Hayati Magufuli anapaswa kupewa Heshima ya Baba wa Pili wa Taifa la Tanzania

Mleta mada
Ushauri kwako.... hamia Chato ukaunge ukoo
Usitupangie
Baba wa Taifa ni mmoja
Mbona Mkapa hamkuja na hili pendekezo? Maana alikuwa bora mara elfu kuliko huyu mnayempigia debe
ukiona sikuja na wazo hili basi tambua hajatosha kuvaa hivyo viatu
 
Stop daydreaming. The guy belongs to the past
 
Hakika hakuna kitu kama Tanzania ya Kesho itajengwa na wa Kesho bali hakika itajengwa na wa Leo na itafaidiwa na wa kesho
 
Ukishakubali kuwa kuna mema na mabaya . Basi ujue daima UBAYA unafunika MEMA .

Yaani unasifia miaka mitano na ushee isiyokuwa na ajira ?!.
Miaka mitano ya WASIOJULIKANA ?!
  • Ya bila kuhoji ?!
  • Ya bila democracy !!
  • Ya bila nyongeza za mishahara wala kupanda madaraja !!

Huo ubaba hautoshi mfanyeni mtakatifu wa taifa.

Into ija kanye ni ?!.[emoji107]

Odhis *
 
🚮
 
Tunamuheshimu Sana ila Baba huwa Ni mmoja tu,nafasi iliyopo Ni kutafuta Mama wa Taifa tu,na kwa kuwa Mama Samia amevunja mwiko wa kutokuwa na Rais wa kike yeye anastahili atakapostep down,tunamuombea atende urais wake kwa hekma,haki na weledi ili padiwepo na mtanzania wa kuona ukakasi pindi tutakapoanza kumuita Mama wa Taifa....Kama ilivyo kwa mwl Nyerere.
Waliobaki tutawaenzi Kama Marais wastaafu na inawatosha.
 
Baba wa pili wa taifa kivipi yaani? unamaanisha awe baba wa kambo wa taifa au namna gani? Acha ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…