Hayati Magufuli amekukosea nini kila mara unamkosoa kimafumbo kwa watu mbalimbali?

Ukiona mtu yoyote kutwa kumlilia marehemu ujuwe huyo mtu ni kama behewa la SGR anasubiri kichwa aje avutwe tu. Move on haya maisha kila zama na nyakati zake fikiria future sio kila siku uko juu ya kaburi unalia Mkewe mwenyewe ndio kwanza kanawiri siku hizi wewe unateseka.
 
He was a trouble Booster,problems makers everywhere! Inside and outsides!
 
He was smart alijuwa kucheza na akili za watu kwa hilo nampa sifa na Tz wewe kuwa kama kina Mandonga tu utafanikiwa.
Two different things!, ukusema alikuwa kama mandoga it's ok, for lots of fictions and stands on its lie firmly!
 
Wewe mpiga deal na vyeti feki acha hizo. Acha Rais wa sasa afanye kaz yake ya Magufuli yashapita na mema yake yataendelea kubaki hakuna wa kuyapindua
 
Hivi unafahamu alitaka kujiuzulu mara ngapi na wazee tu ndo walimzuia kwa kuhofia kuleta tafrani?
 
Hakuna mtu smart anafanya kazi serikalini, huko wamejaa wadumavu wa akili tu.

Usinifanishe kabisa, sihitaji cheti chochote cha kitaaluma kwenye maisha yangu, makaratasi hayana nafasi kwenye kazi zangu ni intelligence tu ndio inahitajika.
Mkuu wewe ni 1 kwenye milioni 50, libarikiewe tumbo lililokubeba kwa miezi 9! Comment Bora kabisa kwa mwaka 2022 hapa jf!
 
Pamoja na madhaifu yake niliweza kuwapa watoto ugali kwa tshs 1500/- lakini Sasa Hali sivyo kabisa !! Mungu amsamehe maovu yake yaliyozidi kimo Cha uanadamu!!!
 
Currently, we have the most incompetent president ever in office. Luckily, we have a few years to go till the ballot box decides.
 
KAWAULIZE,AZORY GWANDA,MAWAZO ALPHONCE,AQWELINE NK.AFU RUDI HAPA[emoji120]
 
Kuna wakati una weza kuona Mambo hayako sawa lakini mazingira yasiku ruhusu kuya zuia Yuko sahihi mkuu

Mzee alizidi ukatiri
 
Kila mwanadamu ana mazuri yake na mabaya yake pia.
Inabidi tujikite kuijenga Nchi hayo mengine yalishatokea na mhusika hayupo
 
Aliyewaambia wastaafu wanawashwawashwa alikua anaitaka mikuyenge ya wastaafu!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…