Hayati Magufuli aliwezaje kuwa Waziri kwa miaka 20 bila kutumbuliwa?

Ngoja uchaguzi uingie waingie kukampeni kwa kumtukana tena magufuli japo marehemu. Watatoka kapa bin sifuri halafu wataapiza magufuli kawaibia kura. Watu wa ovyo sana hawa. Walihakikishiwa na yule shoga mzungu armsterdam kwamba watashinda uchaguzi na kwamba magufuli hapendwi. Wakamuamini mzungu kama vile kuamini uganga wa mchawi.
 
Hakua mkali,ni makele tuu.iweje wamteue wakati anawaumbua awamu zote?
 
Ndumba na ngayi
 
Utendaji kazi uliotukuka ndio uliwezesha kudumu kwake kwenye baraza la mawaziri kwa muda mrefu. Hasa ukizingatia kwamba Magufuli hakuwa na magenge ya wafuasi ndani ya chama.
 
Pinda amekuwa waziri miaka zaidi 20 na Uwaziri Mkuu juu,

Jakaya amekuwa waziri zaidi ya Miaka 15 Kama Magufuli maana wote wameanzia unaibu,,

Kingunge ….


Kwa kifupi hawa walikuwa mawaziri wakati maraisi wanatumia akili siyo kukurupuka kuteua bila vetting ya kutosha ndo inaelekea kutumbuana


Britanicca
 
Kwanza ujinga wa kutumbua tumbua ni yeye kauanzisha kabla yake mambo hayo hayakuwepo kwa kiasi kile
Ilikuwa mpaka Utumbuliwe kwa enzi za nyuma basi ulikuwa mzigo kwelikweli
Kwa jinsi Magufuli alivyokuwa kwenye urais
Na Magufuli wa enzi za uwaziri ni wazi kwamba Magufuli rais angesha mtumbua Magufuli waziri kitambo tu

Kwa hiyo kipindi hicho ama viongozi walikuwa na busara kwenye maamuzi au hawakuwa wanajali sana

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 

Kumbuka ya Nape na January
 
Unlike mawaziri wengine, he has key factor “ufuatiliaji an umakini”, those two things zinamiss kwa hawa wa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…