Hayati Magufuli anashambuliwa kila kona. Siyo kesi, ila mambo yaende; yasipoenda wananchi watawazomea kila kona

Ametuachia deni la Trillioni 18 katika kipindi chake cha miaka 5 tu. Hili pia linapaswa lilipwe.
Mbona Mbatia amesema tunadaiwa Trillion 70?. Jamaa walikuwa bado wanatupa taarifa za uongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…