Hayati Magufuli aliwezaje kutunyamazisha Watanzania milioni 60?

Jiwe ni
JINGA LILE liliona hii dunia Kama nyumba yake vile,wakati sisi wenzake tumo humohumo Duniani tunajua hii dunia sio kwetu ila ni meli inayotusafirisha tu ,ABIRIA tunaojitambua kwenye hii safari tarehe 17032021 tukaSEMA Ili tufike salama 102025 lazima wengine washuke humu,ndipo tukaamua kumwomba nahodha wa meli msaada shusha hapo CHATO
 
Kumbe Bado Hujasikia Vilio vya watu waliokuwa wanatamani Angebaki huyo unayemsema
 
Ila kwa miaka mitano tuliufyata kama misukule hata angesema kulala saa mbili tungelala
Sioni shida kama ingemaanisha kwa faida ya wote...Ipi bora? Upewe uhuru huku maisha ya umasikini yakikufunga au ubanwe ili maisha bora yakufungue kamba za umasikini?
Kupanga ni kuchagua; kwangu mimi kama sionewi na mwajiriwa yeyote yule wa umma na private, kama napata huduma za kijamii na kama nikisumbuliwa yupo wa kunilinda basi huo u dikteta kwangu ni mzuri...Wengi tunaowaita ma dikteta ni branding tu ya westerns hakuna zaidi ya hicho...
 
Mi nazan Nay wa Mitego ndo mwanaume pekee ambae aliendelea kukoroma,wengine tuliufyata,Tundu Lissu alikimbia
 
Tatizo linakuja pale ambao wasanii wale wale ambao walikuwa wanamwita Mungu ndiyo wale wale wanaotuaminisha alikiwa dikteta...Ni popo hao mchana mnyama usiku ndege
 
TRASH YAANI TAKA TAKA.
 
Kwenye kuvuruga utumishi wa umma sijui hiyo wound itaponywa lini japo vurugaji ulianza tangu awamu ya nne, ila ukakaziwa awamu ya tano....

Awamu ya tatu iliweka mifumo ya governance including policies japo muanzilishi i.e WB na IMF alikuwa na malengo na matarajio yake, but atleast aliweka hizo frames....Sasa awamu ya nne wakaanza taratibu kuvuruga then awamu ya tano ikawa even worse mpaka ukakuta mtu hata asiye na seniority anaongoza seniors...
 
Hakuna u Dictator mzuri duniani.
Ni wazee wa propaganda na waliojificha kwenye uzalendo uchwara .
 
Hakuna u Dictator mzuri duniani.
Ni wazee wa propaganda na waliojificha kwenye uzalendo uchwara .
Ni haki yako, ila kwakuni nyang'anya yangu mbona hata wewe unafanya dictation hapa?
 
Ni haki yako, ila kwakuni nyang'anya yangu mbona hata wewe unafanya dictation hapa?
Sikunyanganyi.

Dictator yupi alifanya mambo mazuri endelevu. Mtaje !

Madictator wote ulimwenguni , kwa kujificha kwe uzalendo wa kinafiki . Walitenda lakini mwisho wao haukuwa mzuri wala endelevu kwa kizazi kilichofuata.
 
Thread imemtaja Kagame, nchi yake unaiona inavyokata mawinbi ya maendeleo?
 
Thread imemtaja Kagame, nchi yake unaiona inavyokata mawinbi ya maendeleo?
Hayawezi kuwa endelevu.

Hawezi kufanya hata nusu ya alioyafanya Col Gaddafi, leo yako wapi ?!
 
Hayawezi kuwa endelevu.

Hawezi kufanya hata nusu ya alioyafanya Col Gaddafi, leo yako wapi ?!
Kwahiyo wewe unataka tuwasikilize westerns na majina yao hayo? Huoni kwamba wanawapa hayo majina na ili uamini ndivyo hao hao ndiyo wanatimiza hayo ya kuvuruga efforts za hao watu?

Mandela pia aliitwa gaidi je ni kweli?

Every story has two sides learn to develop your own third story after hearing from both sides
 
Thread imemtaja Kagame, nchi yake unaiona inavyokata mawinbi ya maendeleo?
Mr/Mrs Ame nchi zote duniani zilizofanya maendeleo endelevu , ni zile zinazoongozwa ki democracy. eg Australia, Japan, Sweden, South Korea etc . Lakini nchi za ki dictator zinajivunia nini, zaidi ya kuua raia wao kisa hawamuabudu kiongozi au chama tawala ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…