Hayati Magufuli anapaswa kupewa Heshima ya Baba wa Pili wa Taifa la Tanzania

Baba wa pili kwenye ukoo wenu. Baba wa Taifa ni mmoja tu Nyerere, ukitaka kila mtu ataje Rais anayetaka awe baba wa Taifa sijui mdogo, au baba mchepuko itakuwa shida sana wengine mama zetu sio malaya kama wewe.
 
Mleta mada UTUKOME kabasa, usitujazie laana, baba wa taifa letu tunao tayari wawili,.
Mwalimu Nyerere na baba mdogo Karume.
 
Kunamijitu huwa inakera heshma ya baba wa taifa alipewa kwakuudai Uhuru wetu sasa huyo mpush mwenzio kafanya nini chaajabu zaidi ya kukusanya fedha kwa mabavu,kuvamia accounts za watu hadi vituo vinavyosaidia yatima na kuchkua pesa,wajeda kuvamia maduka yakubadili pesa no. Kisha kujengajenga!!
Mm machinga umeniumiza sana na hii post yako right ningejua karibu nawewe ningekutwisha gumi la uso
 
Habari za wakati huu, ni matumaini yangu wote ni wazima wa Afya na mnaendelea vyema na ujenzi wa Taifa letu pendwa Tanzania.

Tukirejea kwenye mada...Aliyekuwa Rais wa Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati John Magufuli alikuwa ni kiongozi wa namna yake na kwa wakati muafaka ambao amekaa madarakani amefanya vitu vingi ambavyo kwa namna moja au nyingine vimeleta mageuzi na mabadiliko makubwa kiuwajibikaji, kiuchumi na kijamii na kuwa chachu kubwa kwa ustawi wa kimaendeleo wa Taifa la Tanzania.

Hakika hakuna asie na makosa, nami nakiri kuna mahali ambako aliyumba lakini bado haiondoi uhalisia na ukweli kuwa alifanya hivyo kwa dhamira kuu ya kutetea na kupigania maslahi mapana ya Taifa letu sema kuna sehemu matokeo hayakuwa chanya japo lengo lake lilikuwa jema.

Tukijaribu kuweka katika mizani yale Mazuri na mabaya, kwa hakika mazuri ni mengi sana na mfumo wa utawala wake umejenga msingi imara kwa viongozi wengi waliopo sasa na watakaokuja baadae.

Inawezekana sio wote, ila wengi wetu ni mashahidi na tumeshuhudia mageuzi makubwa kwenye kuleta mabadiliko ya uwajibikaji serikalini, kuzuia rushwa na udanganyifu, Mfumo usio na upendeleo katika kutoa ajira, ujenzi na uboreshaji wa miundombinu yenye kuleta tija kiuchumi kama Bwawa la Nyerere na Reli ya SGR,Umeme vijijini, Uboreshaji wa huduma za Afya, Ongezeko la ukusanywaji wa kodi, uboreshaji wa mikataba ya madini na gesi na vinginevyo vingi ambayo vimefanikisha Tanzania kuingia katika uchumi wa kati wa chini mapema tofauti na ilivyotarajiwa.

Kwa hakika umefika wakati wa Hayati John Magufuli kupewa Heshima ya Baba wa pili wa Taifa la Tanzania, baada ya waasisi wa Taifa na Muungano ili kuyaenzi daima yale mema yote aliyoyafanya kwa maslahi mapana ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Na hatotukuwa nchi ya kwanza kufanya hivyo kwani hata Korea Kaskazini wana Baba wawili wa Taifa, ila yote kwa yote neno langu sio Sheria, ni mawazo yangu tu, hivyo nawasilisha.
Uliona wapi nyumba ikawa na baba wawili? Acheni kushusha thamani ya Tanzania na ya Nyerere. Hatuhitaji nchi kuwa na baba wawili, baba huwa ni moja tu kwenye familia
 
mataga vp nyiye wakati mnawaza haya watanzania wamefurahi kuondoka kwake mnashida sana
 
Wewe ebu tuache tumsahau huyu mtu maana mtima umeingia nyongo, tunechefukwa na utawala wake .

Najua kwako usimtupe jongoo na mti wake
 
Habari za wakati huu, ni matumaini yangu wote ni wazima wa Afya na mnaendelea vyema na ujenzi wa Taifa letu pendwa Tanzania.

Tukirejea kwenye mada...Aliyekuwa Rais wa Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati John Magufuli alikuwa ni kiongozi wa namna yake na kwa wakati muafaka ambao amekaa madarakani amefanya vitu vingi ambavyo kwa namna moja au nyingine vimeleta mageuzi na mabadiliko makubwa kiuwajibikaji, kiuchumi na kijamii na kuwa chachu kubwa kwa ustawi wa kimaendeleo wa Taifa la Tanzania.

Hakika hakuna asie na makosa, nami nakiri kuna mahali ambako aliyumba lakini bado haiondoi uhalisia na ukweli kuwa alifanya hivyo kwa dhamira kuu ya kutetea na kupigania maslahi mapana ya Taifa letu sema kuna sehemu matokeo hayakuwa chanya japo lengo lake lilikuwa jema.

Tukijaribu kuweka katika mizani yale Mazuri na mabaya, kwa hakika mazuri ni mengi sana na mfumo wa utawala wake umejenga msingi imara kwa viongozi wengi waliopo sasa na watakaokuja baadae.

Inawezekana sio wote, ila wengi wetu ni mashahidi na tumeshuhudia mageuzi makubwa kwenye kuleta mabadiliko ya uwajibikaji serikalini, kuzuia rushwa na udanganyifu, Mfumo usio na upendeleo katika kutoa ajira, ujenzi na uboreshaji wa miundombinu yenye kuleta tija kiuchumi kama Bwawa la Nyerere na Reli ya SGR,Umeme vijijini, Uboreshaji wa huduma za Afya, Ongezeko la ukusanywaji wa kodi, uboreshaji wa mikataba ya madini na gesi na vinginevyo vingi ambayo vimefanikisha Tanzania kuingia katika uchumi wa kati wa chini mapema tofauti na ilivyotarajiwa.

Kwa hakika umefika wakati wa Hayati John Magufuli kupewa Heshima ya Baba wa pili wa Taifa la Tanzania, baada ya waasisi wa Taifa na Muungano ili kuyaenzi daima yale mema yote aliyoyafanya kwa maslahi mapana ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Na hatotukuwa nchi ya kwanza kufanya hivyo kwani hata Korea Kaskazini wana Baba wawili wa Taifa, ila yote kwa yote neno langu sio Sheria, ni mawazo yangu tu, hivyo nawasilisha.
Usitujaribu!
 
Aitwe tu Magufuli itatosha..

Watakupiga mawe, kejeli na matusi. Ila lile
lilikuwa jembe yenye haraka sana.

Nidhamu serikalini (unanijua mimi ni nani umeisha)

Umeme haukatiki tena.

Maji yapo 24/7.

Umeme unakuja mwingine mwingi. Hadi kuuza kwa nchi jirani.

Elimu bure 12 milioni watoto wamesoma bure, labda wangekuwa vibaka, malaya, majambazi. Ukimaliza secondary unaweza kujiongeza.

Mwendo kasi,terminal three.
Nchi yote barabara ziko vizuri,
Alikuwa anasema tunaweza, sisi ni nchi tajiri. Katika jitihada za kuinua uwezo wa kufikiri, to change attitude, mindset.
Unyonge wako ndio ulikufanya uone "Unajua mi ni nani" ni issue.
Kwa nini ulikuwa huwaulizi same question.
 
Hakuna Tanzania bila wasukuma. Diamond,Gold,Maize,maharage, kahama watu wote wanatajilika. Wasukuma tumeoa uchagani kuliko kabila lolote. Tumeoa makabila yote hadi Zanzibar, Malawi,Zambia,Msumbiji, DRC, Kenya, Uganda, UK, USA. Europe.

Hii propaganda wasukuma gang ni probaganda.
Sikujua kama wasukuma nao hubebesha shingo madafu!
 
Hakuna Tanzania bila wasukuma. Diamond,Gold,Maize,maharage, kahama watu wote wanatajilika. Wasukuma tumeoa uchagani kuliko kabila lolote. Tumeoa makabila yote hadi Zanzibar, Malawi,Zambia,Msumbiji, DRC, Kenya, Uganda, UK, USA. Europe.

Hii propaganda wasukuma gang ni probaganda.
Usisahau na ushamba!
 
Back
Top Bottom