Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,189
- 128,283
Labda Afrika Bambataa
Mimi sina madhara hata ningekuwa mkabila lakini huyo mungu wenu ana public attention hivyo akiongea jambo kaongea kitaifa au akifanya jambo lina athiri taifa zima ndio maana maneno yake yana athari na ukabila wake una athari kwa taifa kwa ujumlaKama mungu angekuwa anatoa adhabu kwa makabila yenye ubinafsi sidhani kama wewe ungekuwepo.
Hapana amekufa kama wengine wote... Ila yaliyotokea baada ya kifo ndio yametengeneza mada nyingiMshana Jr:Wewe utakua umemuua presida wetu aise btw natamani kuona nyuzi yako related to his death I am sure you have sth to tell.
Nitajie matendo yake matatu yanayomfanya awe shujaa wa Tanzania tuu.Hadi atangazwe ? Shujaa utamjua kwa matendo
Na amewachezesha miaka mitano bila ya kumpumzika. Subirini kwa muda mfupi yajayo yanafurahisha zaidi. Wembe ni ule uleLabda Afrika Bambataa
Unajielewa kweli wewe au uko msibani umejikuta tu umecoment halafu hujajua umeandika nn?kwani kuwa shuja wa Afrika mpaka uhutubie UN?
Magufuli alifanya nini Africa hadi aitwe shujaa wa Africa ?kwani kuwa shuja wa Afrika mpaka uhutubie UN?
Njoo nikutawazeKanye mbele huko...
Mshana hebu ni tag huo uziHapana amekufa kama wengine wote... Ila yaliyotokea baada ya kifo ndio yametengeneza mada nyingi
Yes, ninawakatia viuno mashoga wakati ninashindilia gearHivi una undugu na yule mama Mingoi ,mkata mauno wa Twanga pepeta ilipokuwa ikitumbuiza?
Wewe mjane acha vituko.Na amewachezesha miaka mitano bila ya kumpumzika. Subirini kwa muda mfupi yajayo yanafurahisha zaidi. Wembe ni ule ule
Jibu swali,huyo Tyrant wenu huo ushujaa wa Africa kampa nani na kwa vigezo vipi?Mtoa mada huna jipya, kwa hali ilivyo vp bado mtalalamika kuibiwa kura 2020.?
Usicho kijua ni kimoja tu hakuna maiti inayo omba au kupokea toba hilo mdo ulijue kama humumsamehe akiwa hai basi hilo kaenda nalo na kama hakuomba toba akiwa hai hasa kwa alio wakosea hilo nalo kaenda nalo na wale alio wakosea watabaki na manung'uniko.Ndicho watu waliobaki wanachopenda KUKISIKIA.
Ulishawahi kusikia kwenye msiba yanasemwa mabaya ya marehemu?.
Ni kweli magufuli kuna mambo mabaya aliyoyafanya .ILA HAUWEZI KUMSEMA KWA YALE AALIYOYAFANYA MABAYA.
maana si hulka ya binadamu kumsema mtu aliyekufa.
Mimi na wewe hatujui siku yetu.
Kikubwa tumsamehe na kumuombea aende salama huko aendako.
Yaliyotokea yametokea hayawezi kubadilika
Kwenye madini alifanyaje,unaujua hata mkataba mmoja wa madini?Hajaandika chochote huyo. Shujaa wa Afrika ni mtu ambaye anahakikisha Afrika hainyonyi raslimali zake kama alivyofanya kwenye madini. Aidha ni muhali shujaa wa Afrika kuuweka uafrika mbele baadala ya kusifia mabeberu. Upo hapo
Usicho kijua ni kimoja tu hakuna maiti inayo omba au kupokea toba hilo mdo ulijue kama humumsamehe akiwa hai basi hilo kaenda nalo na kama hakuomba toba akiwa hai hasa kwa alio wakosea hilo nalo kaenda nalo na wale alio wakosea watabaki na manung'uniko.
Wapi mtoa mada kasema UN?kwani kuwa shuja wa Afrika mpaka uhutubie UN?
Hahahahaha zile juiceKitendo cha kupeleka ndege pamoja na prof kalamaganda kule Madagascar kutest na kubeba stock ya ile alikasusu yao kilimpa ushujaa sana