Hayati Magufuli aliwezaje kutunyamazisha Watanzania milioni 60?

Mfanyabiashara yupi alikimbia kuwekeza hapa nchini kipindi cha Magufuri kama sio proganda za kitoto?
Hii wapo wengi Sana na biashara kwa maelfu zilikufa ndio maana mkaanza kuhangaika na sheria ya Takwimu ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜..

Vipi kwani saizi Takwimu hazitoki? Kuna mtu anaekatazwa? Likewise sheria ya mitandao
 
Siku moja nilikuwa kwenye bus usiku .nasoma stories jf. Mtu mmoja akaniambia nyie ndio tunawatafuta. Mnatumia mitandao kumchafua raisi wetu. Endelea utajikuta pabaya kama lisu... nilishangaa sana. Hakika yule alikuwa kiongozi fedhuli
 
Hakuna nchi yeyote duniani ilitumia democracy pekee kuendelea; ndani kuna autocracy ila levels na context ndizo zinatakiwa kuwa watched....Ukisikia kulikuwa na ubaguzi ndiyo hiyo hiyo dictatorship....Mwanzo wowote wa maendeleo lazima kuwe na level fulani ya restrictions kisha momentum ikipatikana ndiyo una relax hizo restrictions....Democracy is not discrete is a continuum concept
 
Hii wapo wengi Sana na biashara kwa maelfu zilikufa ndio maana mkaanza kuhangaika na sheria ya Takwimu ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜..

Vipi kwani saizi Takwimu hazitoki? Kuna mtu anaekatazwa? Likewise sheria ya mitandao
Ofcourse alichofanya JPM nikuondoa ties za biashara kwenye manunuzi ya serikali zikafa natural death...Na hata sasa tukirudia hilo kosa huo uchumi ni fake na ndiyo mwanzo wa ufisadi kwakua watu wote watabakia kwenye service sector badala ya kwenda kwenye production...Kosa pekee la awamu ya tano ni kuiondoa serikali ghafla pasipo kutengeneza smooth transiformation ya capital transfer kwenda kwenye private sector ili ijitegemee na ikaanzishe productions firms in favour of service sector firms...Mh. alikuwa anatumia common sense badala ya expertize kwenye reforms...Haina maana alikuwa na dhamira mbaya lakini alikuwa over ambitious na akawa akawa hamwamini mtu kutokana na uzoefu wake wa serikalini ambapo alifahamu ufisadi ulikuwa mkubwa.
 
Hii wapo wengi Sana na biashara kwa maelfu zilikufa ndio maana mkaanza kuhangaika na sheria ya Takwimu ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜..

Vipi kwani saizi Takwimu hazitoki? Kuna mtu anaekatazwa? Likewise sheria ya mitandao
Ofcourse alichofanya JPM nikuondoa ties za biashara kwenye manunuzi ya serikali zikafa natural death...Na hata sasa tukirudia hilo kosa huo uchumi ni fake na ndiyo mwanzo wa ufisadi kwakua watu wote watabakia kwenye service sector badala ya kwenda kwenye production...Kosa pekee la awamu ya tano ni kuiondoa serikali ghafla pasipo kutengeneza smooth transiformation ya capital transfer kwenda kwenye private sector ili ijitegemee na ikaanzishe productions firms in favour of service sector firms...Mh. alikuwa anatumia common sense badala ya expertize kwenye reforms...Haina maana alikuwa na dhamira mbaya lakini alikuwa over ambitious na akawa akawa hamwamini mtu kutokana na uzoefu wake wa serikalini ambapo alifahamu ufisadi ulikuwa mkubwa.
Siku moja nilikuwa kwenye bus usiku .nasoma stories jf. Mtu mmoja akaniambia nyie ndio tunawatafuta. Mnatumia mitandao kumchafua raisi wetu. Endelea utajikuta pabaya kama lisu... nilishangaa sana. Hakika yule alikuwa kiongozi fedhuli
Hao walikuwa wapambe wanaotafuta kujikomba...Mbona wengine tuliendelea tu kusoma na kuandika JF?
 
Kwa hiyo ukifanya kuondoa hizo ties ndio uchumi ungekufa au? ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ..

Saizi Wabunge wa Mara wanamsimulia Rais jinsi pesa za mgodi wa Mara zilizopelekwa Tarime DC zilivyopigwa,wodi 2 nazo mbovu zimetumia.zaidi ya sh.Bil 1,toka mwaka juzi na Mzalendo alikuwepo ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ..

Wajinga ndio mlikuwa mnaliwa kwa kuitwa wanyonge ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Nikikujibu kibabe nitakuonea...Acha niulize swali? JPM ndiye aliyewaagiza wakazihamishe na kuzila? Katika wakati wake alitumbua wangapi wenye tabia hizo? Au ulitaka awe Mungu kuona kila ovu na kufanya kila zuri?

Homa yako ya kumchukia JPM ni kubwa...Anamakosa yake lakini tusimfanye ndiyo shetani wetu kwa kila baya....He wanted to reform our country na kwa jinsi tulivyo wabinafsi maumivu kwa wengine ni kawaida kwakua hawakuzoea kula vya kuchinja!

Lakini pia naye alitaka kufanya yote as if he wa omnipotent, omniscient and omnipresent.....Thats what was his mistake...Dhamira yake ilikuwa njema na uliona kabisa alilibeba taifa moyoni mwake na alitamani liwe bora sana!
 
Kwanza mtu mzima na viungo vyote unakubalije kuitwa mnyonge,nadhani aliposema wanyonge alimaanisha wajinga
 
Hivi lile kaburi wamelipiga zege kweli? waongeze buldozzer na eksikaveta pale juu usikute jamaa akafufuka akaja kutupiga na kitu kizito
 
Siyo kwa muAfrica. Uzoefu unaonyesha ni wabinafsi walio tayari kuua watu wao, mradi wao na ndugu zao wabaki mamlakani . Kama mtu anahoji, Kwanini paymaster general kapewa mtoto wa dada (mpwa) . Anatandikwa magazine nzima, mchana kweupe. Ndiyo uvumilivu huo ?!.

Kwanini tuiogope democracy wakati haina madhara ?!. Na ni Kwanini tuushabikie u dictator, ambao mwishoni una madhara ?!.
 
Alichosahau ni kwamba miaka huwezi kutawala watu kama walivyifanya kina hitler ndani ya hiyohiyo system watu walimtafutia timing!..ndo maana idara ya usalama wa taifa ikawekwa ikulu kwa ajili ya kumlinda sawa ila akizingua kumdhibiti ndo kilichotokea
 
Kwanza mtu mzima na viungo vyote unakubalije kuitwa mnyonge,nadhani aliposema wanyonge alimaanisha wajinga
Hivi lile kaburi wamelipiga zege kweli? waongeze buldozzer na eksikaveta pale juu usikute jamaa akafufuka akaja kutupiga na kitu kizito
Akirudi kuna watu watajificha uvunguni
 
Alichosahau ni kwamba miaka huwezi kutawala watu kama walivyifanya kina hitler ndani ya hiyohiyo system watu walimtafutia timing!..ndo maana idara ya usalama wa taifa ikawekwa ikulu kwa ajili ya kumlinda sawa ila akizingua kumdhibiti ndo kilichotokea
Aina ile ya utawala ishapitwa na wakati
 
Ma

Malighafi ndio raw materials na mjomba Magu alituhamasisha tulime pamba,
Lakini kuna clause ilyosema kama mmliki ameshindwa kuendesha kiwanda serikali ingeingilia kati kukiendesha au kumpa mwekezaji mwingine,hasa baada ya kugundua kuwa wahindi waliopewa viwanda hivyo tena kwa bei ya kutupa walivitumia kama dhamana ya kukopa kufanyia vitu vingine.
 
Shetani wenu !๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ,Samia kasema miradi imekwama huko Mara toka enzi na enzi , Mzalendo alikuwa anafanya nini?

Saizi mama anatoa suluhisho sio propaganda..Unaemtetea alikuwa anatumia nguvu ya mwili badala ya nguvu ya akili

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ