Hayati Magufuli aliweza kuwatisha waovu, mifumo iliamka kufanya kazi

Ndio hizo hizo alizichota Kisha akajengea SGR, Meli ya Victoria, akajenga Flyovers, nk nk.
Hizo zote zilikuwa Msaada hata flyover hazikuwa pesa za Ndani🀣🀣ushahidi upo
 
Kama wewe ni Magufuli mpya uliyezaliwa jihesabu tu kama kiumbe chenye hasara duniani.
Vijana wakishavuta bangi wakichanganya na energy wanawaza pumba tu.

Nilikutana na mama yake Alfonsi Mawazo mwishoni mwa mwaka Jana. Yule mama ukikaa naye akakihadithia mateso anayopitia kutokana na kifo cha mwanae ,machozi yatakutoka. Maana kwa maelezo yake Alfonsi alikuwa tegemeo lake.

Cha ajabu hao viongozi wa chadema waliokuwa mstari wa mbele kumpamba Alfonsi azidi kupata ujasiri wa kusimama majukwaani kupambana na viongozi wa Serikali akiwemo huyo Magufuli, hawana habari naye yule mama.

Anasema mwaka Jana alitembelewa na T.A.L akiwa na sukari kilo mbili ,Mchele kilo tatu, chumvi na sabuni na waandishi wa habari kwaajili ya kurekodi ziara yake hiyo.

Laiti binadamu tungewekeza akili zetu kwenye maendeleo tungeendelea sana. Badala yake akili zetu tumejikita zaidi kwenye migogoro. Unakutana na mtu barabarani kabla ya salamu anakuuliza mbona umekonda sana?. πŸ˜†πŸ˜†Sijui alitakaje........
 
KAZI za Magu zinaonekana wazi.

Pita pale kijazi flyover utaona alama yake,

Tembea Nchi nzima uone KAZI zake,

Ikiwa aliiba Kisha kwenda kujenga vinavyoonekana,

Wizi wake ni mzuri wenye TIJA.
 

Attachments

  • images (3).jpeg
    43.1 KB · Views: 1
Hata ukichunguza sasa hivi wanaomchukia Magu, ni wale wanyonyaji aliowakata mirija yao.
 
Sasa mbona huwaongelei waliomkata mapanga huyo mawazo?

Umeambiwa alichokuwa akipigania mawazo kimeachwa, au kinaendelezwa?
 
Sasa mbona huwaongelei waliomkata mapanga huyo mawazo?

Umeambiwa alichokuwa akipigania mawazo kimeachwa, au kinaendelezwa?
Pambania familia yako maana maisha ya Duniani ni mafupi, vinginevyo umeamua kujikita vilivyo kwenye siasa ambazo wengi wa waliofanikiwa kupitia njia hiyo ni wale walio sambamba na mfumo na si kinyume
 
Pambania familia yako maana maisha ya Duniani ni mafupi, vinginevyo umeamua kujikita vilivyo kwenye siasa ambazo wengi wa waliofanikiwa kupitia njia hiyo ni wale walio sambamba na mfumo na si kinyume
Siasa ndizo huamua Kodi kiasi Gani itumike kulipa mishahara ya makamanda wa vyombo vya ulinzi na USALAMA.
 
Magu sikumkubali ila ktk kuchukua maamuzi nilimpa 100%.
Huyu wa sasa hata haeleweki lipi analimudu...kwenye kuchukua maamuzi ndio zero kabisaaa!.
 
Kulikuwa na Shirika la Bahati Nasibu la Taifa na hawa Akina Tarimba wanaowabetisha Leo ndio wametokea kule πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ”₯
Wanawabetisha na wanachaguliwa Ubunge pia !
Duh πŸ™„ lakini No peace of mind πŸ™πŸ™
Dunia rangilangire !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…