Hayati Magufuli aliwezaje kuwadhibiti wahujumu wa maji na umeme?

Umeandika matope, naamini ukisoma tena huu ukojo wako utajigundua kuwa wewe ni Kihandeli chenye mkia kabisa!
Toka 2015-2020, ni mwaka upi kulikuwa na ukame mkubwa?kama huu uliopo sasa?tuanzie hapo kwanza, kwani karibia miaka 4 mfululizo Tz, ilipata mvua nyingi sana.
 
Kwa hiyo wewe unabishana
Kwa hiyo wewe unabishana na meneja wa bwawa la Mtera.
Sasa hiyo mtera inayochangia megawati 80 hata kama bado maji yapo ndio itasaidia nini kwenye mahitaji ya megawati 1600?!!vitu vingine muwe mnatumia akili tu.tatizo hapa ni serikali za awamu zote ndio zimetufikisha hapa c ajabu hata hilo bwawa la mwl.Nyerere likatumika ndani ya miaka michache tu, tukaja kuambiwa tatizo ni maji, hivyo tuhamie kwenye makaa ya mawe!!kwenye gesi walituambia nini?
 
Na wewe itaje iliyokauka kutokea unakojua?
Bwawa mlisema limekauka mara ikaonekana limejaa na umeme kwa kiwango sawa miezi 7
Ana mbwela mbwela tu huyo bendera fuata upepo achana naye!
 
Wacha tuone ukweli!
 

Hayo unayasema wewe. Sisi tunachojua hakuna bwawa lililo kauka.
 
Na wewe itaje iliyokauka kutokea unakojua?
Bwawa mlisema limekauka mara ikaonekana limejaa na umeme kwa kiwango sawa miezi 7
Nimepita Dar- Singida karibu mito yote imekauka. Mito si zaidi ya 3 inatiririsha maji kidogo sana
 
Haya ndio makosa ambayo yanatutenga na mungu kujipatia mtukufu miongoni mwetu wanadamu.....hata kama angekuwepo huyo mfu leo asingeweza ondoa kiangazi...
 
Wanamuhujumu Mama na Taifa kwa ujumla...

kwa ukorofi wake jpm alikoswa koswa kuuawa mara mbili akiwa waziri,baada ya hapo akajua kwamba maadui wana kiu na damu yake,siku yoyote wanaweza fanikiwa adhma yao.

ikabidi kutumia nguvu kubwa kubadilisha mambo,ukiishakuwa rais ukawa mwoga,basi hakuna sifa yoyote utaacha,mfano mzuri ni vasco dagama,anakumbukwa kwa kucheza mziki na wapinzani tu.

mama anahujumiwa na hofu yake.wala sio watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…