JABALI LA KARNE
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 3,093
- 5,850
Si kweli....Hii nchi ina majabali ambayo yenyewe kwa muonekano hayatishi na yana sura za bashasha ila hatari sana. Kuna baadhi ya maeneo alikuwa anapawa ushauri na anaufata au analazimika kuufata.Ila kwa miaka mitano tuliufyata kama misukule hata angesema kulala saa mbili tungelala
Membe, Kinana walishatofautiana na hawakukimbia nchi.Watanzania Milioni 59,999,999 WOTE WALIUFYATA Mwendazake ALIKUWA MBABE KWA WOTE MUNGU AMPE PUMZIKO
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Western huwezi kuwakwepa wala jeuri hiyo hatuna.Kwahiyo wewe unataka tuwasikilize westerns na majina yao hayo? Huoni kwamba wanawapa hayo majina na ili uamini ndivyo hao hao ndiyo wanatimiza hayo ya kuvuruga efforts za hao watu?
Mandela pia aliitwa gaidi je ni kweli?
Every story has two sides learn to develop your own third story after hearing from both sides
Chief, ili nisipunguze kucheka lete ushahidi wa hii nukuu:,[emoji23][emoji23][emoji23]Nimefurahi zaidi pale Zitto aliposema Màgufool alizuia mgao wa umeme kwa kupunguza kiasi cha umeme wa viwandani na kukipeleka kwenye matumizi ya majumbani
Yule baba alikuwa ni fundi wa mazingaombwe ukitaka ujue hilo angalia jinsi alivyolipaisha deni la taifa kwa kukopa kwenye vijitaasisi uchwara
Utakuwa vyeti fekiKuna kundi la wasukuma liliundwa kutoka vyombo vya ulinzi akawapa nguvu sana walikuwa informers.
Mm ni muathirika wa magufuli.
Nilishukuru Mungu kumuua haraka bila kuharibu pesa ya matibabu kujitibu.
Tushukuru mungu.
Hakukimbia na ndo mtu aliyeweka jeuri hata kwenye kuomba samahani aliiomba kwa jeuri fulani hivi. Fuatilia msamaha alioomba na namna alivyouomba.Membe kitengo yule alitumwa ili kuonekane kuna upinzani .kinana alikimbilia uvunguni kujificha mpaka leo hajatoka uvunguni
Nakumbuka jinsi lowasa na Sumaye walivyonunuliwa na chademaNakumbuka ule ujinga wa kununua wapinzani..
Tangu nikiwa mdogo nilipenda kufuatilia visa vya viongozi waliotawala kwa mkono wa chuma kama vile Stalin, Mussolini, Lenin, Hitler, Suharto Iddi Amin mobutu ,kagame,bokassa na wengineo.
Nikawa najiuliza hawa wababe waliwezaje kuwanyamazisha wananchi wao kirahisi wasipate watu wa kuwapinga?
Hata nikadhani labda wananchi wao ni mazezeta.
Ila alichotufanya bwana yule nilikuja kuelewa somo kwa vitendo,nilipenda sana story za hawa wababe ila ghafla nilijikuta nabadili mtazamo wangu.
Kiukweli kabisa watanzania wote tuliufyata kasoro mtu mmoja tu Tundu Lissu nadhani kwa sababu alishaonja kuzimu labda akaona kumbe hakutishi kivile, tuliobaki tukubali tuliufyata mpaka wengine kufikia kumuita Mungu, nikikumbuka nacheka mwenyewe
Kuna idadi kubwa ya watu miongoni mwetu wanaopenda utumwa (subservience) mbele ya mtu mbabe na katili wakiamini ndio fursa ya kujipatia upendeleo, ulaji na kushindana usnitch ili kukubalika zaidi na mtemi huyo. Watamnyenyekea na kumtukuza kwa majina kama mwamba, jiwe, chuma - bila aibu. Wakifokewa na kutukanwa hadharani na mtu wa aina hiyo wanaona sawa. Ndio asili ya wengi wetu hasa waliojaa kwenye chama tawala. Wachache wasiokubaliana na hali hiyo watapata tabu sana kupambana na hilo jeshi la misukule.Tangu nikiwa mdogo nilipenda kufuatilia visa vya viongozi waliotawala kwa mkono wa chuma kama vile Stalin, Mussolini, Lenin, Hitler, Suharto Iddi Amin mobutu ,kagame,bokassa na wengineo.
Nikawa najiuliza hawa wababe waliwezaje kuwanyamazisha wananchi wao kirahisi wasipate watu wa kuwapinga?
Hata nikadhani labda wananchi wao ni mazezeta.
Ila alichotufanya bwana yule nilikuja kuelewa somo kwa vitendo,nilipenda sana story za hawa wababe ila ghafla nilijikuta nabadili mtazamo wangu.
Kiukweli kabisa watanzania wote tuliufyata kasoro mtu mmoja tu Tundu Lissu nadhani kwa sababu alishaonja kuzimu labda akaona kumbe hakutishi kivile, tuliobaki tukubali tuliufyata mpaka wengine kufikia kumuita Mungu, nikikumbuka nacheka mwenyewe
Inahitaji busara sana ndugu... vinginevyo Rais akiwa mshenzi hata huyo JPM atakuwa na nafuu kwa jinsi katiba ilivyompa mwanya wa kufanya lolote atakalo. Na kibaya hashtakiwi kwa makosa yake wakati akiwa kiongoziNi kweli ila katiba hiyo hiyo ilikuwepo tangu 1977 wenzake pia waliitumia ila tulipumua kidogo
Na tukamuona kumbe ni langlaNape alitembea kwa magoti kuanzia geti la ikulu mpaka ofisini kwa magu
Kwamba kwa sasa wao ndio wangekuwa madereva wa magariSasa kuhusu picha za mababu zetu kuwabeba wakoloni niliwaza baada ya kugundua kuwa wale wakikuwa wakilipwa ujira,ile ilikuwa kazi ya heshima kama kumuendesha kiongozi kwa sasa,kuna marupurupu kwa madereva,wale walikuwa madereva tu tusiwalaumu
Unadhan sabaya, makonda na mahta walikuwa na kaz gan?
Nchi nzima alikuwa anaadinda lisu!
Muulize nape alivoufyata hadi kuomba kolabo.
Alitubu kama Ndugai!!!Na tukamuona kumbe ni langla
Kama JPM hakuzigusa mali na utajiri wa hao wazee, ulitaka wafanye nini? Wao wanaangalia maslahi yao binafsi na familia zao usiwategemee. Ni Sokoine peke yake ndiye aliyekuwa na jeuri ya kugusa maslahi ya untouchables wa nchi hii na kilichompata ulikiona.Dah hawa wazee wetu walitusaliti sana
Familia ya Kim inawezaje kunyamazisha Korea yote?
Unadhani mababu walikuwa hawana akili hadi kuwabeba Waarabu kwenye mabega yao?
In fact ni rahisi Sana,kila sekta hasa vyombo vya Dola unaweka watu royal kwako na wawe wakatili, lazima watu waufyate..
Ila unaowaweka lazima uwalipe vizuri na baadhi ya dili haramu na upigaji unapotezea.
Pia unakuwa na vitengo vya propaganda kila sehemu ni nyimbo zako tuu,hata Nyerere ndivyo alikuwa.
Hapo lazima wote iwe hivi 👇
View attachment 2109240