Hayati Magufuli amekukosea nini kila mara unamkosoa kimafumbo kwa watu mbalimbali?

Je wakulima wanaolala njaa na kula mlo mmoja kwa siku november hii, unawaambiaje?

tofautisha mkulima na mfanya biashara wa mazao.
kumbuka: wanaolima kibiasha ni wachache sana kuliko wanaolima kwa ajiri ya chakula chao binafsi.
Hao Ni Wakulima au wazururaji wa Mjini?

Sasa ulime mwenyewe afu ulale njaa? Inaingia akilini?

Ukilima weka chakula ziada uza
 
Tuacheni mbembwe za hapa mtandaoni, ukitaka kujua hali ikoje, ingia mtaani.
utagundua ni 20% tu wanaofurahia kipindi hiki.
Enzi ya JKN watu walikuwa wanalalamika chini chini mpaka wengine walianzisha redio 'kiroboto' na vijana kujaribu kuteka ndege nyara. Hii inaonyesha jinsi watu walivyokuwa hawakuridhika na maisha lakini walishindwa la kufanya.

Enzi ya Mzee Mwinyi, malalamiko ya kila aina na mzee wa watu alitukanwa matusi mpaka ya nguoni (kwa maneno yake).

Kuja Ben Mkapa, alivyoanza tu alizuia mzunguko wa fedha na alianza kulalamikiwa na kutukanwa kwenye magazeti na njaa ikaitwa 'ukapa'. Mzee wa watu ilibidi akamate kalamu na kujibu hoja mwenyewe (kwa wanaolikumbuka gazeti la The Express).

Akaingia JK naye kwa mbwembwe nyingi lakini fika awamu ya pili tayari matusi kwa wingi, kijana wa watu yeye akicheka tu na kuvumilia ndani kwa ndani (wakati huu ndiyo mitandao ya simu imeanza).

Zamu ya JPM nayo ilianza kwa hasira na vilio kwa baadhi na wengine wakisifia kama kawaida, ikawafaidisha na kuwaumiza wengi kwa mipigo tafauti. Enzi hii ndiyo ukitoa lawama sijui ulikuwa unaishia wapi kwa hivyo ikabakia masifa kwa wingi tu.

Sasa zamu ya mwanamke wa kwanza kuwa raisi katika taifa hili. Kwanza kuna watu ambao hawaamini kuongozwa na mwanamke, pili kuna wale wanaolaumu au kusifia kwa kila kitu. Akifanya hili sifa/lawama, akiongoza hivi sifa/lawama.

Sasa tunasubiri Mungu atushushie malaika labda ndiyo tutaridhika.
 
Hebu tumuacheni sasa baba wa watu apumzike huko alikolala usingizi wake wa milele na sisi
hatumwachi adi aseme Ben Saanane na Azory wapo wapi? na nani alimmiminia Lissu marisasai dazani kwa dazani - haya yote yalifanyika yeye akiwa Chief of Government pale State Hse, Ikulu Dar es saalam katulia !! Majibuu.
 
Enzi ya JKN watu walikuwa wanalalamika chini chini mpaka wengine walianzisha redio 'kiroboto' na vijana kujaribu kuteka ndege nyara. Hii inaonyesha jinsi watu walivyokuwa hawakuridhika na maisha lakini walishindwa la kufanya.

Enzi ya Mzee Mwinyi, malalamiko ya kila aina na mzee wa watu alitukanwa matusi mpaka ya nguoni (kwa maneno yake).

Kuja Ben Mkapa, alivyoanza tu alizuia mzunguko wa fedha na alianza kulalamikiwa na kutukanwa kwenye magazeti na njaa ikaitwa 'ukapa'. Mzee wa watu ilibidi akamate kalamu na kujibu hoja mwenyewe (kwa wanaolikumbuka gazeti la The Express).

Akaingia JK naye kwa mbwembwe nyingi lakini fika awamu ya pili tayari matusi kwa wingi, kijana wa watu yeye akicheka tu na kuvumilia ndani kwa ndani
Ndio maana marais tunawapigia kura. Atakaepata kura nyingi basi huyo afaa kuwa rais.
sasa tunaangalia mzigo umelalia wapi!
kama wanaumizwa wengi zaidi bas ukweli utajitenga na uongo automatic.
 
Asingeweza kuuwa wote halafu akusanyie hela wapi?

Waliouawa ni wale ambao walikuwa wabishi ku surrender hela zao walizotafuta kwa jasho.
all in all, rais hawezi kumridhisha kila mwananchi.
 
Unapoanzisha thread za Magufuli maana yake wewe ndio unaalika watu waje kumpopowa huyo Ibilisi wenu.

Anza wewe kumuacha huyo Ibilisi apumzike ili wengine waache kumuandika, ingawa si rahisi huyo Ibilisi kupumzika kwa amani kwa matendo yake ya kishetani aliyoyafanya.
Ibilisi wapi ww kima.
Watu tupo gizani na umeme hakuna unaleta mipasho stupid
 
Mwanamke akikutaka hakutongozi kwa sura ya mbuzi, atatumia body language.
Huyu mama anaona viatu vya mwendazake ni vikubwa sana kwake. Tatizo mama anataka Kucheza na jukwaa, kumbe hajui kuwa uchawi ni kufanya vitu tangible ndio utasepa na kijiji cha mioyo ya wabongo.

Mama angebeba mazuri yote ya yule jamaa, kisha angeyachukua mazuri yote ya kaka yake wanaye share naye baba pale kwenye uchumi wa blue, angechanganya na makorokocho yake, mbona mambo yakekuwa ni BAMBAM
Mwamba sidhani wamekuelewa!

RIP Magufuli
 
Nakubaliana na hoja zote za mleta uzi ila pia nakubaliana nae kwa namna anavowanyoosha wenye vyeti fake wanao jaribu kumchafua Mwendazake kwenye comments
 
Sisi hatuwezi kulikumbuka lile jambazi acha liendelee kuchomwa Moto huko liliko jinga kuwahi kutokea chato
 
Enzi ya JKN watu walikuwa wanalalamika chini chini mpaka wengine walianzisha redio 'kiroboto' na vijana kujaribu kuteka ndege nyara. Hii inaonyesha jinsi watu walivyokuwa hawakuridhika na maisha lakini walishindwa la kufanya.

Enzi ya Mzee Mwinyi, malalamiko ya kila aina na mzee wa watu alitukanwa matusi mpaka ya nguoni (kwa maneno yake).

Kuja Ben Mkapa, alivyoanza tu alizuia mzunguko wa fedha na alianza kulalamikiwa na kutukanwa kwenye magazeti na njaa ikaitwa 'ukapa'. Mzee wa watu ilibidi akamate kalamu na kujibu hoja mwenyewe (kwa wanaolikumbuka gazeti la The Express).

Akaingia JK naye kwa mbwembwe nyingi lakini fika awamu ya pili tayari matusi kwa wingi, kijana wa watu yeye akicheka tu na kuvumilia ndani kwa ndani (wakati huu ndiyo mitandao ya simu imeanza).

Zamu ya JPM nayo ilianza kwa hasira na vilio kwa baadhi na wengine wakisifia kama kawaida, ikawafaidisha na kuwaumiza wengi kwa mipigo tafauti. Enzi hii ndiyo ukitoa lawama sijui ulikuwa unaishia wapi kwa hivyo ikabakia masifa kwa wingi tu.

Sasa zamu ya mwanamke wa kwanza kuwa raisi katika taifa hili. Kwanza kuna watu ambao hawaamini kuongozwa na mwanamke, pili kuna wale wanaolaumu au kusifia kwa kila kitu. Akifanya hili sifa/lawama, akiongoza hivi sifa/lawama.

Sasa tunasubiri Mungu atushushie malaika labda ndiyo tutaridhika.
Malaika hahitajiki na wananchi lazima walalamike kwa utendaji usioridhisha wa viongozi waliokabidhiwa pesa na rasilimali za taifa kushughulikia matatizo na maendeleo ya nchi.

TATIZO KUBWA - wananchi wana nafasi gani katika kuchagua na kuwawajibisha viongozi wao? Je, wakipiga kura uamuzi wao unaheshimika?

Kwa kadiri uongozi wa nchi utakuwa unawekwa kimabavu kwa jeuri ya wachache, lazima watanzania watatoa kasoro kwa watawala na wao (wananchi) kujiona hawahusiki na utendaji mbovu unaoendelea serikalini. Hawawezi kukosoa wala kumuwajibisha yeyote.
 
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema wakati hajaingia madarakani biashara kati ya Tanzania na Kenya ilikuwa ngumu sana huku akikumbusha vifaranga vilivyochomwa moto mpakani akisema haikuwa sawa kuchoma vifaranga kutoka Kenya.

Chanzo: mwananchi_official

Sasa kama kumbe unamchukia na uliona hakuwa kiongozi sahihi iweje ulikubali kuwa chini yake kama Makamu wake wa Rais? Kuna mtu yoyote labda alikuzuia kujiuzulu ili ateuliwe Makamu wa Rais mwingine na wewe uliyekuwa ukimwona hafai na mkatili ukae zako tu pembeni?

GENTAMYCINE nakiri wazi hapa kuwa kama mwanadamu/binadamu Hayati Magufuli alikuwa na mapungufu yake na tuliyompenda tutazidi kumuombea msamaha kwa Mwenyezi Mungu. Ila tuache kutafuta kukubalika kwetu kwa Watanzania, Wazungu na wana Afrika Mashariki wenzetu kupitia mgongo wa kumsema vibaya (kumchafua) na kumfumbia mafumbo ya kipwani pwani tu.

Hebu tumuacheni sasa baba wa watu apumzike huko alikolala usingizi wake wa milele na sisi (akina GENTAMYCINE) tuliyoshika usukani sasa tufanye zaidi ya aliyoyafanya ili nasi tukija kustaafu uongozini tusianze kubezwa kuwa tulitumia muda mwingi kuzurura ovyo, kutumia kibinafsi pesa za Wazungu, kunywa mno mivinyo ya Kifaransa na kuwawezesha akina Shilole na mitaji ya shilingi milioni 500 huko Dodoma (kama malipo ya burudani maalum) anayoitoa.

Msitulazimishe wenye akili kubwa, zilizotukuka na kubarikiwa na Mwenyezi Mungu tuanze sasa kuhisi kuwa huenda tarehe 17 Machi, 2021 Israel mtoa roho hakufanya kazi yake pekee ya kumtwaa mazima 'Mwamba' bali alisaidiwa kwa ukaribu na aliokuwa akiwaamini, kuwa nao karibu na kumsifia kinafiki kila walipokuwa naye katika matukio muhimu Magogoni na Chamwino.
Uchanganuzi mzuri wa kauli ya Rais Samia. Kuna haja gani ya kulitaja jambo ambalo limekwisha pita? Basi awafufue hao vifaranga walioteketezwa kama alikerwa sana na hicho kitendo. Hili ndiyo tatizo la kuwa na maafisa waandamizi ambao wanakaa kimya bila kumshauri mkubwa wao wakati wanaona mambo yanakwenda sivyo. Serikali ndiyo iliyotekeleza kitendo hicho, akiwemo Makamu wa Rais, Samia. Hiyo ndiyo collective responsibility. Kama hakukubaliana na uamuzi huo ilibidi ajiondoe serikalini. Siyo leo unakuja kumshutumu bosi wako wa zamani wakati hukumshauri cho chote.
 
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema wakati hajaingia madarakani biashara kati ya Tanzania na Kenya ilikuwa ngumu sana huku akikumbusha vifaranga vilivyochomwa moto mpakani akisema haikuwa sawa kuchoma vifaranga kutoka Kenya.

Chanzo: mwananchi_official

Sasa kama kumbe unamchukia na uliona hakuwa kiongozi sahihi iweje ulikubali kuwa chini yake kama Makamu wake wa Rais? Kuna mtu yoyote labda alikuzuia kujiuzulu ili ateuliwe Makamu wa Rais mwingine na wewe uliyekuwa ukimwona hafai na mkatili ukae zako tu pembeni?

GENTAMYCINE nakiri wazi hapa kuwa kama mwanadamu/binadamu Hayati Magufuli alikuwa na mapungufu yake na tuliyompenda tutazidi kumuombea msamaha kwa Mwenyezi Mungu. Ila tuache kutafuta kukubalika kwetu kwa Watanzania, Wazungu na wana Afrika Mashariki wenzetu kupitia mgongo wa kumsema vibaya (kumchafua) na kumfumbia mafumbo ya kipwani pwani tu.

Hebu tumuacheni sasa baba wa watu apumzike huko alikolala usingizi wake wa milele na sisi (akina GENTAMYCINE) tuliyoshika usukani sasa tufanye zaidi ya aliyoyafanya ili nasi tukija kustaafu uongozini tusianze kubezwa kuwa tulitumia muda mwingi kuzurura ovyo, kutumia kibinafsi pesa za Wazungu, kunywa mno mivinyo ya Kifaransa na kuwawezesha akina Shilole na mitaji ya shilingi milioni 500 huko Dodoma (kama malipo ya burudani maalum) anayoitoa.

Msitulazimishe wenye akili kubwa, zilizotukuka na kubarikiwa na Mwenyezi Mungu tuanze sasa kuhisi kuwa huenda tarehe 17 Machi, 2021 Israel mtoa roho hakufanya kazi yake pekee ya kumtwaa mazima 'Mwamba' bali alisaidiwa kwa ukaribu na aliokuwa akiwaamini, kuwa nao karibu na kumsifia kinafiki kila walipokuwa naye katika matukio muhimu Magogoni na Chamwino.
Bibi ni 0 brain..
 
Alikuwa mzigo mkubwa kwa Nchi,sie wakulima tulipata hasara kubwa Sana na kufukarishwa Sana..

Yule baba aliwakwaza wengi ikiwemo kudhalilisha Viongozi wenzake hadharani na sirini..Acha wapumue kwa kutoa nyongo zao..

Unavyoumia wewe shabiki yake akisemwa ndivyo wao waliumia wakisemwa..

Mama shikilia hapo hapo tuko pamoja dozi imeanza kukolea kwa mapopoma.
Sis tunaangaika na Hali mbaya ya kiuchumi na uchumi kudororo na hakuna ji tiada zozte ya kutoka huku tuliko

Mam Samia [emoji41] aisee hpn kwakweli upigaji umerudi kwa kiwango kikubwa mno
 
[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2427621
Ni picha tu ya hela hapo, wala hakuna chumba chochote hapo, hivi unafikiri kupitia nini?

Hata mtoto mdogo anakuzidi akili, je kama Mtu alikuwa na chuki naye akajizushia tu kukupumbaza akili we wa vyeti feki, jipu lililotumbuliwa, muuza ngada, mkwepa kodi, mpitisha magendo uliyeishi kama shetani zama zake hutaamini + chuki zako za kipumbavu juu ya Hayati JPM [emoji848][emoji1787]
 
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema wakati hajaingia madarakani biashara kati ya Tanzania na Kenya ilikuwa ngumu sana huku akikumbusha vifaranga vilivyochomwa moto mpakani akisema haikuwa sawa kuchoma vifaranga kutoka Kenya.

Chanzo: mwananchi_official

Sasa kama kumbe unamchukia na uliona hakuwa kiongozi sahihi iweje ulikubali kuwa chini yake kama Makamu wake wa Rais? Kuna mtu yoyote labda alikuzuia kujiuzulu ili ateuliwe Makamu wa Rais mwingine na wewe uliyekuwa ukimwona hafai na mkatili ukae zako tu pembeni?

GENTAMYCINE nakiri wazi hapa kuwa kama mwanadamu/binadamu Hayati Magufuli alikuwa na mapungufu yake na tuliyompenda tutazidi kumuombea msamaha kwa Mwenyezi Mungu. Ila tuache kutafuta kukubalika kwetu kwa Watanzania, Wazungu na wana Afrika Mashariki wenzetu kupitia mgongo wa kumsema vibaya (kumchafua) na kumfumbia mafumbo ya kipwani pwani tu.

Hebu tumuacheni sasa baba wa watu apumzike huko alikolala usingizi wake wa milele na sisi (akina GENTAMYCINE) tuliyoshika usukani sasa tufanye zaidi ya aliyoyafanya ili nasi tukija kustaafu uongozini tusianze kubezwa kuwa tulitumia muda mwingi kuzurura ovyo, kutumia kibinafsi pesa za Wazungu, kunywa mno mivinyo ya Kifaransa na kuwawezesha akina Shilole na mitaji ya shilingi milioni 500 huko Dodoma (kama malipo ya burudani maalum) anayoitoa.

Msitulazimishe wenye akili kubwa, zilizotukuka na kubarikiwa na Mwenyezi Mungu tuanze sasa kuhisi kuwa huenda tarehe 17 Machi, 2021 Israel mtoa roho hakufanya kazi yake pekee ya kumtwaa mazima 'Mwamba' bali alisaidiwa kwa ukaribu na aliokuwa akiwaamini, kuwa nao karibu na kumsifia kinafiki kila walipokuwa naye katika matukio muhimu Magogoni na Chamwino.
kama anayoyaongea mama samia kumuhusu magufuri ni uongo basi mama samia atakuwa anakosea sana.....lakini kama anachokiongea kumhusu magufuri kina ukweli wa 90% basi huyu mama ni mchamungu wa hali ya juu
 
Funny enough hayo yalifanyika akiwa makamu wa rais, sijui huwa analifikiria hilo!!!
 
Back
Top Bottom