GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema wakati hajaingia madarakani biashara kati ya Tanzania na Kenya ilikuwa ngumu sana huku akikumbusha vifaranga vilivyochomwa moto mpakani akisema haikuwa sawa kuchoma vifaranga kutoka Kenya.
Chanzo: mwananchi_official
Sasa kama kumbe unamchukia na uliona hakuwa kiongozi sahihi iweje ulikubali kuwa chini yake kama Makamu wake wa Rais? Kuna mtu yoyote labda alikuzuia kujiuzulu ili ateuliwe Makamu wa Rais mwingine na wewe uliyekuwa ukimwona hafai na mkatili ukae zako tu pembeni?
GENTAMYCINE nakiri wazi hapa kuwa kama mwanadamu/binadamu Hayati Magufuli alikuwa na mapungufu yake na tuliyompenda tutazidi kumuombea msamaha kwa Mwenyezi Mungu. Ila tuache kutafuta kukubalika kwetu kwa Watanzania, Wazungu na wana Afrika Mashariki wenzetu kupitia mgongo wa kumsema vibaya (kumchafua) na kumfumbia mafumbo ya kipwani pwani tu.
Hebu tumuacheni sasa baba wa watu apumzike huko alikolala usingizi wake wa milele na sisi (akina GENTAMYCINE) tuliyoshika usukani sasa tufanye zaidi ya aliyoyafanya ili nasi tukija kustaafu uongozini tusianze kubezwa kuwa tulitumia muda mwingi kuzurura ovyo, kutumia kibinafsi pesa za Wazungu, kunywa mno mivinyo ya Kifaransa na kuwawezesha akina Shilole na mitaji ya shilingi milioni 500 huko Dodoma (kama malipo ya burudani maalum) anayoitoa.
Msitulazimishe wenye akili kubwa, zilizotukuka na kubarikiwa na Mwenyezi Mungu tuanze sasa kuhisi kuwa huenda tarehe 17 Machi, 2021 Israel mtoa roho hakufanya kazi yake pekee ya kumtwaa mazima 'Mwamba' bali alisaidiwa kwa ukaribu na aliokuwa akiwaamini, kuwa nao karibu na kumsifia kinafiki kila walipokuwa naye katika matukio muhimu Magogoni na Chamwino.