Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha uongo mkuu, mikoa mingi ilikumbwa na ukame bt iloathirika zaidi na ukame ni tanga, arusha, kilimanjaro, manyara, moro, dar, pwani, zanziber na nk... maelfu ya mifugo walikufa lakini hatukushuhudia mabwawa yakikauka kama tunavyoambiwa sasa.Sio kweli mwaka 2017, kulikuwa na ukame mkubwa sana!!tena ilikuwa ni kwa baadhi ya mikoa tu, hasa, mwanza, shinyanga, tabora, lakini mikoa mingi ilikuwa n mvua,mimi nilikuwa katavi mvua zilikuwa nyingi tu.lakini kwa mwaka huu karibia mikoa yote hadi sasa mvua bado .
Kweli kabisa!acha uongo mkuu, mikoa mingi ilikumbwa na ukame bt iloathirika zaidi na ukame ni tanga, arusha, kilimanjaro, manyara, moro, dar, pwani, zanziber na nk... maelfu ya mifugo walikufa lakini hatukushuhudia mabwawa yakikauka kama tunavyoambiwa sasa.
Lete ukweli wako!Ukiona mtu anamkumbuka dikteta jua nae alikuwa mtesi na alikuwa kwenye kundi la kutesa watu.ukweli Yule jamaa Bora Mungu aliingilia Kati alikuwa hafai alikuwa muongo tu
Amlete dereva uchunguzi uanze mara moja!Waliomshambulia Lissu wameshindwa kukamatwa hadi leo kwanini?
Halafu mseme Mbowe aliplan kufanya mashbulio kwa viongozi na mumkamate kabla hajashambulia?
Shallow minded!
Dereva ndio alikua ndani ya gari na risasi zimemiminwa akiwemo pia peleka ujinga mbali huko?Amlete dereva uchunguzi uanze mara moja!