Mateso chakubanga
JF-Expert Member
- May 10, 2021
- 587
- 800
Mapigano yapigwe Goma wewe ujifiche Kicar
woga gani sasa huo
woga gani sasa huo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh vc cyIlibaki kidogo asababishe kifo cha kiongozi mmoja kwa kumlazimisha afanye press kudanganya haumwi hili hali kovidi ilikua imemkaba akaanza kukohoa hadi kamera zikazimwa upesi, behind the scene akarudishwa kwenye mtungi wa oxygen kumnusuru.
Lakini mbona hizi mada zinafundisha sana na watu wataelewa kuwa kufanya kama Magufuli sio vizuri na kumtegemea mwanadamu kama walivyo fanya Mfugale, Makonda, Sabaya nk pia sio jambo jema katika maisha.Mtateseka sana na Magufuli lihali yeye kashalala kwenye usingizi wa maisha.
Mods nyuzi kama hizi nikujaza Sever utumbo na mavi.
Leo hao wote ni marehem sasa uzi huu una faida gani kwa hivi leo...???
Magufuli amekuwa wimbo kah.
Kwani shida iko wapi...???
Mods nipeni kitengo cha Ban niwalambe majinga jinga kama huyu mtoa hoja.
Hapana si kweli...Hii nyuzi isingekuwa ya maana basi hata wewe usingechangia. Ungesoma na kusepa tu. Lakini umechangia na wengine wanachangia. Kuongea uovu wa Magufuli ni kuitendea haki Tanzania yetu ili baadaye tusije tukazembea tukaleta tena mtu wa HOVYO na MSHAMBA kama Magufuli
Kuiponya Nchi si kwakuleta Nyuzi Nyaa kama hizi.Lakini mbona hizi mada zinafundisha sana na watu wataelewa kuwa kufanya kama Magufuli sio vizuri na kumtegemea mwanadamu kama walivyo fanya Mfugale, Makonda, Sabaya nk pia sio jambo jema katika maisha.
Hongera sana mnaoleta hizi mada maana mnaiponya nchi kwani wenye madaraka akiwemo mama hawawezi kuyarudia makosa hayo
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Shujaa hapotezi watu tena vijana wadogo watafutao maisha ya family zao kama Saanane, Azory nk. Haagizi mauaji kwa mbunge msema kweli mchana peupe hadi Mungu anakataa kabisa na hafi.Ukweli ni kuwa magufuli ni shujaaa hawez kusaulika alikuwa mzalendo wa kweli acha apumzike na circke nzima taifa halitakuja kumsahau
Neno mtaalam umempa cheo, ni ndondocha tu huyoHahaha.. wewe mtaalam wa kutunga sana. Kamba zako zitafunga wasio jua mambo..a.k.a walio join JF kwa bahati mbaya.
Kupoteza mmoja mmoja kwa ajili ya Taifa hakuna shida.Shujaa hapotezi watu tena vijana wadogo watafutao maisha ya family zao kama Saanane, Azory nk. Haagizi mauaji kwa mbunge msema kweli mchana peupe hadi Mungu anakataa kabisa na hafi.
Huo sio ushujaa, shujaa anajitokeza na sio kufanya uovu kwa siri.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Kuna huyu mnyaturu alitekuwa na kampuni ya full time security. Magufuli walimchukulia hela zake zote jamaa akashikwa na stroke. Isingekuwa ndugu zake mamtoni kumpiga jeki angeshakufa zamani. Na siye huto tu wengi sana wameporwa hela zao halafu eti kina Crimea Shujaa shujaa. Shujaa mafiiiii Yako?Magufuli pia ameponza watu wengi wafe kwa presha.
Aisee kumbe Mfugale alishafariki kama Magufuli! Kweli washirika wa karibu wa Magufuli walikuwa wamejishika na makali kasoro mama mmoja tu yeye alishika mpini la sivyo angekuwa anaisaidia Polisi sasa hivi.Pamoja na mapungufu yake Magufuli alikuwa na sifa moja, akikupenda na kukuamini utakula mema ya nchi na atakulinda, hakuwa kigeugeu ila akikuchukia imekula kwako.
Hakuwa mnafiki kujifanya anakupenda wakati hakupendi,
Marafiki zake walimpenda kwa hilo walijiaminisha kuwa atawalinfa milele kwa lolote ambalo lingetokea wakasahau maandiko matakatifu kuwa amelaaniwa amtumainiaye mwanadamu.
Mmoja kati ya marafiki wa Magufuli alikuwa bwana Mfugale. Kiasili huyu bwana hakuwa fisadi, alikuwa mtu msafi ndio maana Magufuli alimpenda.
Mara kadhaa aliomba kustaafu ila alikataliwa na Magufuli maana kama nguvu alikuwa nazo na bado Taifa lilihitaji msaada wake.
Tatizo likaja ni kuwa Magufuli alifanya Tanroads kama kampuni yake kupatia humo akatengeneza madili mengi sana na akaipa kazi zisizokuwa za kwake kiasili, mfano usimamiaji na ununuzi wa mitambo ya kiwanda cha sukari Mkulazi cha mkoani Morogoro. Hii kazi ilipaswa kusimamiwa na TAMESA ila ikaagiea Tanroads waifanye, bilioni 68 zikapotea kimiujiza.
Pili uwanja wa ndege wa Chato uliotakiwa kusimamiwa na mamlaka ya viwanja vya ndege nchini jukumu hilo akapewa Tanroads ya Mfugale.
Bajeti ya awali ya uwanja ilikuwa sh bilioni 17.79 lakini mpaka uwanja unakamilika ilitumika bilioni 52.32 mara tatu ya bajeti, kiasi cha zaidi ya bilioni 34.
Nani angethubutu kuhoji matumizi hayo mbele ya John Pompeo.
Miezi michache baada ya Magufuli kufariki ndio mamlaka husika zikaanza kuimulika na kuomba ufafanuzi wa matumizi ya Tanroads.
Madudu yaliyoibuliwa huko ni mengi sana, yalikuwa yanaenda kuharibu heshima ya mzee Mfugale aliyoijenga kwa miaka mingi.
Siku chache kabla ya Mfugale kufariki iligundulika kuwa Tanroads ilifanya malipo mara mbili kwa kampuni fulani ya ujenzi kwa kazi moja yaani double payment.
Mzee wa watu akaingia kwenye sonona akajilaumu bora angestaafu mapema akalea wajukuu kuliko kuingia kwenye kashfa ambazo alikuwa tu akipokea maelekezo toka kwa mwendazake.
Sonona inaua akafa kwa presha na masikitiko moyoni
RIP Mfugale
History ni mwalimu mzuriMtateseka sana na Magufuli lihali yeye kashalala kwenye usingizi wa maisha.
Mods nyuzi kama hizi nikujaza Sever utumbo na mavi.
Leo hao wote ni marehem sasa uzi huu una faida gani kwa hivi leo...???
Magufuli amekuwa wimbo kah.
Kwani shida iko wapi...???
Mods nipeni kitengo cha Ban niwalambe majinga jinga kama huyu mtoa hoja.
Kwahiyo hutaki asemwe sio!Mtateseka sana na Magufuli lihali yeye kashalala kwenye usingizi wa maisha.
Mods nyuzi kama hizi nikujaza Sever utumbo na mavi.
Leo hao wote ni marehem sasa uzi huu una faida gani kwa hivi leo...???
Magufuli amekuwa wimbo kah.
Kwani shida iko wapi...???
Mods nipeni kitengo cha Ban niwalambe majinga jinga kama huyu mtoa hoja.
Ni Watu wenye ufahamu tu ndio walioona madhila ya Magufuli wengine wengi walikuwa wamelishwa Propaganda kama hao uliowataja.Kuna huyu mnyaturu alitekuwa na kampuni ya full time security. Magufuli walimchukulia hela zake zote jamaa akashikwa na stroke. Isingekuwa ndugu zake mamtoni kumpiga jeki angeshakufa zamani. Na siye huto tu wengi sana wameporwa hela zao halafu eti kina Crimea Shujaa shujaa. Shujaa mafiiiii Yako?
Naona bado anakubutua hata baada ya kufaKuna huyu mnyaturu alitekuwa na kampuni ya full time security. Magufuli walimchukulia hela zake zote jamaa akashikwa na stroke. Isingekuwa ndugu zake mamtoni kumpiga jeki angeshakufa zamani. Na siye huto tu wengi sana wameporwa hela zao halafu eti kina Crimea Shujaa shujaa. Shujaa mafiiiii Yako?
Kwahiyo tusimzungumzie Hitler wala gestapo yake kisa wamelala milele na tutajaza seva za mitandao ya kijamii.Mtateseka sana na Magufuli lihali yeye kashalala kwenye usingizi wa maisha.
Mods nyuzi kama hizi nikujaza Sever utumbo na mavi.
Leo hao wote ni marehem sasa uzi huu una faida gani kwa hivi leo...???
Magufuli amekuwa wimbo kah.
Kwani shida iko wapi...???
Mods nipeni kitengo cha Ban niwalambe majinga jinga kama huyu mtoa hoja.
Magufuli alikuwa mbaya kwa wapumbavu, wajinga, mafisadi na wapinzani koko pekeeNi Watu wenye ufahamu tu ndio walioona madhila ya Magufuli wengine wengi walikuwa wamelishwa Propaganda kama hao uliowataja.
Nimebaki kucheka tuNaona bado anakubutua hata baada ya kufa
Kwahiyo hukumu ya Mpumbavu na Mpinzani koko ni kuuwawa?wapumbavu, wajinga, mafisadi na wapinzani koko pekee
Kuuwa mpumbavu mmoja ili wapone mamia siyo mbaya, hiyo ipo dunia nzima!Kwahiyo hukumu ya Mpumbavu na Mpinzani koko ni kuuwawa?