Hayati Magufuli aliwezaje kuwa Waziri kwa miaka 20 bila kutumbuliwa?

Isingwezekana,huyo ndio alikuwa turufu ya Mkapa na Kikwete kwenye cabinet zao.
 
Anasema, mpaka sasa hakuna mwen
Alipochukua mamlaka isiyo yake ya kutoa roho katika miili ya walioumbwa na Mungu, ndipo yote mema yalipofutika juu yake. Kamwe Mungu anapokuinua usijaribu kumpinga Kwa kutoa roho zisizo na hatia kisa tu wanapinga Kwa maneno matendo yako.
Mtoa mada amekulenga na wewe nadhani.

Anasema, mpaka sasa, hakuna mwenye KUTHIBITISHA chochote dhidi ya JIWE. Bila hivyo, wanabaki kuwa kama single mothers anayeamua kumtia mtoto maneno ya SUMU, amchukie BABA'ake na wanaume wote.

Kwenye hilo, single mothers wengi wamefanikiwa, pengine akina wapinga YA JIWE ni SINGLE MOTHERS wa mtindo huo?
 
Hahahahaha umemjibu vyema huyo nyumbu
 
Alipochukua mamlaka isiyo yake ya kutoa roho katika miili ya walioumbwa na Mungu, ndipo yote mema yalipofutika juu yake. Kamwe Mungu anapokuinua usijaribu kumpinga Kwa kutoa roho zisizo na hatia kisa tu wanapinga Kwa maneno matendo yako.

Lete ushahidi wewe vyeti feki
 
Huwezi kumtumbua mchapakazi hodari !!
 
Kuwa chawa kulimsaidia sana
 
Yule jamaa alikuwa mtu na nusu. Hata itakapofika 2025 lazima kwenye kampeni zao watayasifia mazuri aliyoyafanya kwa kujifanya waneyafanya wao.

Wanamchafua lakini ukitaka kuujua uhalisia wa JPM ingia kitaa uachane na keyboard ndo utamjua who was that man.
 
Kweli alihonga hadi nyumba za serikali kwa hawara yake, Salva Rweyemamu aliyekuwa mhariri wa gazeti la Rai akaitoa nyumba na jina la hawara yake.

Alivyokuwa mtu wa visasi alipomkuta akiwa ikulu kama msemaji wa rais akawa wa kwanza kufukuzwa kazi, lakini kwa wenye akili timamu tumeona legacy yake kwa mahawara.

Mfumo wa kubebana na kulindana ndani ya CCM ndio uliombeba, mabaya yake yalifutwa na utendaji kazi wake, pity baada ya kupata madaraka ndio rangi yake halisi ikaonekana.

Kuna wapumbavu wengi wamebebwa na mfumo wa CCM, hivi hili shetani mnalolitetea na kulipamba lingekuwa hai watu wa calibre ya akina Makonda na Sabaya au mwanaharakati huru, Cyprian Musiba si wangekuwa na mamlaka?

Pumbavu tu kwa hivi vijibwa vinavyohangaika kumpamba shetani, sasa hatutekwi, hatuuliwi, tuna amani, hatushambuliwi sababu zimwi halipo. Wa kumsifia ni MUUMBA KUTUONDOLEA HILI JINAMIZI
 
Kweli alihonga hadi nyumba za serikali kwa hawara yake, Salva Rweyemamu aliyekuwa mhariri wa gazeti la Rai akaitoa nyumba na jina la hawara yake.

Alivyokuwa mtu wa visasi alipomkuta akiwa ikulu kama msemaji wa rais akawa wa kwanza kufukuzwa kazi, lakini kwa wenye akili timamu tumeona legacy yake kwa mahawara.

Mfumo wa kubebana na kulindana ndani ya CCM ndio uliombeba, mabaya yake yalifutwa na utendaji kazi wake, pity baada ya kupata madaraka ndio rangi yake halisi ikaonekana.

Kuna wapumbavu wengi wamebebwa na mfumo wa CCM, hivi hili shetani mnalolitetea na kulipamba lingekuwa hai watu wa calibre ya akina Makonda na Sabaya au mwanaharakati huru, Cyprian Musiba si wangekuwa na mamlaka?

Pumbavu tu kwa hivi vijibwa vinavyohangaika kumpamba shetani, sasa hatutekwi, hatuuliwi, tuna amani, hatushambuliwi sababu zimwi halisi. Wa kumsifia ni MUUMBA KUTUONDOLEA HILI JINAMIZI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…