julaibibi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2020
- 3,413
- 4,713
Ni shujaa maaana ameonyesha kwamba afrik tukiamua tunaweza kuyatumia kujikwamua kiuchum.kwa miundombinu na infrastructure za kutosha.hata kama tunahitaji investors basi lazima iwe katika win win situation.
pia Mapato Mapato.kwamba kodi lazima ikusanywe ili serikal iwe na power ya kufamya miradi imayoenda kugusa moja kwa moja maisha ya watanzania wanyonge
Sent using Jamii Forums mobile app
pia Mapato Mapato.kwamba kodi lazima ikusanywe ili serikal iwe na power ya kufamya miradi imayoenda kugusa moja kwa moja maisha ya watanzania wanyonge
Sent using Jamii Forums mobile app