Mingoi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 11,715
- 6,126
Ni watanzania piaUsukumani huko!
Ni watanzania piaUsukumani huko!
Kwani una vielelezo kwamba utajiri wao haukuwa halali? Kwani hawana vyanzo vya mapato?Rudi hapo # 5 nitajie hao unaowaita wafanyabiashara na matajiri halafu nielezee vyanzo halali vya utajiri wao. Kama haujui endelea kukaa kimya
Piga kelele lakini mungu wenu kashaondoka Mungu mkuu amefanya makusudi kuliponya taifa mlikuwa mnalipeleka siko eti mvunje katiba ili mungu wenu aendelee kutawala Mungu mkuu akawaumbua Kama alivyowaumbua mlipotaka kumuua lisu.Si bora mimi wawili hivi mama yako ameshawahi kuwa muwazi kwako akakutajia idadi ya waliomfirimba?
Ni watanzania kweli ila wabinafsi sanaNi watanzania pia
Tetea hoja yako wewe si ndio umewaita wafanyabiashara na matajiri. Mbona hiyo taskforce haijakufuata wewe?Kwani una vielelezo kwamba utajiri wao haukuwa halali? Kwani hawana vyanzo vya mapato?
Hivi hii mikusanyiko ya viwanjani ndo inakudanganya kwamba Magufuli anapendwa sana? Misiba kwa Tanzania ni kama mikutano ya kampeni tu wote wanakwenda. Jombi alipokufa MBEYA mbali ya kuwa jambazi sugu wengi walikwenda sasa jiulize aliwatendea jema gani?Mtoa mada huna jipya, kwa hali ilivyo vp bado mtalalamika kuibiwa kura 2020.?
Nadhani hoja hapa ni kwnn aitwe shujaa wa africa? Ni kipi alikifanya kwa ajili ya africa?kwani kuwa shuja wa Afrika mpaka uhutubie UN?
Ni wachapakazi kuliko wewe na ndugu zako woteNi watanzania kweli ila wabinafsi sana
Sasa na unapo mpa masifa asiyo stahili pia anakusikia?
Kulingana na Jiwe alivyowaweka ni wa class ya juu zaidi.Ule usemi binadamu wote ni sawa haukuwepo kwa Jiwe.Kwa hiyo'',Mchuma janga hula na wa kwao''Ni watanzania pia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unahangaika sana chief.....
unaonea wivu maiti
Mimi ninacho jua ni matajiri wewe ndiye uliye leta hoja ya uhalali wa utajiri wao , hoja ambayo si yangu sasa nikujibu nini hapo ? Ndio maana nimekwambia wewe ambaye unaamini hawakuwa na vyanzo halali ndo utoe maelezo, mimi nacho jua ni matajiri na wana vyanzo vyao vya kuwaingizia kipato maana hata makampuni yao nayafahamuTetea hoja yako wewe si ndio umewaita wafanyabiashara na matajiri. Mbona hiyo taskforce haijakufuata wewe?
Hebu tutajieni tu mambo 3 ambayo Magufuli kaiyendea Afrika, msituambie kaitendea Tanzania maana ukiitendea Tanzania unabaki shujaa wa Tanzania. Sema mambo yapi kaifanyia Afrika, matatu tu.Kwa bavicha NDIO kigezo...
Endelea kujifunza utajua tajiri na mwizi mbona Bakhresa hajapata misukosuko. Wahuni walikipata walichostahili chini ya utawala wa John Pombe Joseph Magufuli.Mimi ninacho jua ni matajiri wewe ndiye uliye leta hoja ya uhalali wa utajiri wao , hoja ambayo si yangu sasa nikujibu nini hapo ? Ndio maana nimekwambia wewe ambaye unaamini hawakuwa na vyanzo halali ndo utoe maelezo, mimi nacho jua ni matajiri na wana vyanzo vyao vya kuwaingizia kipato maana hata makampuni yao nayafahamu
Wabinafsi na wakabila sana mungu muumba wa mbingu na nchi kaliona hilo mapema na amejua si hulka ya watanzania kuishi hivyo ndio maana katuondolea kinara wa hilo ili taifa lisipotezwe.Ni wachapakazi kuliko wewe na ndugu zako wote
Kumbe wewe ni mkabila?Ni wachapakazi kuliko wewe na ndugu zako wote
Kama mungu angekuwa anatoa adhabu kwa makabila yenye ubinafsi sidhani kama wewe ungekuwepo.Wabinafsi na wakabila sana mungu muumba wa mbingu na nchi kaliona hilo mapema na amejua si hulka ya watanzania kuishi hivyo ndio maana katuondolea kinara wa hilo ili taifa lisipotezwe.
Ndio tabu ya wapumbavu wa aina yako hujui chochote kuhusu bakhresa na magufuli hujui kitu ndugu kwa hoja houo pekee nimejua hujui kitu.Endelea kujifunza utajua tajiri na mwizi mbona Bakhresa hajapata misukosuko. Wahuni walikipata walichostahili chini ya utawala wa John Pombe Joseph Magufuli.