Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Narudia tena, we mtu uko na akili nyingi sanaKama Magu alikuwa anaiba pesa Kisha anakwenda kujengea Flyovers, mabarabara, Mji wa Magufuli Dodoma na IKULU, Masoko ya kisasa na Bus terminals,SGR,daraja la Busisi, ununuzi wa ndege Kwa pesa alizoiba,
Basi kiongozi Mwizi wa aina hiyo ndiye tumtakaye.
Kulikuwa na Shirika la Bahati Nasibu la Taifa na hawa Akina Tarimba wanaowabetisha Leo ndio wametokea kule 😂😂🔥Hapana kipindi cha Nyerere hakukuwa hata na simu za digitali wala hakukuwa hata na pampu za kuuzia mafuta za digital !
Mambo ya Casinos yalianzia awamu ya hayati Mzee Mwinyi !
Tulikuwa tunajimwambafay pale Las Vegas Casino Upanga !😅
Tulikuwa tunaanzia pale nje Jolly Club 😅🙏🙏
Ikiwa sifa ulizotaja ndizo zinaweza kulivusha Taifa, tutazitumia hizo,Waanzisha mada za mwendazake wengi wenu mnapenda sana ugomvi, ubabe, roho mbaya, kujikweza kupita kiasi, majivuno, jeuri halafu mna kiburi na sio waungwana.
Ni Kwa neema ya Mungu🙏Narudia tena, we mtu uko na akili nyingi sana
Akili yako ndogo saana! Pole sanaOk kama kweli hebu tuambie wewe ni kiasi gali hilo shetani lenu la Chato lilikusanya kupitia vile vitambulisho vya Magufuli vya 20,000.
Tuambie zilienda wapi.
Ukweli ni kwamba alitutia hofu mpk vyombo vya habari vikawa vinaogopa kuripoti mapungufu na maovu ya utawala wake.
Prof. Asad alipothubutu alipita nae.
Lisu alipothubutu alikiona.
Ben Sa8 alipothubutu kilichomfika anakijua mwenyewe.
Akili yako ya kupambanua mambo ni kodogo sana mkuu, na ndo inayotumika sana na viongozi wajinga, unamkamata mlaji badala ya kukifungia kiwanda kinachozalisha?Huna uelewa na hii biashara
Ukiminya Sana ndo unafanya supply ipungue na demand iwe kubwa ...kwa Nini usikamate mateja wote ...weka ndani wataje wanapata wapi dawa unganisha dot mnyororo wote unapatikana
Halafu unapata mapapa ...siyo unakuja kututajia Mara Mr blue,mbowe, gwajima TID au wema sepetu
Hayo maigizo ya kumsingizia Mbowe na Gwajima yalifanywa na Mwenezi, ndomana kamwe Mimi siku Bali ajifananishe na Magu.Huna uelewa na hii biashara
Ukiminya Sana ndo unafanya supply ipungue na demand iwe kubwa ...kwa Nini usikamate mateja wote ...weka ndani wataje wanapata wapi dawa unganisha dot mnyororo wote unapatikana
Halafu unapata mapapa ...siyo unakuja kututajia Mara Mr blue,mbowe, gwajima TID au wema sepetu
Brother..... Dunia ina mambo mengi mno kiasi kwamba sidhani kama utayaweza yote.Ikiwa sifa ulizotaja ndizo zinaweza kulivusha Taifa, tutazitumia hizo,
By the way, hivi mtu anayekwiba pesa za umma zitokanazo na mikopo, utatumia lugha ipi kumwonyesha umechukia matendo yake?
Magu alichukua hatua gani boss, maana ripoti za CAG zilikuwa zinatoka, na hakuna hatua zilichukuliwa, Bali yeye ndio alimchukulia hatua CAG za kuanika matumizi mabaya ya fedha za umma.Waliopo jawapasi kulalamika Badala ya kuchukua hatua kama alivyofanya Magu.
Got it?
Ikiwa Magu aliyekuwa Rais hakuona thamani katika kuishi akijilinbikizia Mali, akaamua kutetea wananchi maskini,Brother..... Dunia ina mambo mengi mno kiasi kwamba sidhani kama utayaweza yote.
Kuongoza nchi sio sawa na kuongoza familia. Fanya vile unaona inafaa, halafu mengine waachie wengine na wao watamwachia mwenye Dunia yake.
Dunia tunapita japo hakuna anayependa kufa
Hatua alizochukua Magu,Magu alichukua hatua gani boss, maana ripoti za CAG zilikuwa zinatoka, na hakuna hatua zilichukuliwa, Bali yeye ndio alimchukulia hatua CAG za kuanika matumizi mabaya ya fedha za umma.
😆😆😆😆😆Tatizo sio wewe ila familia yako hususan wazazi na watoto wako.Ikiwa Magu aliyekuwa Rais hakuona thamani katika kuishi akijilinbikizia Mali, akaamua kutetea wananchi maskini,
Sasa Mwananchi aliyepigika ahofie nini kupambania HAKI yake,
We have nothing to lose brother,
Kupaza sauti ndo njia pekee ya kutusaidia kuondokana na minyororo tuliyofungwa.
Ikiwa Unadhani tunaogopa, unajidanganya.
Wengine tulishakufa, tukazikwa Kisha tukafufuka.
Si Kila mtu alizaliwa kupambania maslah ya familia pekee,😆😆😆😆😆Tatizo sio wewe ila familia yako hususan wazazi na watoto wako.
Mugabe katika ujana wake aliwaza kama wewe ,ameiacha Zimbabwe mbovu kuliko alivyotarajia wakati wa ujana wake.
Museveni wa ujanani na matarajio yake ya Uganda na sasa.
Fanya vile moyo wako na nafsi yako unaridhika
😆😆😆😆😆Si Kila mtu alizaliwa kupambania maslah ya familia pekee,
Wengine Mungu amewaleta duniani special Kwa ajili ya kuitumikia Nchi, ndilo kusudi lao lilipo.
Ninachokuhakikishia ni kuwa, Ile Tanzania ya Magufuli, Nchi tajiri yenye kusaidia Nchi maskini ulaya na Nchi zingine, tutaifikia tu.
Ameondoka Magufuli mmoja, tumezaliwa wengi zaidi mara elfu.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.
Greedy ndiyo iliyomtawala Magufuli. Alitaka aibe peke yake na wateule wake wachache, siyo kwamba alichukia ufisadi.Wizi hauwezi kwisha,
Lakini Nia na uthubutu wake Kupambana na wezi ndio msingi wa thread hii.
RIP Magu.
Kama wewe ni Magufuli mpya uliyezaliwa jihesabu tu kama kiumbe chenye hasara duniani.Si Kila mtu alizaliwa kupambania maslah ya familia pekee,
Wengine Mungu amewaleta duniani special Kwa ajili ya kuitumikia Nchi, ndilo kusudi lao lilipo.
Ninachokuhakikishia ni kuwa, Ile Tanzania ya Magufuli, Nchi tajiri yenye kusaidia Nchi maskini ulaya na Nchi zingine, tutaifikia tu.
Ameondoka Magufuli mmoja, tumezaliwa wengi zaidi mara elfu.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.
Ni Kweli kabisa,Kama wewe ni Magufuli mpya uliyezaliwa jihesabu tu kama kiumbe chenye hasara duniani.