Spidi aliyokuwa nayo Marehemu Magufuli ya kufanya mambo yaende na kufanyika kwa kasi inayoonekana wazi kwa kila mtu, ni challenge kwa waliopo iwe serikalini au bungeni au Mahakamani kuifikia baada ya kifo chake
Matarajio ya wananchi ni kuwa spidi itakuwa kubwa kuliko ile au itabaki ile ile.
Sasa hivi Marehemu anapondwa sana kuwa ohh alikuwa dikteta mara ohh alikuwa fisadi mara ohh staili yake haifai
Hakuna shida; cha msingi wananchi wanataka mambo yaende. Tukaneni matusi yote ila mwisho wa siku wananchi watalinganisha output yenu watukanaji na ya Magufuli kwenye kugusa maisha ya wananchi wanyonge
Marehemu Magufuli kila kona anakuwa attacked siyo kesi ila mambo yaende yasipoenda wananchi watawazomea kila kona Kila mtakakopita wadhalilisha Magufuli. Mtazomewa na kuambiwa Magufuli angekuwa hai hili lingefanyika na watawazomea.
Watazomea wana kijiji??,. Hao hawatupi shida kabisaa! Dawa yao ndogo sana.
Tz manake ni Dar tu labda na Arusha. Inajijenga yenyeweee taatibuuu!! Kabisa.
Huyu aliiba mapato ya Dar akajenga huko aliko jenga tukamuwahi kumzima.
Sasa hivi tuna deal na Marais wa mjini tu. Sasa tumekoma Hatutateua tena Rais wana vijiji ni mzigo kwa Dar yetu.na wana Dar.
wakulima hawana jeuri ya kuzomea Rais Born town wewe!! Kwanza walivo wajinga wakipanga tu! Tumeshajua
Ni kuwashushia ka defender ka moja tu! Ka Maaskari wa kike, waliotoka depo uone km hawatajiharishia.
Tena kuwakomoa hiyo kazi tunawapa askari Watoto wao na mademu zao.tuliowafundisha sisi.
Kwa taarifa yako hiyo miradi aliiyoanzisha haita jiendesha ni hasara. Kwa nini isife???
Midege mikubwa iende wapi!! Kenya wanayo
Rwanda
Burundi
Uganda
Wote hawa wanataka abiria wa nje walete Dola watoke wapi..???
Wabongo kula yenu tu shida .. hela za kupanda hii makitu mtatoa wapi??
mna akili kweli??