa moja.

Au ujifanye wewe sijuwi unajuwa kuongea sana au una hoja sana kuliko yeye, unakwenda na maji kama walivyoenda kina Zitto, Mkumbo, Slaa na wengineo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…