Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
unachangia mada gani wewekwani kuwa shuja wa Afrika mpaka uhutubie UN?
uko sahihiKuna propaganda ya chini kwa chini inaendelea kipindi hiki ili kuonyesha kuwa alikuwa anakubalika na wengi.
From the way msiba umekuwa "promoted" and even trying to influence the masses kwa njia mbali mbali.
umeandika point kubwa sana mzeeUjinga ni kupenda kuufata!!
Viongozi hukumbukwa zaidi kwa itikadi na mitazamo yao, na zaidi walivyoishi na wananchi wao. Si kwa vitu walivyojenga.
Ndio maana ifikapo Oktoba 14 hatuambiwi Nyerere alijenga TAZARA, UDSM, VIWANDA, wala Mabwawa ya umeme. Tunasikilizishwa tu hotuba za zake na wosia wake.
Mkuu, na hii pia inakuuma?Wasalaam wajumbe.
Nimesoma na kusikia katika vyombo vya habari kwamba Magufuli Pombe katika kipindi chake alikuwa shujaa wa Afrika.
Hii inasemwa sana, mwanzo nilijua ni kupitiwa tu, bahati mbaya. Kumbe wana habari wapo serious kabisa. Nahitaji kujua machache kuhusu Magufuli kutajwa kama shujaa wa Afrika.
Mchakato uliofanyika kumpata na kumtangaza kama shujaa wa Afrika.
Afrika ipo chini ya Umoja wa Afrika AU ambapo tunaona waliowahi kutajwa kama mashujaa waliwahi kufanya kitu katika umoja huo. Mfano mzuri ni Mwl. Nyerere na Nelson Mandela. Ambao maono yao waliyasema na kuhamasisha katika mikutano ya Umoja wa Afrika.
Katika utaratibu huo, ni wapi na lini Rais Magufuli aliwahi kuhutubia mkutano wa AU na kutoa maono yake?
Ni hoja tu tusijenge chuki.
moja ya kigezo cha mashujaa ni kuunganisha jamii. kampeni za magufuli zilitawaliwa na matamko ya ubaguzi. Alitamka wazi hatapeleka maendeleo kwenye majimbo ya chadema. una kingine?Hadi atangazwe ? Shujaa utamjua kwa matendo
mada imekuzidi kimoMtoa mada huna jipya, kwa hali ilivyo vp bado mtalalamika kuibiwa kura 2020.?
Hajaandika chochote huyo. Shujaa wa Afrika ni mtu ambaye anahakikisha Afrika hainyonyi raslimali zake kama alivyofanya kwenye madini. Aidha ni muhali shujaa wa Afrika kuuweka uafrika mbele baadala ya kusifia mabeberu. Upo hapoumeandika point kubwa sana mzee
Kwa bavicha NDIO kigezo...kwani kuwa shuja wa Afrika mpaka uhutubie UN?