#COVID19 Hayati Magufuli alitia sumu masuala ya chanjo, Serikali nywesheni maziwa

Magufuli kwa ushamba wake na kukosa exposure alijikuta anachafua hali ya hewa kuhusu chanjo. Alikuwa na imani duni kuhusu masuala ya chanjo.
Hali hiyo imechangia sana wananchi wamekuwa wakipuuza chanjo kwa imani potofu. Wananchi wengi wanaamini chanjo ni mpango wa kibeberu kuwaangamiza waafrika.

Serikali ya mama ina kazi ya kufanya kuondoa sumu aliyotia Magufuli
Unchosema ñi kweli, collateral damage ya kauli naaamuzi ya Magufuli ni mbaya sana na itakwenda vizazi na vizaz.

Yale magonjwa kama Polio na Ndui tuliyokuwa tumeyatokomeza miaka ya 197Os na 1990s yatarudi tu
 
Labda hujanipata ipasavyo.

Narudia tena kwa herufi kubwa:

CHANJO ZA CORONA NI UCHAFU WENYE SUMU.

Kwa tafsiri ya kizungu ninamaanisha hivi:

CORONA VACCINES ARE TOXIC RUBBISH.

Kwa kikerewe:

ICHANJO YA CORONA IS TOXIC GARBAGE.
Wewe ni kichaaaaa
 
Ongoza familia yako mkachanje, za wenhine waachie wao!

Inakuhusu nini wao wasipochanja? Vinginevyo unamuonea tuu JPm kwa sababu ambao wameikataa hiyo chanjo ndio wenye akili kuliko wewe
 
Magufuli kwa ushamba wake na kukosa exposure alijikuta anachafua hali ya hewa kuhusu chanjo. Alikuwa na imani duni kuhusu masuala ya chanjo.
Hali hiyo imechangia sana wananchi wamekuwa wakipuuza chanjo kwa imani potofu. Wananchi wengi wanaamini chanjo ni mpango wa kibeberu kuwaangamiza waafrika.

Serikali ya mama ina kazi ya kufanya kuondoa sumu aliyotia Magufuli
Wewe ndiye mshamba usiyejielewa. Magu alikuwa anatoa reasons za kisayansi za kwa nini haziamini chanzo hizo.

Lakini elewa JPM aliaminiwa na waTz kwa asilimia kubwa sana. Na kwa kuaminika huko ndiyo maana unaona waliyochanjwa hadi sasa hawajafikia 20%
 
Alikuwa mshamba sana. Chanjo za surua, pepopunda, ndui n.k tumechanjwa hao wazungu walishindwa kuweka hizo sumu zao?
Madawa karibu yote tunaagiza nje, kwa nini wasiweke hizo sumu? Nguo pia?

vyakula, mfano ngano , mafuta, kumbe inatoka Ukraine, si wangeweka hizo sumu?

Ila ana wafuasi wengi waliomuamini,
Chanzo hizo za surua, ndui, pepopunda nk ziligunduliwa baada ya mda gani?
 
Unchosema ñi kweli, collateral damage ya kauli naaamuzi ya Magufuli ni mbaya sana na itakwenda vizazi na vizaz.

Yale magonjwa kama Polio na Ndui tuliyokuwa tumeyatokomeza miaka ya 197Os na 1990s yatarudi tu
nimeandika haya kwa sababu kuna jamii imeanza kukataa kila chanjo. kuna chanjo mpaka zinaisha muda wake watu hawataki kuchanja. Hawa wanaopinga ndio akili kama za jiwe
 
Leo ndiyo umegundua Magufuli alikuwa na wafuasi wengi?

Si umtume muolewa Ubelgiji Lisu akawape elimu hao wananchi
 
Magufuli kwa ushamba wake na kukosa exposure alijikuta anachafua hali ya hewa kuhusu chanjo. Alikuwa na imani duni kuhusu masuala ya chanjo.
Hali hiyo imechangia sana wananchi wamekuwa wakipuuza chanjo kwa imani potofu. Wananchi wengi wanaamini chanjo ni mpango wa kibeberu kuwaangamiza waafrika.

Serikali ya mama ina kazi ya kufanya kuondoa sumu aliyotia Magufuli
Chanjo ni tatizo, waliochanja wote tegemea mabadiliko makubwa ya akili zao na mambo mengne.

Nilizika jamaa yangu aliechanja Kwa kufuata msimamo wa KISIASA wa mkt wa ufipa juu ya chanjo DAMU iliganda.

Ogopa sana CHANJO ambayo unaambiwa kbs litakalokupata Serikali hawahusiki Kwa madhara yoyote yatayosababishwa na dude Hilo.

CORONA ingeanza Wakt huu wa waramba asali chomoto tungekiona bt Mungu ni Mwema. Amen
 
Serikali ya mama ina kazi ya kufanya

Attachments

  • 1C2E2114-CF66-4F68-9D59-8E5B617AA249.png
    1C2E2114-CF66-4F68-9D59-8E5B617AA249.png
    96.1 KB · Views: 7
  • 56B8B491-9BB4-48FD-AC08-FD825B6E5E1F.png
    56B8B491-9BB4-48FD-AC08-FD825B6E5E1F.png
    47.6 KB · Views: 6
  • 5A40F2AB-84C7-41C8-8638-CA17F0FAE4DF.png
    5A40F2AB-84C7-41C8-8638-CA17F0FAE4DF.png
    96.1 KB · Views: 7
Aliyechanja hatoruhusiwa kufanya Blood Donation. Haruhusiwi kuchangia Damu.

Jiulize wameweka nn ndani ya miili ya watu.

Watawala msipokuwa na huruma na waliowachagua,

Adhabu Kutoka Kwa Mungu inawahusu. Amen
 
Back
Top Bottom