Hayati Magufuli amekukosea nini kila mara unamkosoa kimafumbo kwa watu mbalimbali?

Unapoanzisha thread za Magufuli maana yake wewe ndio unaalika watu waje kumpopowa huyo Ibilisi wenu.

Anza wewe kumuacha huyo Ibilisi apumzike ili wengine waache kumuandika, ingawa si rahisi huyo Ibilisi kupumzika kwa amani kwa matendo yake ya kishetani aliyoyafanya.
Hivi ilikuwaje ukammanulia hiyo papa yako mwishowe akakuachia kovu lisilopona?
 
Hakuna Rais aliyesema wengine Kama Magufuli, kwa Nini na yeye alikubali kuwa kwenye serikali ya Mkapa na Kikwete?
 
Hao Ni Wakulima au wazururaji wa Mjini?

Sasa ulime mwenyewe afu ulale njaa? Inaingia akilini?

Ukilima weka chakula ziada uza
Wewe nilishakuambiaga huna akili na huu uchawa wako hata huyo mamako anashangaa sana!

Wakulima wenyewe ndio hao ambao kwa sasa wanagombania mahindi ya msaada?

Hivi mmejaza mimavi humo vichwani mwenu?

Mwambieni ukweli huyu mamaenu kwamba hali ni mbaya!
 
Unapoanzisha thread za Magufuli maana yake wewe ndio unaalika watu waje kumpopowa huyo Ibilisi wenu.

Anza wewe kumuacha huyo Ibilisi apumzike ili wengine waache kumuandika, ingawa si rahisi huyo Ibilisi kupumzika kwa amani kwa matendo yake ya kishetani aliyoyafanya.
Umesema kweli tupu Aisee!
 
Mwanamke akikutaka hakutongozi kwa sura ya mbuzi, atatumia body language.
Huyu mama anaona viatu vya mwendazake ni vikubwa sana kwake. Tatizo mama anataka Kucheza na jukwaa, kumbe hajui kuwa uchawi ni kufanya vitu tangible ndio utasepa na kijiji cha mioyo ya wabongo.

Mama angebeba mazuri yote ya yule jamaa, kisha angeyachukua mazuri yote ya kaka yake wanaye share naye baba pale kwenye uchumi wa blue, angechanganya na makorokocho yake, mbona mambo yakekuwa ni BAMBAM
Aisee! Mbona mnawapa watu msongo wa Mawazo?
 
Sisi (akina GENTAMYCINE) tuliyoshika usukani sasa tufanye zaidi ya aliyoyafanya ili nasi tukija kustaafu uongozini tusianze kubezwa kuwa tulitumia muda mwingi kuzurura ovyo, kutumia kibinafsi pesa za Wazungu, kunywa mno mivinyo ya Kifaransa na kuwawezesha akina Shilole na mitaji ya shilingi milioni 500 huko Dodoma (kama malipo ya burudani anayoitoa.
Wana CCM wanaamini mpaka Mwenezi ana Bwana wake kabisa huko Pemba 😃😃😃
 
ni fear phobia,anafanya reference ili aonekane anafanya kazi,nimeshamwambia haina haya ya kujipromote ndo uonekane unafanya kazi
 
Mama km kweli alikua pro west maximum angejiuzuru kuliko kuendelea kubaki madarakani.wakati 80% hawakuendana.
Halafu Leo unakwenda kuzuru kaburi ili iweje?
Kupitia huyo mbaya Kuna wengine walipata haki zao za kielimu na hata umiliki wa Mali zilizoporwa na wakubwa.
Kuna watu walikaa na cheo kimoja miaka kumi na kitu kupitia huyonjuyo mbaya fasta watu waliwjibishwa na mtu kapata stahili zake
Mm naamin siasa za mipasho zina wagharimu wenyewe huko mbele kuliko wanavyofikiri.
Mfano pamoja na uchafu wa mji angalia kuhusu rumbesa,tozo na Kodi mbali mbali,uhuru wa wafanya biashara wadogo halafu linganisha na mambo mengine mwite mwananchi akupigie kura uone kipi ni kipi utajua uhalisia..
Kwa Sasa lazima twende na biti ili tufaidi mema ya nchi maana mpiga zumaru ndio anachagua nyimbo.
Kuendelea kumsema mtu ambaye hawezi kukujibu unajishushia hadhi,
Pia alipaswa achukue ya baba mazuri,ya kaka yake mazuri ,ya mshahuri wake mkuu mazuri aunganishe na yake ili na yeye. Akimaliza ajue alisimamia wapi na kwa nn?
Unaweza ukawa unauZA Kenya au kongo gunia. La mahindi laki na nusu je ni kweli iyo laki na nusu kapewa mkulima au mfanya biashara?utakuta mkulima kapewa. 40 elfu Tena ya mkopo wakati akipambania kupalilia mahindi ili yakuwe ajikim,awamu ya Mwingine akawa anauza dar guniai elfu themanini
na mkulima akapewa 50.
Unadhani huyu mkulima atamuona nani Bora?
Mbona hayazungumzii ya msoga mabaya na yupo hai na anaweza kujibu kwani msoga yote yalikua mema?inawezekana aliepotea enzi za chato ni binamu yako lakini aliepotea enzi za msoga ni binamu wa mwingine..
 
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema wakati hajaingia madarakani biashara kati ya Tanzania na Kenya ilikuwa ngumu sana huku akikumbusha vifaranga vilivyochomwa moto mpakani akisema haikuwa sawa kuchoma vifaranga kutoka Kenya.

Chanzo: mwananchi_official

Sasa kama kumbe unamchukia na uliona hakuwa kiongozi sahihi iweje ulikubali kuwa chini yake kama Makamu wake wa Rais? Kuna mtu yoyote labda alikuzuia kujiuzulu ili ateuliwe Makamu wa Rais mwingine na wewe uliyekuwa ukimwona hafai na mkatili ukae zako tu pembeni?

GENTAMYCINE nakiri wazi hapa kuwa kama mwanadamu/binadamu Hayati Magufuli alikuwa na mapungufu yake na tuliyompenda tutazidi kumuombea msamaha kwa Mwenyezi Mungu. Ila tuache kutafuta kukubalika kwetu kwa Watanzania, Wazungu na wana Afrika Mashariki wenzetu kupitia mgongo wa kumsema vibaya (kumchafua) na kumfumbia mafumbo ya kipwani pwani tu.

Hebu tumuacheni sasa baba wa watu apumzike huko alikolala usingizi wake wa milele na sisi (akina GENTAMYCINE) tuliyoshika usukani sasa tufanye zaidi ya aliyoyafanya ili nasi tukija kustaafu uongozini tusianze kubezwa kuwa tulitumia muda mwingi kuzurura ovyo, kutumia kibinafsi pesa za Wazungu, kunywa mno mivinyo ya Kifaransa na kuwawezesha akina Shilole na mitaji ya shilingi milioni 500 huko Dodoma (kama malipo ya burudani maalum) anayoitoa.

Msitulazimishe wenye akili kubwa, zilizotukuka na kubarikiwa na Mwenyezi Mungu tuanze sasa kuhisi kuwa huenda tarehe 17 Machi, 2021 Israel mtoa roho hakufanya kazi yake pekee ya kumtwaa mazima 'Mwamba' bali alisaidiwa kwa ukaribu na aliokuwa akiwaamini, kuwa nao karibu na kumsifia kinafiki kila walipokuwa naye katika matukio muhimu Magogoni na Chamwino.

♨️
 
"Basi kuwachoma moto vifaranga ni nzuri kabisa"
Ule ulikuwa unyama wa hali ya juu kabisa.
 
Mwandishi wa gazeti la Mwanainchi Azory Gwanda aliuwawa na Polisi Tundu Lissu alipigwa risasi zaidi ya 15 nyumbani kwake Dodoma Ben Saanane kapotea haijulikani aliko wengine waliookotwa kwenye kiroba baharini mbona hasemi haya au vifaranga ni bora kuliko uhai wa Binadamu.
Proved :- wapo binadamu hawana ubongo wa kufikiri na kupima uzito wa mambo mbalimbali.
 
Wewe nilishakuambiaga huna akili na huu uchawa wako hata huyo mamako anashangaa sana!

Wakulima wenyewe ndio hao ambao kwa sasa wanagombania mahindi ya msaada?

Hivi mmejaza mimavi humo vichwani mwenu?

Mwambieni ukweli huyu mamaenu kwamba hali ni mbaya!
Wewe ndio huna akili,wapi wanagimbania mahindi ya msaada?
 
Kipanya pana kitu anamaanisha hapa...
 
Attachments

  • IMG-20221126-WA0021.jpg
    IMG-20221126-WA0021.jpg
    49.8 KB · Views: 4
  • IMG-20221126-WA0022.jpg
    IMG-20221126-WA0022.jpg
    54.7 KB · Views: 3
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema wakati hajaingia madarakani biashara kati ya Tanzania na Kenya ilikuwa ngumu sana huku akikumbusha vifaranga vilivyochomwa moto mpakani akisema haikuwa sawa kuchoma vifaranga kutoka Kenya.

Chanzo: mwananchi_official

Sasa kama kumbe unamchukia na uliona hakuwa kiongozi sahihi iweje ulikubali kuwa chini yake kama Makamu wake wa Rais? Kuna mtu yoyote labda alikuzuia kujiuzulu ili ateuliwe Makamu wa Rais mwingine na wewe uliyekuwa ukimwona hafai na mkatili ukae zako tu pembeni?

GENTAMYCINE nakiri wazi hapa kuwa kama mwanadamu/binadamu Hayati Magufuli alikuwa na mapungufu yake na tuliyompenda tutazidi kumuombea msamaha kwa Mwenyezi Mungu. Ila tuache kutafuta kukubalika kwetu kwa Watanzania, Wazungu na wana Afrika Mashariki wenzetu kupitia mgongo wa kumsema vibaya (kumchafua) na kumfumbia mafumbo ya kipwani pwani tu.

Hebu tumuacheni sasa baba wa watu apumzike huko alikolala usingizi wake wa milele na sisi (akina GENTAMYCINE) tuliyoshika usukani sasa tufanye zaidi ya aliyoyafanya ili nasi tukija kustaafu uongozini tusianze kubezwa kuwa tulitumia muda mwingi kuzurura ovyo, kutumia kibinafsi pesa za Wazungu, kunywa mno mivinyo ya Kifaransa na kuwawezesha akina Shilole na mitaji ya shilingi milioni 500 huko Dodoma (kama malipo ya burudani maalum) anayoitoa.

Msitulazimishe wenye akili kubwa, zilizotukuka na kubarikiwa na Mwenyezi Mungu tuanze sasa kuhisi kuwa huenda tarehe 17 Machi, 2021 Israel mtoa roho hakufanya kazi yake pekee ya kumtwaa mazima 'Mwamba' bali alisaidiwa kwa ukaribu na aliokuwa akiwaamini, kuwa nao karibu na kumsifia kinafiki kila walipokuwa naye katika matukio muhimu Magogoni na Chamwino.
Magufuli alikua shetani ana haki ya kumchukia hivi unajua mwendazake aliwahi kuwatuma watu wakamtilie sumu bi mkubwa au unaongea tu....
 
"Basi kuwachoma moto vifaranga ni nzuri kabisa"
Ule ulikuwa unyama wa hali ya juu kabisa.
Yaani uteketezaji wa vifaranga,au mimea au hata siraha zilizopatikana kinyume na sheria ya nchi ni kwa mujibu wa sheria zetu na mikataba mbali mbali ya kuzuia uhalifu na magonjwa.
Km angekua anaona mbali basi angeenda kubadili sheria ili km ikitokea siku ingine iwe na mbadala wake mfano badala ya kuteketeza siraha zilizokamatwa basi tuzisajili tuzitumie kwa kua siraha. Hazina hatia mwenye hatia ni binadam.
Kuendelea kulaumu kosa bila kubadili sheria mbovu au kandamizi na upo kwenye mamlaka ya kuweza kufanya au kuanzisha mchakato wa kubadili sheria ni ujuha mwingine.
Yaani rais analalamika mtendaji wa serikali analalamika mbunge analalamika diwani pia analalamika na mkulimaa nae analalamika Sasa si tutakuwa nchi ya wenda wazimu?
 
Back
Top Bottom