#COVID19 Hayati Magufuli alitia sumu masuala ya chanjo, Serikali nywesheni maziwa

#COVID19 Hayati Magufuli alitia sumu masuala ya chanjo, Serikali nywesheni maziwa

Ogopa sana CHANJO ambayo unaambiwa kbs litakalokupata Serikali hawahusiki Kwa madhara yoyote yatayosababishwa na dude Hilo.

Kuna manyumbu hayaelewi hii kitu.

Ati chanjo ni salama! Thubutu yao!!

Unadungwa kitu zito halafu serikali inakwambia HAIHUSIKI.
 
Kuna manyumbu hayaelewi hii kitu.

Ati chanjo ni salama! Thubutu yao!!

Unadungwa kitu zito halafu serikali inakwambia HAIHUSIKI.

Hapo hata ukiwa NYUMBU unatakiwa UAMKE uanze kufikiri vizuri kama nyumbu mwenye utashi.
Kwenye habari ya chanjo mbona MAKADA wengi CDM walipojua msimamo wa mkt wa CDM Abt chanjo walitumia akili zao kuikataa.

Alibaki mwenyewe mkt, hata Lisu kwenye campaign alipuuza.
 
Hayati Magufuli kwa ushamba wake na kukosa exposure alijikuta anachafua hali ya hewa kuhusu chanjo. Alikuwa na imani duni kuhusu masuala ya chanjo.

UKIWEZA FUTA MANENO HAYA, KUENZI MAZURI ALIYOFANYA KWA KIPINDI KIFUPI KUPITA RAISI YOYOTE TANGU KUWAPO KWA TANZANIA. NA HATA TOKEA
 
Alikuwa mshamba sana. Chanjo za surua, pepopunda, ndui n.k tumechanjwa hao wazungu walishindwa kuweka hizo sumu zao?
Madawa karibu yote tunaagiza nje, kwa nini wasiweke hizo sumu? Nguo pia?

vyakula, mfano ngano , mafuta, kumbe inatoka Ukraine, si wangeweka hizo sumu?

Ila ana wafuasi wengi waliomuamini,
Kwani na nyie machadema hamtaki chanjo?

Katengeni matkle machanjwe mama ameshawaletea chanjo!

Mbona mnakuwa kama mna funza vichwani?
 
The zombification process is going on.
Kuelekea Uandikwaji wa KATIBA mpya, vyama vya Siasa VIDHIBITIWE kuegemea sana UMAGHARIBI Ili tukatae tamaduni zao zisiharibu tamaduni zetu.

CDM ktk suala la CORONA ilishikamana na matapeli.

CDM isiegemee sana huko maana vyama hivi vyenye kudai DEMOKRASIA isiyo na mipaka duniani ndo vinatetea USHOGA iwe HAKI ya binadamu na Utoaji mimba nk.

Kwa Habari ya CORONA, Magufuli alikuwa NABII.

Na alituvusha Kwa msaada wa Mungu. Amen
 
Hayati Magufuli kwa ushamba wake na kukosa exposure alijikuta anachafua hali ya hewa kuhusu chanjo. Alikuwa na imani duni kuhusu masuala ya chanjo.

Hali hiyo imechangia sana wananchi wamekuwa wakipuuza chanjo kwa imani potofu. Wananchi wengi wanaamini chanjo ni mpango wa kibeberu kuwaangamiza waafrika.

Serikali ya mama ina kazi ya kufanya kuondoa sumu aliyotia Magufuli
Tundu Lisu amechanjwa lakini yuko karantini kea uviko huo huo
 
Sasa mbona tukiwambia Magu ana wafuasi wengi mnaanza kulia?

Maana kama nchi nzima wamechanja watu wasiozidi milio 1.5 hilo nyomi lingine linalobaki ni wafuasi wa Magufuli.

Yani hata mabavicha yyenyewe yanafuata misimamo ya Magu
 
nimeandika haya kwa sababu kuna jamii imeanza kukataa kila chanjo. kuna chanjo mpaka zinaisha muda wake watu hawataki kuchanja. Hawa wanaopinga ndio akili kama za jiwe
Unfajisikiaje sasa jiwe kuwa na wafuasi wengi kiasi hiki?

Maana kwa mtazamo wako huu hata nyie machadema mnaziishi kauli za jiwe za kutokuchanjwa
 
Ni kipi ambacho kingefanya chanjo nyingine kuwa salama na za Corona zisiwe salama kwa mujibu wa Magufuli
Muda wa kurasmishwa siyo wa kiufanisi na kampuni kibao eti zote ziligundua chanjo. Mbona chanjo za surua tunapata na hata wagonjwa hatutengani nao 😁😁 eti hili la covid mara udungwe kwa phase 2, mara sinopham ndo imara mara jonson jonson 😂😂 huu mwili siyo wa majaribio
 
Labda hujanipata ipasavyo.

Narudia tena kwa herufi kubwa:

CHANJO ZA CORONA NI UCHAFU WENYE SUMU.

Kwa tafsiri ya kizungu ninamaanisha hivi:

CORONA VACCINES ARE TOXIC RUBBISH.

Kwa kikerewe:

ICHANJO YA CORONA IS TOXIC GARBAGE.
Hapo mwsho 😂😂😂

Ichanjo ya corona ni bhurofu
 
Hayati Magufuli kwa ushamba wake na kukosa exposure alijikuta anachafua hali ya hewa kuhusu chanjo. Alikuwa na imani duni kuhusu masuala ya chanjo.

Hali hiyo imechangia sana wananchi wamekuwa wakipuuza chanjo kwa imani potofu. Wananchi wengi wanaamini chanjo ni mpango wa kibeberu kuwaangamiza waafrika.

Serikali ya mama ina kazi ya kufanya kuondoa sumu aliyotia Magufuli
Yule na uzwazwa wake yuko wapi sasa?

Chanjo inaendelea vizuri kabisa 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220708-150206.png
    Screenshot_20220708-150206.png
    234.3 KB · Views: 7
  • Screenshot_20220708-150235.png
    Screenshot_20220708-150235.png
    48.3 KB · Views: 5
Back
Top Bottom