Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
- Thread starter
- #61
uhuru wa kuchagua lakini sio uhuru wa kupotoshaNdio.na ndo maana nimekwambia weka neno ulipendalo WEWE.
Hata ukimuita muuaji wa africa sawa tu.
Una uhuru wa kuchagua.
Ila wao wamechagua kumuita shujaa wa africa.
Maisha yana positive na negative.
Ndo maana afande sele alichagua kumtukana mungu ila wengine wanamsifu.
Kwa hyo usifanye vitu vikawa vigumu.