Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
- Thread starter
-
- #201
Haaa haaa shujaaa hawezi kuwa ignorant wa sayansi. Phd anaambiwa corona inaua vaa barakoa acha mikusanyiko. Haya sasa yamemkutaTunajua shujaa wako ni huyo basha wako uliyenaye hapo belgium! Ila sisi tutaendelea na shujaa wa Africa wetu Magu!
Huyu siyo beberu ?
Mkuu, tambua ya kwamba Wivu ni ugonjwa mbaya sana. Una dalili zote za kuugua huu ugonjwa. Ushauri wangu ni kwamba sign out. Tafuta juice ya pili pili kuondoa maumivu makali ya moyo na vichomi vya kichwani. Muache Magufuli aitwe Magufulinyomi kitu gani. hata kama mngekubaliana wote watu 60m isipokuwa mimi peke yangu bado ingebaki kweli kwamba jiwe hakuwa shujaa hawezi kufikia hata 0.00090% ya ushujaa
Acha ujuaji, hiyo Tz unaishi peke yako au! Kwani mamilioni ya watz wanaomkubali Magu wanaishi angani!hao the Daily monitor hawawezi kujua kuliko mimi ninaeyaishi. Tanzania ni corruption-free country tangu lini. Mmesahau jinsi mlivyokuwa mnanunua wabunge wa upinzani kama bidhaa. au wewe rushwa unaielewaje
Mkuu sina wivu hata chembe na Magufuli na namuombea alale anapostahili amsamehe dhambi zake. Bahati mbaya pengine ameenda kabla ya kutubu. Serikali yake imetajwa kukandamiza wengine na kuhusishwa na jaribio la kutaka kumuua Lissu,kutoweka kwa Ben na Azory. Shujaa huyu hatukuwahi kumsikia akikemea na kuchukua hatuaMkuu, tambua ya kwamba Wivu ni ugonjwa mbaya sana. Una dalili zote za kuugua huu ugonjwa. Ushauri wangu ni kwamba sign out. Tafuta juice ya pili pili kuondoa maumivu makali ya moyo na vichomi vya kichwani. Muache Magufuli aitwe Magufuli
Bado hujawa na kifua cha kubishana na mimi kimantikihao the Daily monitor hawawezi kujua kuliko mimi ninaeyaishi. Tanzania ni corruption-free country tangu lini. Mmesahau jinsi mlivyokuwa mnanunua wabunge wa upinzani kama bidhaa. au wewe rushwa unaielewaje
Na mm nilitaka kumuuliza Bora umewahi kumuulizakwani kuwa shuja wa Afrika mpaka uhutubie UN?
Kumbe unaumia kuona alikuwa anakubalika na wengi na kuchukiwa na wachache ambao NI mafisadKuna propaganda ya chini kwa chini, ya kusafisha his image inaendelea kipindi hiki, na hata kuonyesha kuwa alikuwa anakubalika na wengi.
From the way msiba umekuwa "promoted" and even trying to influence the masses kwa njia mbali mbali.
" SITISHWIIII... WALA SITISHIKIIIII..... kauli ya kishujaa R. I. P JPM
Imetajwa na nani? Wazunguu ... my friend ukiona mzungu anakusifia basi ujue umeliwa.Mkuu sina wivu hata chembe na Magufuli na namuombea alale anapostahili amsamehe dhambi zake. Bahati mbaya pengine ameenda kabla ya kutubu. Serikali yake imetajwa kukandamiza wengine na kuhusishwa na jaribio la kutaka kumuua Lissu,kutoweka kwa Ben na Azory. Shujaa huyu hatukuwahi kumsikia akikemea na kuchukua hatua
Sasa ulitaka azunguke na kapu sokoni kama rais wa visiwa vya Anjuani? Yesu alizunguka na wanafunzi, Muhammad alizunguka na maswahaba.
Haishangazi! Kishawahi kuitwa kuwa yeye ni mnyenyekevu, mara oooo….. mheshimiwa mungu!Kuna propaganda ya chini kwa chini, ya kusafisha his image inaendelea kipindi hiki, na hata kuonyesha kuwa alikuwa anakubalika na wengi.
From the way msiba umekuwa "promoted" and even trying to influence the masses kwa njia mbali mbali.
Tena hilo la muheshimiwa mungu halikuwa bahati mbaya.Haishangazi! Kishawahi kuitwa kuwa yeye ni mnyenyekevu, mara oooo….. mheshimiwa mungu!