Hayati Magufuli aliweza kuwatisha waovu, mifumo iliamka kufanya kazi

Mkuu..chanzo cha chain hiyo ni chama tawala.
 
Kwani Ukiwa mwizi huwezi fanya makubwa?

Kwani saizi makubwa hayafanyiki yanayoonekana Kwa macho?

Huu wizi hapa alikuwa anafanya nani?👇👇View attachment 2936057View attachment 2936058

Kadanganye wake zako
Shabiby anafanya nini bungeni,

Inawezekana vipi aache biashara ya mabasi yake Kisha kuja bungeni kutetea wananchi?

Nauli zimepanda akiwa bungeni, kwanini hakutoka kutetea Maslahi ya wananchi?

Cartel ya wabunge matajiri, kamwe haijawahi kusimamia maslah ya Wananchi.

Magu alikuwa mzalendo.
 
Mkuu..chanzo cha chain hiyo ni chama tawala.
Kumbuka kuwa Magu pia alikuwa chama tawala,

Mfumo huo umeteka chama, na unafanya KAZI Kwa karibu na wanasiasa wa Upinzani Maslahi,

Wizi Hauna chama, hivyo tuungane kuua kundi Hilo.

Ndomana, tunadai Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi wowote.
 
Hujajibu hoja,wizi huo alikuwa anafanya Samia? 😁😁😁

Muwe mnawadanganya wapumbavu.Pamoja na kubana taarifa,Wapinzani,vyombo vya habari,wanaharakati nk lakini hakuna mwaka CAG aliwahi sema Ufisadi umepungua awamu ya 5 yaani licha ya kufanya uhariri wa taarifa.

Mojawapo ya sekta amabzo wizi mkubwa ulifanyaikani mamiradi hayo Makubwa na pesa za Halmashauri ndio maana Samia ameamua kizirudisha zitolewe na Banks,alisimamisha ule wizi kanuni Mpya zinakuja 🤪🤪🤪
 
Kama Magu alikuwa anaiba pesa Kisha anakwenda kujengea Flyovers, mabarabara, Mji wa Magufuli Dodoma na IKULU, Masoko ya kisasa na Bus terminals,SGR,daraja la Busisi, ununuzi wa ndege Kwa pesa alizoiba,

Basi kiongozi Mwizi wa aina hiyo ndiye tumtakaye.
 
Kama Magu alikuwa anaiba pesa Kisha anakwenda kujengea Flyovers, mabarabara, Mji wa Magufuli Dodoma na IKULU, Masikio ya kisiasa,SGR,daraja la Busisi, ununuzi wa ndege Kwa pesa alizoiba,

Basi kiongozi Mwizi wa aina hiyo ndiye tumtakaye.
😂😂😂😂

Mumewe aligalagala pale Kijazi darajani kwa furaha
 
Kama Magu alikuwa anaiba pesa Kisha anakwenda kujengea Flyovers, mabarabara, Mji wa Magufuli Dodoma na IKULU, Masikio ya kisiasa,SGR,daraja la Busisi, ununuzi wa ndege Kwa pesa alizoiba,

Basi kiongozi Mwizi wa aina hiyo ndiye tumtakaye.
Sasa hapo ndio unadhihirisha upunguani wako,kujenga hivyo ndio kunazuia mtu kuwa mwizi au Kuna justify wizi?

Nimekuuliza hayo ma flaiova sijui Madara and such blaa blaa hayajengwi? Au kabla yake hayakuwahi kujengwa? Nataka majibu
 
Betting ipo tangu enzi za Nyerere 😂
Itakuwa nawe unabet Mzee,

Mara ya kwanza kuona ofisi za betting nilishangazwa sana.

Watu wako makini watulivu wameshika kalamu utadhani wanafanya ya maana,

Kumbe ni Ujinga Ujinga tu.
 
Sasa hapo ndio unadhihirisha upunguani wako,kujenga hivyo ndio kunazuia mtu kuwa mwizi au Kuna justify wizi?

Nimekuuliza hayo ma flaiova sijui Madara and such blaa blaa hayajengwi? Au kabla yake hayakuwahi kujengwa? Nataka majibu
Ndo nasemaje,

Ikiwa KAZI ya Magu Kwa Miaka mitano inayoonekana ya ujenzi wa mabarabara Nchi nzima, umeme kutokatika, flyovers, hospitals , ndege, ujenzi viwanja vya ndege, SGR, madaraka, nknk ikiwa KAZI hizo zinatokana na wizi,

Basi wizi wa Magufuli ndio tuutakao.
 
Ndo nasemaje,

Ikiwa KAZI ya Magu Kwa Miaka mitano imayoonekana ya ujenzi wa mabarabara Nchi nzima, umeme kutokatika, flyovers, hospitals nknk ikiwa KAZI hizo zinatokana na wizi,

Basi wizi wa Magufuli ndio tuutakao.
Mabarabara Nchi nzima yapi hayo 😁😁
Magu alijenga Barabara Dar tuu tena za mradi wa wafadhili wa DMDP I,Samia ndio anajenga Barabara Nchi nzima.

Mwendazake alikuta Mikoa haijaunganishwa na lami baada ya miaka 5 ikiwa na mavumbi ,Samia ndio analinganisha Sasa hivi.

View: https://www.youtube.com/live/vGWDByHCFYc?si=0nKFhmuM8X1iCazq
Umeme utakatokaje wakati wafanyabiashara na wawekezaji wamekimbiza? 🤪🤪

Kazi ya Samia sio ya kitoto 👇👇

View: https://twitter.com/mamayukokazini/status/1768923114304389344?t=wFEtVoRe-dpkXk2maNXQtQ&s=19
Niongeze bakora?
 
Jiwe alikuwa mfalme mwenye kutumia guvu nyingi pasipo maarifa
 
Mimi kama raia mwema na mtumishi wa umma wa zama za mwendazake, hakika hakuna asiyekumbuka matukio ya huyo mtu hususani suala la kutopandisha madaraja, nyongeza ya mishahara, posho za kazi na vitisho visivyo na kifani kwa watumishi.

Ukija kwenye biashara ndo usiseme, taasisi binafsi nyingi zilikufa au kubadilishiwa matumizi.


Watu wengi hata watoto tulilazimika kuwapeleka shule za kata maana fedha ya kuwapeleka private ilikuwa changamoto na shule nyingi za private ukiondoa zile zinazomilikiwa na taasisi kama Kanisa la RC au Misikiti zilishindwa kujiendesha zikafungwa.

Kwangu mimi siipendi CCM ila huyu mama Mungu ampe miaka mitano mingine ana nafuu hata mitandaoni tunaandika mengi ya kukosoa Serikali na hatutishiwi kuwekwa kwenye viroba, pia kila mtu anaishi bila hofu, amani ipo, biashara zinafanyika na maofosini tunachapa kazi kwa furaha.

Heri utafune mhogo mkavu na maji kwa amani na uhuru kuliko nyama choma kwenye vita.


cc Rabbon

ChoiceVariable
 
Umesema wewe ni mtumishi wa umma,

Kabla ya Magufuli, ulikuwa unafanya deal Gani Ukiwa Ofisini zilizokuwezesha kusomesha watoto international schools?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…