Hayati Magufuli aliwezaje ku-trend kila siku??

Huwezi paka mkaa rangi nyeusi ili uwe mweusi. Huwezi kuwa muuaji ukadhani kesho tu watu watapotezea
Wewe shemeji yako.yule fisadi kutumbuliwa kisa vyeti feki na kuuliwa sisi haituhusu.
Kwanza haituumi. Mwizi achomwe moto tu.

Kwahyo sisi hapa tunabishania maslahi ya taifa, wewe unabishania maslahi ya tumbo lako, maana kabla hajatumbuliwa shemeji alikuwa anakulea sana.

Toka kwenye huu mjadala uachie watu wenye uchungu na nchi, sio uchungu na tumbo.
 
Mfikirie Adolf Hitler aliyepotea miaka dahali iliyopita lakini anatrend hadi leo picha wakati wa uhai wake unadhani ilikuwa rahisi kwa chombo cha habari kutoa taarifa yoyote bila kumuweka font fed huyo muhishimiwa?
 
Sahihi
Simply alikuwa waziri wa wizara zote

Madaraja anazindua yeye

Madarasa yeye

Hospitali yeye

Masoko yeye

Kwa Hali hiyo kwa nn asitrend ???




Dead and gone ,[emoji34]
 
Alikuwa anaambatana na wakuu wa vyombo mbalimbali na wanaoitwa viongozi wa dini pia karibia kila mahali, hata kupokea ndege!
Wadanganyika wanapenda show za aina hiyo sana.
 
Alikuwa anaweza aise
Alikuwa hachoki na stunts hizo
Kweli alikuwa mwamba

Alafu hivi kwenye gari alikuwa anatembea na mabulungutu
Maana kila akisimama anatoa neema
Ya mpunga kwa watu,sema ndiyo sandakalawe ilikuwa

Ova
 
Alitrend kwa mbinu za kimafia za kuua kila anayemsema vibaya au anayemkosoa na kumpinga hivyo wote wakabaki wanamuogopa na kulazimsha wote wamuimbe yeye. Mfano kipondi alivhokianzisha yeye mwenyewe tbc Cha kishindo Cha awamu ya tano, hata akiua we sifu tu na ukihoji kesho yake wataokota mzoga
 
Na bado mpaka ana trend kila siku!
Pamoja na kufariki siku nyingi zilizopita!

Hata leo ame trend humu kwenye Post kibao!

Bado ana trend kuliko hata baadhi ya walio hai.

Yule mzee alikuwa Governance Materials!
Point of correction: yule mzee alikuwa muuji na mfiraji mkuu. Alimfira sana mkuu wa wilaya flani
 
Wapuuzi wachache wanadhani alianza hizo kazi juzi. Kwa hiyo hata alipokuwa waziri alikuwa dikteta?! Tanzania inamfahamu tangu akiwa waziri alikuwa muadilifu na mchapakazi wa hali ya juu!
Alijitoa sadaka Kwa ajili ya Watanzania.

Magu hajafa Bado,

Anaishi mioyoni mwa Watanzania,

Tunayaishi maono yake,

Na hatutotulia Hadi yatimie ambayo alittamani yatokee.

Aamen
 
Kila mkiambiwa ukweli mnajificha kwenye vyeti fake. Mara shemeji, so unadhani kila mtu anakaa kwa shemeji? Narudia kuwa ukiwa muuaji, mwizi na muongo kama Jiwe raia hawawezi kukusahau kirahisi, uko sahihi kabisa mwizi achomwe moto ndiyo maana Jiwe yuko motoni. Pole kama inakuuma kuhusu yule mungu wenu kuchomwa moto
 
Mkuu punguza chuki kwa marehemu

Wote tunajuwa kuna mazuri kafanya,na mabaya hayakosekani
Duniani kote hakuna kiongozi aliyependwa kwa 100%

Ova
 
Alikuwa anaweza aise
Alikuwa hachoki na stunts hizo
Kweli alikuwa mwamba

Alafu hivi kwenye gari alikuwa anatembea na mabulungutu
Maana kila akisimama anatoa neema
Ya mpunga kwa watu,sema ndiyo sandakalawe ilikuwa

Ova
Yes Kuna ile akizama akiiunuka anaibuka na 500K anagawa kama njugu...
Alafu Kuna zile njemba zilikuwa zinamlinda. Yaani utafikiri yupo vitani kule Kashmir, Iraq au Ukraine!
 
Maumivu ya KICHWA huanzia taratiiibu!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…