Albaab
JF-Expert Member
- Jun 6, 2015
- 1,606
- 2,282
Nashindwa kuelewa kwanini hazikufika mitaaniHahahahaha zile juice
Nashindwa kuelewa kwanini hazikufika mitaaniHahahahaha zile juice
Dada mingoi naona umerudi baada ya Dikteta kufaWatu wanasumbuliwa na wivu tu
Walikunywa inner circle tuu wakijua kuwa wamelamba dume,kumbe corona ikawa inawacheka hiihiihiihiiNashindwa kuelewa kwanini hazikufika mitaani
Tulikuwa tunaipanga nchi na tumerudi kuleta message kwa wahuni. Vipi wifi zako hawajambo?Dada mingoi naona umerudi baada ya Dikteta kufa
Akizungumza juzi juzi kabla hajafa pale Mbezi Stendi ya Mikoani alisisitiza kwamba watu wa Mbezi walijitakia wenyewe kukwama kwa kuchagua mbunge wa Upinzani , kwake upinzani ulikuwa uadui , aliwakomoa mno watu waliochagua upinzani , unyama alioutenda kwa watu wa Kimara kwa kubomoa nyumba zao ni ushahidi wa roho mbaya aliyokuwa nayomoja ya kigezo cha mashujaa ni kuunganisha jamii. kampeni za magufuli zilitawaliwa na matamko ya ubaguzi. Alitamka wazi hatapeleka maendeleo kwenye majimbo ya chadema. una kingine?
Namsemeaje mungu? Kwani hata katika maandiko si ipo hivyo?Sasa hapo UNAMSEMEA MUNGU.
Kwani Yesu au Muhammad alikufa na Corona?Walikunywa inner circle tuu wakijua kuwa wamelamba dume,kumbe corona ikawa inawacheka hiihiihiihii
Kwaio bwana shujaa alikurupuka apoWalikunywa inner circle tuu wakijua kuwa wamelamba dume,kumbe corona ikawa inawacheka hiihiihiihii
Namsemeaje mungu? Kwani hata katika maandiko si ipo hivyo?
Unaipangaje,sema Dikteta alikula kichwaTulikuwa tunaipanga nchi na tumerudi kuleta message kwa wahuni. Vipi wifi zako hawajambo?
Kubangua korosho kwa menoUshujaa wake ni upi huo
Ushujaa wake ni upi huo
Kwa bado mnaendeleza ule upumbavu wenu wa kumlinganisha huyo muuaji wenu na mitume wa Mungu?Kwani Yesu au Muhammad alikufa na Corona?
Hayo mambo yapo uko kwenu kama kigezo cha utii kwa wazungu. Tena usitake nianike orodha yenu.Unaipangaje,sema Dikteta alikula kichwa
Why not? Utume ni kuifanya kazi ya munguKwa bado mnaendeleza ule upumbavu wenu wa kumlinganisha huyo muuaji wenu na mitume wa Mungu?
Kama ingebidiKubangua korosho kwa meno
kwa MATAGA kigezo ni kipi?Kwa bavicha NDIO kigezo...