Hayati Magufuli amekukosea nini kila mara unamkosoa kimafumbo kwa watu mbalimbali?

Hata kama amekosea kwenye taratibu za uandishi ila ujumbe uko palepale. Aliyeweka watu kwenye viroba na aliyekuwa chini yake kwa uongozi wa kijani wote matatizo, hata wewe ni matatizo ndo maana unaona mema tu na kusifia hutaki mtu akukumbushe maovu.
Hujawahi Kumiliki Akili tokea Uzaliwe.
 
Low IQ, poor mindset & poor comments

We jamáa huwa ni kielelezo cha UJINGA na UPUMBAVU

Nakushauri ungebakigi kwenye jukwaa la Sports peke yake huko kidogo utapamudu
Ukiona Mtu mpaka GENTAMYCINE namdharau Mtu hapa JamiiForums kama huyo Matola jua ni International Certified Fool na huwa nashangaa na namshangaa kuwa hajishtukii tu huku Wengine sasa tukiwa tunamsanifu.

Heko Kwako kwa Kumwambia Ukweli.
 
Unapoanzisha thread za Magufuli maana yake wewe ndio unaalika watu waje kumpopowa huyo Ibilisi wenu.

Anza wewe kumuacha huyo Ibilisi apumzike ili wengine waache kumuandika, ingawa si rahisi huyo Ibilisi kupumzika kwa amani kwa matendo yake ya kishetani aliyoyafanya.
JPM ameshatangualia mbele ya haki muda mrefu sasa. Tulimsema sana wakati ule na baada ya kufa kwake.

How has that helped? Mbona tuna changamoto zinazojirudiarudia baada ya kufa kwake? Nani abebeshwe huo mzigo?

Muosha naye huoshwa. Kwa siasa hizi za maneno maneno, sidhani kama kuna ambaye atasalimika kuambiwa hakuwa competent, kama bado tunaendelea kutumia majina ya waliopita, kwa kuwabeza. Hujafa, hujaumbika
 
Hata kama amekosea kwenye taratibu za uandishi ila ujumbe uko palepale. Aliyeweka watu kwenye viroba na aliyekuwa chini yake kwa uongozi wa kijani wote matatizo, hata wewe ni matatizo ndo maana unaona mema tu na kusifia hutaki mtu akukumbushe maovu.
Nani aliyewekwa kwenye viroba? Nani asiyeweka kwenye viroba?
 
Hakuna mtu smart anafanya kazi serikalini, huko wamejaa wadumavu wa akili tu.

Usinifanishe kabisa, sihitaji cheti chochote cha kitaaluma kwenye maisha yangu, makaratasi hayana nafasi kwenye kazi zangu ni intelligence tu ndio inahitajika.
you make alot of senses
 
Laiti ingekuwa akisimama jukwaani na kufukua makaburi ya mtangulizi wake Kuna mwongezea credibility basi matunda yangeonekana ila hakuna mwisho wa siku anaonekana mwongeaji wa mipasho na hakuna anachofanya.

Afanye kazi atatue changamoto za watanzania hili ndo tunalohitaji kufukua makaburi hakutupeleki Canaan kwenye nchi ya ahadi.
 
JPM ameshatangualia mbele ya haki muda mrefu sasa. Tulimsema sana wakati ule na baada ya kufa kwake.

How has that helped? Mbona tuna changamoto zinazojirudiarudia baada ya kufa kwake? Nani abebeshwe huo mzigo?

Muosha naye huoshwa. Kwa siasa hizi za maneno maneno, sidhani kama kuna ambaye atasalimika kuambiwa hakuwa competent, kama bado tunaendelea kutumia majina ya waliopita, kwa kuwabeza. Hujafa, hujaumbika
Hongera kwa Kujitahidi Kwako kumuelimisha huyo International Certified Fool Matola japo naona kama vile umepoteza tu muda wako kwani ukiona hadi Mimi Namdharau jua Yeye ni Empty Set wa Kutukuka.
 
Laiti ingekuwa akisimama jukwaani na kufukua makaburi ya mtangulizi wake Kuna mwongezea credibility basi matunda yangeonekana ila hakuna mwisho wa siku anaonekana mwongeaji wa mipasho na hakuna anachofanya.

Afanye kazi atatue changamoto za watanzania hili ndo tunalohitaji kufukua makaburi hakutupeleki Canaan kwenye nchi ya ahadi.
She's incompetent for the HS position.
 
Niliwahi sikia huko,kuwa ukiona mutu anasumbulia kumsema mwenzake,ni eti huyo mutu anamkubali huyo mutu na kumuogopa,ila sasa...

(sijui ni kweli ?)
 
Unapoanzisha thread za Magufuli maana yake wewe ndio unaalika watu waje kumpopowa huyo Ibilisi wenu.

Anza wewe kumuacha huyo Ibilisi apumzike ili wengine waache kumuandika, ingawa si rahisi huyo Ibilisi kupumzika kwa amani kwa matendo yake ya kishetani aliyoyafanya.
Watu wa Pwani hawapendi kusikia Rais Magufuli kutoka bara tena mkristo kafanya makubwa ndani ya nchi hii kwa muda mchache wana chuki za kikabila na kidini shetani anasubiri yaani ni wajinga wa karne.
 
Back
Top Bottom