Hayati Magufuli alivyomtimua mpishi wa Ikulu usiku baada ya kuzidisha chumvi kwenye chakula

Comrade Andrew mzee wa "code ngumu" hapa mdukuzi katoka kapa!

Anyway msalimie Bibi Maria N. Tunamtakia afya njema.
 
Huyo jamaa alikuwa na laana, nakumbuka alimfukuza mtunza tausi kisa tu JK alimchomekea kwa utani kwamba tausi hawaongezeki.

Huyo mtu ana laana, ndio maana mvua hainyeshi, labda Mungu kaamua kumuunguza na ardhi kabla ya moto
Hii chuki ndio inafanya chedema msichukue dola
 
Nonsense
 
JPM alikuwa na matatizo flani ya kisaikolojia. Ilikuwa vigumu mno kuishi na mtu hasa yeye akiwa boss, utaipata. Viongozi wengi akiwemo makamu wake wa rais waliishi kwa hofu sana manake siku akiamka vibaya tu umekwenda hata kama hakuna sababu nzuri. Sikutamani nikutane naye kamwe.
 
Ulimi mpana mrefu. Lips pana na nene. Kuwepo taarifa rasmi kuwa utotoni ulikuwa mdokozi wa mboga na mengine kama hayo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyo jamaa alikuwa na laana, nakumbuka alimfukuza mtunza tausi kisa tu JK alimchomekea kwa utani kwamba tausi hawaongezeki.

Huyo mtu ana laana, ndio maana mvua hainyeshi, labda Mungu kaamua kumuunguza na ardhi kabla ya moto
Ukimtukana mwenzako lazima ujue equation itabalance tu.Na ww lazima utatukanwa.Inasemekana huna kaz unashinda mitandaoni kumtukana na kumkashi marehemu ambaye hayupo duniani.Ww ni mpumbavu sana.
 
Amekufa ila unamsemea uongo magufuli alipokuwepo madarakani hakuwahi kutuacha Kwa njaa na pia mvua zilikuwa zinanyesha
 
Mwenye laana ni yule aliyechomeka uongo au aliyefukuza?, wewe ni KINEMBE KWELI,
Hivi ni akili Yako au ya nguruwe sema tu mtu Huna akili unatukana sehemu iliyokuleta duniani Kisa upuuzi upuuzi tu kwanini wanaume wa Sasa akili hakunaga sijui nikwanini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…