Hayati Magufuli aliwezaje kutunyamazisha Watanzania milioni 60?

Yule mzee alikua na amsha amsha.

Ile salamu yake ndeefu ndio ilikua inachekesha mno.

Asaramaleko, Bwana Yesu Asifiwe , Tumsifu Yesu Kristo.
 
Nimefurahi zaidi pale Zitto aliposema Màgufool alizuia mgao wa umeme kwa kupunguza kiasi cha umeme wa viwandani na kukipeleka kwenye matumizi ya majumbani

Yule baba alikuwa ni fundi wa mazingaombwe ukitaka ujue hilo angalia jinsi alivyolipaisha deni la taifa kwa kukopa kwenye vijitaasisi uchwara
 
Hiyo ya umeme kali sana
 
Sasa mwisho yeye ndo kaufyata mazima!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…