Yule mpumbavu alijaribu kumchafua kuwa kachoma vifaranga eti...baada ya siku chache vikachomwa vifaranga mara 30 ya vile vilivyo chomwa awamu ya mzalendo no1 na baada ya mwezi vifaranga elfu 60 vimeachwa vifie airport ....kweli yule zuzu ....'anakunya akili na kuacha mafiii kichwani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Alikuwa anatuchangamsha sana huyo mzee.
Alijihakikishia nafasi ya kuongea yeye nchi nzima, wewe na mimi tukabaki kupiga vigelegele na makofi ya miaka ya 60, 70 na 80 ya zidumu fikra za Mwenyekiti.Enzi za uhai wake, hayati Magufuli akiwa Rais wa awamu ya 5, aliweza kutrend kila siku. Aliweza kusikika jumatatu mpaka jumapili bila kuchoka.
Jumapili angeweza kwenda kanisani na TBC 1 wakarusha ibada.
Jumatatu angeweza kwenda soko la samaki feli.
Jumanne angeweza kwenda kumtumbua kigogo fulani.
Jumatano angeweza kuibukia Vingunguti machinjioni na kuangalia shughuli zote jinsi zinavyofanyika.
Alhamisi angeweza kusafiri kwa barabara kwenda Dodoma. Akifika Dumila anaweza akanunua mahindi na kupiga stori na wananchi.
Ijumaa angeweza kukagua ujenzi wa Ikulu mpya Chamwino.
Jumamosi angekuwa Chato na kuwa mubashara kwenye kijiwe cha kahawa na "wanyonge".
Matukio yote hayo yangekuwa mubashara/live na TBC1.
Nchi nzima alikuwa anazungumzwa mtu mmoja tu, jamaa aliwezaje yaani kuwa mubashara kila siku?? Au ndio ilikuwa hulka yake??
jamaa lilikuwa likiuchuna wiki 1 bila kuonekana lazima litrendiUmesahau na asipo onekana popote bado alitrend zaidi
Bado kuna Kishindo cha Awamu ya Sita TBCKishindo cha awamu ya tano takataka.
Hizo za kuteka vyombo vyote vikuzungumzie wewe zilikuwa dalili za
UDIKTETA
Alikuwa na stunts zake... Yaani Kila wiki lazima awe site kuigiza.😂😂😂😂😂😂😂. Alikuwa anatuchangamsha sana huyo mzee.
Barabara nyingi ni za mchongo hadi yeye mwenyewe akazistukiaKutrend kwa JPM sio kitu cha ajabu. Huyu kwangu mimi ndio waziri bora kuwahi kumshuhudia, ukikanyaga barabara ya lami yeyote ya nchi hii ni kazi yake achilia mbali miundombinu aliyoijenga akiwa Rais.
Mwenye nguvu mpisheWalimpisha
Nini hiki? JamiiForumsJamaa aliwatom...amba kisawasawa,hakuna dakika itapita bila kumtaja umbwa nyie
Sasa unataka kusema magufulu anatred kwa mabaya? Kama HitlerHitler pia anatrend
Vyombo vyote vya habari vilikuwa chini yake na mnaripoti kile anatakaEnzi za uhai wake, hayati Magufuli akiwa Rais wa awamu ya 5, aliweza kutrend kila siku. Aliweza kusikika jumatatu mpaka jumapili bila kuchoka.
Jumapili angeweza kwenda kanisani na TBC 1 wakarusha ibada.
Jumatatu angeweza kwenda soko la samaki feli.
Jumanne angeweza kwenda kumtumbua kigogo fulani.
Jumatano angeweza kuibukia Vingunguti machinjioni na kuangalia shughuli zote jinsi zinavyofanyika.
Alhamisi angeweza kusafiri kwa barabara kwenda Dodoma. Akifika Dumila anaweza akanunua mahindi na kupiga stori na wananchi.
Ijumaa angeweza kukagua ujenzi wa Ikulu mpya Chamwino.
Jumamosi angekuwa Chato na kuwa mubashara kwenye kijiwe cha kahawa na "wanyonge".
Matukio yote hayo yangekuwa mubashara/live na TBC1.
Nchi nzima alikuwa anazungumzwa mtu mmoja tu, jamaa aliwezaje yaani kuwa mubashara kila siku?? Au ndio ilikuwa hulka yake??
Mi nafikiri Kwa sababu alikua anateka na kuua watu kila sikuEnzi za uhai wake, hayati Magufuli akiwa Rais wa awamu ya 5, aliweza kutrend kila siku. Aliweza kusikika jumatatu mpaka jumapili bila kuchoka.
Jumapili angeweza kwenda kanisani na TBC 1 wakarusha ibada.
Jumatatu angeweza kwenda soko la samaki feli.
Jumanne angeweza kwenda kumtumbua kigogo fulani.
Jumatano angeweza kuibukia Vingunguti machinjioni na kuangalia shughuli zote jinsi zinavyofanyika.
Alhamisi angeweza kusafiri kwa barabara kwenda Dodoma. Akifika Dumila anaweza akanunua mahindi na kupiga stori na wananchi.
Ijumaa angeweza kukagua ujenzi wa Ikulu mpya Chamwino.
Jumamosi angekuwa Chato na kuwa mubashara kwenye kijiwe cha kahawa na "wanyonge".
Matukio yote hayo yangekuwa mubashara/live na TBC1.
Nchi nzima alikuwa anazungumzwa mtu mmoja tu, jamaa aliwezaje yaani kuwa mubashara kila siku?? Au ndio ilikuwa hulka yake??
Wewe ni taahiraMi nafikiri Kwa sababu alikua anateka na kuua watu kila siku