Hayati Magufuli anapotajwa kuwa Shujaa wa Afrika, maana yake nini?

Hajaandika chochote huyo. Shujaa wa Afrika ni mtu ambaye anahakikisha Afrika hainyonyi raslimali zake kama alivyofanya kwenye madini. Aidha ni muhali shujaa wa Afrika kuuweka uafrika mbele baadala ya kusifia mabeberu. Upo hapo
Moja ya kigezo cha mashujaa ni kuunganisha jamii na kuheshimu utu. Katika kampeni za uchaguzi Magufuli alikuwa akitamka wazi kuwa hakupeleka na hatapeleka maendeleo kwenye majimbo ya Chadema. Hapo vipi mtaalamu.

Halafu kwa nini alikuwa haendi kwenye mikutano ya AU kutoa maono yake mazuri
 
Moja ya kigezo cha mashujaa ni kuunganisha jamii na kuheshimu utu. Katika kampeni za uchaguzi Magufuli alikuwa akitamka wazi kuwa hakupeleka na hatapeleka maendeleo kwenye majimbo ya Chadema. Hapo vipi mtaalamu.
Achana na upuuzi wako. Unajulikana ulivyokuwa unamchukia JPM kama unavyoichukia Yanga. Kila mara nilikuwa nakuonya, jaribu kuwa mdadisi badala ya kudumaza ubongo wako. Nyerere aliitwa shujaa wa afrika kwa vile alipigania waafrika wajitawale! JPM alipigania waafrika watawale raslimali zao. Full stop kijana
 
moja ya kigezo cha mashujaa ni kuunganisha jamii. kampeni za magufuli zilitawaliwa na matamko ya ubaguzi. Alitamka wazi hatapeleka maendeleo kwenye majimbo ya chadema. una kingine?
Mbona mhuni wenu alisema atawaingiza nyie wapuuzi wenzake barabarani, hy n kuunganisha jamii.?
 
Achana na upuuzi wako. Unajulikana ulivyokuwa unamchukia JPM kama unavyoichukia Yanga. Kila mara nilikuwa nakuonya, jaribu kuwa mdadisi badala ya kudumaza ubongo wako. Nyerere aliitwa shujaa wa afrika kwa vile alipigania waafrika wajitawale! JPM alipigania waafrika watawale raslimali zao. Full stop kijana
haaa haaa unaanza kuhamisha magoli Yanga inaingiaje hapa. Nijibu hoja zangu dogo,shujaa anabagua watu,shujaa anakimbia mikutano ya Umoja wa Afrika akajengee uwezo waafrika watawale rasilimali zao?
 
Mbona mhuni wenu alisema atawaingiza nyie wapuuzi wenzake barabarani, hy n kuunganisha jamii.?
na ndiyo maana sio shujaa wa Afrika? moja ya kigezo cha shujaa ni kuhamasisha watu wapiganie haki zao. Kuandamana ni haki ya kikatiba. Nilipoona umekimbilia huko tu nikajua mada imekuzidi kimo. Upo?
 
Hadi atangazwe ? Shujaa utamjua kwa matendo
Taja angalao mawili matatu.

.Chaguzi ziliingiliwa,
.miradi imejengwa kwa fedha za mkopo.
.upinzani ulifutwa kwa vitisho na mauaji,
.Matumizi mabaya ya fedha za umma ni ya hali ya juu,
.rushwa hadi kwa viongozi wa upinzani(kununua wabunge)
.elimu imenajisiwa (watoto wanazunguka na vyeti hadi vimechakaa
 
. 21 Siku ya hao wajumbe kumwona mfalme ilipofika, Herode alivaa mavazi rasmi ya kifalme akaketi juu ya kiti chake cha enzi akaanza kutoa hotuba. 22 Alipokuwa akihutubu watu walimshangilia, wakapiga kelele wakisema, “Hii ni sauti ya Mungu! Sio sauti ya mwanadamu!” 23 Mara malaika wa Bwana akampiga Herode; akaliwa na funza akafa kwa sababu hakumpa Mungu utukufu

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Wasalaam wajumbe.

Nimesoma na kusikia katika vyombo vya habari kwamba Magufuli Pombe katika kipindi chake alikuwa shujaa wa Afrika.

Hii inasemwa sana, mwanzo nilijua ni kupitiwa tu, bahati mbaya. Kumbe wana habari wapo serious kabisa. Nahitaji kujua machache kuhusu Magufuli kutajwa kama shujaa wa Afrika.

Mchakato uliofanyika kumpata na kumtangaza kama shujaa wa Afrika.

Afrika ipo chini ya Umoja wa Afrika AU ambapo tunaona waliowahi kutajwa kama mashujaa waliwahi kufanya kitu katika umoja huo. Mfano mzuri ni Mwl. Nyerere na Nelson Mandela. Ambao maono yao waliyasema na kuhamasisha katika mikutano ya Umoja wa Afrika.

Katika utaratibu huo, ni wapi na lini Rais Magufuli aliwahi kuhutubia mkutano wa AU na kutoa maono yake?

Moja ya kigezo cha mashujaa ni kuunganisha jamii na kuheshimu utu. Katika kampeni za uchaguzi Magufuli alikuwa akitamka wazi kuwa hakupeleka na hatapeleka maendeleo kwenye majimbo ya Chadema. Hapo vipi wandugu.

Ni hoja tu tusijenge chuki.
Ni shujaa wa Afrika Sana, pale pembeni kuna Corner Bar ndiyo alikuwa ananajisevia changu doa, akaukwa na UKIMWI
 
Wasalaam wajumbe.

Nimesoma na kusikia katika vyombo vya habari kwamba Magufuli Pombe katika kipindi chake alikuwa shujaa wa Afrika.

Hii inasemwa sana, mwanzo nilijua ni kupitiwa tu, bahati mbaya. Kumbe wana habari wapo serious kabisa. Nahitaji kujua machache kuhusu Magufuli kutajwa kama shujaa wa Afrika.

Mchakato uliofanyika kumpata na kumtangaza kama shujaa wa Afrika.

Afrika ipo chini ya Umoja wa Afrika AU ambapo tunaona waliowahi kutajwa kama mashujaa waliwahi kufanya kitu katika umoja huo. Mfano mzuri ni Mwl. Nyerere na Nelson Mandela. Ambao maono yao waliyasema na kuhamasisha katika mikutano ya Umoja wa Afrika.

Katika utaratibu huo, ni wapi na lini Rais Magufuli aliwahi kuhutubia mkutano wa AU na kutoa maono yake?

Moja ya kigezo cha mashujaa ni kuunganisha jamii na kuheshimu utu. Katika kampeni za uchaguzi Magufuli alikuwa akitamka wazi kuwa hakupeleka na hatapeleka maendeleo kwenye majimbo ya Chadema. Hapo vipi wandugu.

Ni hoja tu tusijenge chuki.
Hao wanaomtaja hivyo ni MATAGA. Shujaa hawagi vile aisee!
 
Moja ya kigezo cha mashujaa ni kuunganisha jamii na kuheshimu utu. Katika kampeni za uchaguzi Magufuli alikuwa akitamka wazi kuwa hakupeleka na hatapeleka maendeleo kwenye majimbo ya Chadema. Hapo vipi wandugu.
Hawataki kusikia hii stori kabisa
 
Mtoa mada huna jipya, kwa hali ilivyo vp bado mtalalamika kuibiwa kura 2020.?
Kwenye hili siyo rahisi kusema eti wale wanaoandamana kumuona wanampenda siyo kweli. Wengi wana taka kumuoona mtu mchawi anavyofanana na kama kweli amekufa
 
Back
Top Bottom