Hayati Magufuli anapotajwa kuwa Shujaa wa Afrika, maana yake nini?

Hayati Magufuli anapotajwa kuwa Shujaa wa Afrika, maana yake nini?

haaa haaa unaanza kuhamisha magoli Yanga inaingiaje hapa. Nijibu hoja zangu dogo,shujaa anabagua watu,shujaa anakimbia mikutano ya Umoja wa Afrika akajengee uwezo waafrika watawale rasilimali zao?
Jibu utalipata kutoka Daily monitor ya Uganda ya leo:


It is undeniable that Magufuli was enthusiastic about his job and took transformation of Tanzania very seriously.

Magufuli wanted the best for his country: a corruption-free society, efficiency and effectiveness in service delivery, fiscal discipline and genuine development for all (that means all) his people – something I would never, ever, accuse Magufuli’s Ugandan counterpart of.

Strange and ironic that Magufuli didn’t look as bouncy and energetic as similarly deceased former president Benjamin Mkapa who walked with a spring in his stride, as though he was ready for a fight.
 
Kitendo cha kupeleka ndege pamoja na prof kalamaganda kule Madagascar kutest na kubeba stock ya ile alikasusu yao kilimpa ushujaa sana
Wacha weeee !!

2393187_20200508_170418.jpg
 
Jibu utalipata kutoka Daily monitor ya Uganda ya leo:


It is undeniable that Magufuli was enthusiastic about his job and took transformation of Tanzania very seriously.

Magufuli wanted the best for his country: a corruption-free society, efficiency and effectiveness in service delivery, fiscal discipline and genuine development for all (that means all) his people – something I would never, ever, accuse Magufuli’s Ugandan counterpart of.

Strange and ironic that Magufuli didn’t look as bouncy and energetic as similarly deceased former president Benjamin Mkapa who walked with a spring in his stride, as though he was ready for a fight.
Waletee na ya Kiswahili halafu Lema na Lissu wawasomee
 
Acha kupoteza,
Yule dada yako mama Mingoi alikuwa na wesere la nguvu,si kwa kukata mauno huko!
Mashaallah hata dada zako si haba na ndio maana unakula sana vya shemeji zako. Kila wakikuona hawakuachi hivi hivi
 
Hivi ninyi mtaendelea kum'underrate Magufuli mpaka lini? Ni miaka mitano, kafanya ya miaka 40 iliyopita combined!
Hivi ww umefanya nini hata ulete uzwauzwa hapa! Mkapa ana mazuri yake lakini Magufuli kazidi sana!
Mkapa akiwa madarakani hakuwahi sema majimbo ya chadema sipeleki maendeleo.
 
Nitajie matendo yake matatu yanayomfanya awe shujaa wa Tanzania tuu.
--- alitetea rasilimali za Tanzania,na Africa kwa ujumla.

-- alipingana na chanjo pamoja na kukataa lock down.( kusema corona ni biashara ya wazungu)

--alikataa safari za kwenda nga'mbo.,

-- aliwahamasisha waafrica kukataa kuwapigia magoti mabeberu.

--- msimamo wake wa kusimamia anachokiamini,,ndy kulimfanya aonekane ni shujaa wa Africa kama akina ,,

Stive Bicco,

Patrick Lumumba,

Julius Nyerere,

Samora Machiel

Oliva Tambo

Kwame Nkrumah..

Na usilolijuwa waafrica wote sasa Magufuli kawaamsha.,

Na kujuwa thamani yao kama waafrica,,,


It is not a Tanzanian loss but African loss
 
Mtamuongezea muda?
Tutawaongezea muda Lema na Lissu wa kuishi ughaibuni. Wakithubutu kuikaribia ardhi yetu basi milango ya magereza iko wazi kwao. Walikimbia wakasahau kwamba majalada yao tunayo.
 
Back
Top Bottom