Hayati Magufuli anashambuliwa kila kona. Siyo kesi, ila mambo yaende; yasipoenda wananchi watawazomea kila kona

To every action there is an equal and opposite reaction.....they should know that... waiting for their actions...
 
Yote kwa yote muhimu ni kwamba wananchi wanahitaji maendeleo kama vile hospitali, maji safi na salama, ajira n.k
 

CAG kazi yake pia kutoa mapendekezo ( faida na madhara ya mradi hivyo katoa onyo kuwa ule mradi utasababisha foleni)
 
Nilipoona MPANGO kaondolewa fedha na KABUDI hayupo tena foreign sisi wadadisi tukajua it's the end of MAGUFULI'S regime. Ngoja tuone ile kuchezewa alokuwa anasema mzee na safari hii watatuchezea mazima.
 
Kama unapingana na CAG lete naww ushahid wako Ili umsafishe mwendazake,

Ukweli lazima usemwe tuh,alikua kibaka,ni kibaka tuh no way out lazima tuseme

Ushahidi wa kimazingira ni pale CAG alipoenda siku ya tatu baada ya maziko ya mwenda zake akiwa kaburini kumpaka oil chafu chamwino. Petro alishuhudiwa na Mwananke Maria Magdalena sijui CAG alishuhudiwa na Mwanamke gani?
 
Unahisi wapi ameonewa, mwizi ni mwizi tu
 
Kipindi gani nchi ilikua haikopesheki?? Jinsi mnavyompamba mwendazake ni kama aliikuta Tz ipo kama kisiwa kisicho na kitu halafu yeye akaanza kukijenga. Ni kitu ambacho sicho kabisa yeye ameendeleza miradi ya waasisi wake na kuanzisha yake baadhi.

Kwa upande wangu naona Magufuli angeruhusu haya mambo kujadiliwa kipindi cha uhai wake hata sasa watu wangemsifu kwa mema aliyoyafanya. Kumbuka kipindi cha JK ufisadi ulikua mkubwa hiyo yote ni kwasababu aliruhusu mijadala lakini leo leo hii watanzania wengi wanamkumbuka JK kwa mema kwasababu mabaya yake wanayajua na mema pia. Lakini huyu ndugu mabaya aliyatia kwapani anatangaza mema tu. Watu waliyajaza kooni wakiamini ipo siku ya kuyatapika na imeahawadia sasa mnaanza kusema anachafuliwa.
 
Huna akili wewe mbona yeye aliwashambulia waliomtangulia?
 
Kwa hiyo ile 3bn waliyosema imerekebisha ndege kumbe ndege hazikufanyiwa chochote huoni kwamba hiyo ni hasara aliyotuachia?

Hivi huwa unatumia ubongo upi kufikiri?
 
Mkuu mti mwenye matunda matamu hurushiwa mawe kila kukicha, viatu vya mwendazake hakuna wa kuvivaa sasa wanaona dawa ni kumchafua, wanashindwa kufanya yale aliyokuwa anayafanya mwendazake, waone aibu kwanza kwa kuangalia alivyoliliwa na mamilioni ya watu,legacy haifutiki kwa kwa kusema ,nao waweke legacy zao na wamuache JPM wetu apumzike,kumsema marehemu ni dalili za kukosa heshima na utu kwa sisi ambao tumelelewa kwa kufuata maadili.
 
Muosha uoshwa ye alipokuwa akiwatuma kina veronica france musiba mulaga kuwananga wastaafu.Ukupiga kelele mbona?
Kwetu ni furaha tu huzuni yenu sio huzuni yetu.
Tunasubiria tu msimu wa korosho this time hakuna kizingiti lzm wanywee bia mbuzi.Tupo salama na mama akimaliza mitano tunamuongeza mitano tena.
 
Ni mtazamo wao wengine awajasoma wamekosa mikopo ya chuo sababu yake
 
Yaani kumbe tunao takataka kiasi hiki? Kwa hiyo mtu kama kala pesa za nchi asisemwe anyamaziwe tu kisa ni jeshi? Malaya mkubwa wewe
 
Stop being a dumbass!
 
Wapigaji wamerudi kwa kasi ili mambo yao yaende kazi ni moja kuua legacy yote ya mwendazake alafu waanze kupiga kama ilivyoada
 

Ila mimi huwaga siwaelewi baadhi ya watu kwaio hao mawaziri nao wanakubali waonekana wezi for the sake ya kuhujumu legacy ya mtu aliyejipumzikia ?? Haya watu wanamchafua ili kiwe nini ?? Nisaidie kuwaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…