Hayati Magufuli aliwezaje kuwa Waziri kwa miaka 20 bila kutumbuliwa?

Yeye mwenyewe fisadi lililokubuhu, wapi ilipitishwa bajeti ya ujenzi wa uwanja wa ndege wa Chato kijijini kwake? Si aliiba?
 
Huwa nawashangaa Sana wanaosema Miaka mitano ya Magufuli .Sijui wamezaliwa juzi.

Legacy ya Magufuli ni ya 25years Hakuna wa kuifuta
 
hatutaki huu upupu wako kafanye kazi zingine tumekuchoka, umejaa ukabila. Unatuletea habari za marehemu? Kamfuate kaburini we nyau.
 
Alipochukua mamlaka isiyo yake ya kutoa roho katika miili ya walioumbwa na Mungu, ndipo yote mema yalipofutika juu yake. Kamwe Mungu anapokuinua usijaribu kumpinga Kwa kutoa roho zisizo na hatia kisa tu wanapinga Kwa maneno matendo yako.
Wasikusumbue hao wapumbavu sukumagang na hoja zao za kindezi, wasiojulikana wako wapi siku hizi? Waliomshambulia Tundu Lissu wako wapi walikamatwa?
Yup wapi Azory Gwanda?
Yuko wapi Simon Kangoye?
Ben Saanane je?
Nani aliyemteka MO?
Nani aliyemteka Roma Mkatoliki? Kipanya?
Kama ni kawaida mbona wasiojulikana hawako siku hizi?
Nakubaliana na wewe MUNGU BABA fundi ukiwa unatoa roho za watu. Ushahidi wakamuulize jambazi mwenzake Simon Sirro
 
Zee la hovyo
 
wasukuma kweli ushamba hauwatoki badala hata uone haya bila aibu unatuletea habari na mfu tena jitu lilikuwa km shetwani, katili, libaguzi. Au ulikuwa unafaidika na ule ubaguzi kwasababu we msukuma alikuwa anawapedelea mkawa mnafaidi, ndio amekufa sasa mfuateni kaburini. Nyie ngedere ni wabinafsi sana
 
Nguvu za kiza.

Makafara ya kutowa damu za watu.

Mafanikio ya kanda ya ziwa yanajulikana.
 
Alipokuwa wizarani alijaza wasukuma na aliendelea hivyo hadi alipokuwa rais. Kote huko alifanya ubadhirifu ila aliuzuia kwa namna flani. Hakuwahi kuwa kiongozi mzuri hata wakati mmoja ni udikteta na ubabe kila wakati.
 
Wote uliowataja hamna hata mmoja aliyefungwa
 
Watu wa huko kando ya bahari wanavyopenda vitu lainilaini, huyu jamaa alikuwa mgumu haswaa, ngumu kumeza.

Nilikata tamaa ya sisiemu lkn ujio wa huyu jamaa ulinipa nguvu sana, I loved his acts kwa kweli, alikuwa mtu wa haki na aliijua vyema.

May God rise another Magufuli, we need him dearly.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mungu ni mwema atatuletea Magufuli mwingine
 
Halafu bado watakung'ang'ania eti lete ushahidi.
Sijui wakoje hawa!
 
Walomteua walikuwa waungwana hata akikosea wanamrekebisha kwa staha pia hawakubeba visasi na hawakuwa washamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…