Hayati Magufuli alivyomponza Mfugale mpaka akafa kwa presha

Lakini mbona hizi mada zinafundisha sana na watu wataelewa kuwa kufanya kama Magufuli sio vizuri na kumtegemea mwanadamu kama walivyo fanya Mfugale, Makonda, Sabaya nk pia sio jambo jema katika maisha.
Hongera sana mnaoleta hizi mada maana mnaiponya nchi kwani wenye madaraka akiwemo mama hawawezi kuyarudia makosa hayo

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Hapana si kweli...
Mi nimepitia baada yakuona wapumbavu na wajinga wakuteseka na marehem.
Kwale watu wa Dini wanasema wanamuachia Mungu.
Sasa kindalage kama mtoa mada na wenzake bado wanaleta nyuzi za kipopoma na kindezi kama hizi ni kukosea heshma Jf ilio jaa Greatthinker
 
Kuiponya Nchi si kwakuleta Nyuzi Nyaa kama hizi.
Nchi inaponywa kwa kuchagua viongozi bora na sio kuhadaiwa kura yako kwa Doti za Kanga na kofia.
Afu Maguful ni marehem ambae tunajua anajibu kwa Muumba wake.
Sasa sisi wazee wa kuomba Mungu na watu wajinga bado still tunawazia eti Magufuli.Na huku nchi ikipitia msoto wa Jua kali na ukame.
Wale Ma motivitonal Leader probably wana insult about the Past and poor mind is think and blame all the time.
 
Ukweli ni kuwa magufuli ni shujaaa hawez kusaulika alikuwa mzalendo wa kweli acha apumzike na circke nzima taifa halitakuja kumsahau
Shujaa hapotezi watu tena vijana wadogo watafutao maisha ya family zao kama Saanane, Azory nk. Haagizi mauaji kwa mbunge msema kweli mchana peupe hadi Mungu anakataa kabisa na hafi.
Huo sio ushujaa, shujaa anajitokeza na sio kufanya uovu kwa siri.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Kupoteza mmoja mmoja kwa ajili ya Taifa hakuna shida.
Ni ni bora kugonga Bodaboda mmoja kwa ajili ya kunusuru ajali ya buss na kuua abiria wote.
 
Magufuli pia ameponza watu wengi wafe kwa presha.
Kuna huyu mnyaturu alitekuwa na kampuni ya full time security. Magufuli walimchukulia hela zake zote jamaa akashikwa na stroke. Isingekuwa ndugu zake mamtoni kumpiga jeki angeshakufa zamani. Na siye huto tu wengi sana wameporwa hela zao halafu eti kina Crimea Shujaa shujaa. Shujaa mafiiiii Yako?
 
Aisee kumbe Mfugale alishafariki kama Magufuli! Kweli washirika wa karibu wa Magufuli walikuwa wamejishika na makali kasoro mama mmoja tu yeye alishika mpini la sivyo angekuwa anaisaidia Polisi sasa hivi.
 
History ni mwalimu mzuri
 
Kwahiyo hutaki asemwe sio!
 
Ni Watu wenye ufahamu tu ndio walioona madhila ya Magufuli wengine wengi walikuwa wamelishwa Propaganda kama hao uliowataja.
 
Naona bado anakubutua hata baada ya kufa
 
Kwahiyo tusimzungumzie Hitler wala gestapo yake kisa wamelala milele na tutajaza seva za mitandao ya kijamii.
 
Ni Watu wenye ufahamu tu ndio walioona madhila ya Magufuli wengine wengi walikuwa wamelishwa Propaganda kama hao uliowataja.
Magufuli alikuwa mbaya kwa wapumbavu, wajinga, mafisadi na wapinzani koko pekee
 
Kwahiyo hukumu ya Mpumbavu na Mpinzani koko ni kuuwawa?
Kuuwa mpumbavu mmoja ili wapone mamia siyo mbaya, hiyo ipo dunia nzima!

Hako ka saa 8 kailikuwa kapumbavu sana,! Na tulikaonya hakakusikia.

Mtu ameshakuwa rais, wew na utaahir wako eti umekomaa unahoji sijui phd imejambia pemba ushuzi ukatokezea kagera! Kwa hiyo aache majukumu ya urais aanze kujibizana na ujinga wako?

Hata ni mimi nakupoteza tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…