Hayati Magufuli anashambuliwa kila kona. Siyo kesi, ila mambo yaende; yasipoenda wananchi watawazomea kila kona

Hayati Magufuli anashambuliwa kila kona. Siyo kesi, ila mambo yaende; yasipoenda wananchi watawazomea kila kona

Pumba kabisa!!!
Halafu upo unasema "wasomi wetu"!! Kama unatoa hizi "arguments" na unadhani waweza wasema hao unaowaita "wasomi wetu" nenda shule tena nawe uwe tu kati ya hao "wasomi wetu".
Nyerere alikopa, Mwinyi alikopa, Mkapa alikopa na JK alikopa! Uliwahi wasikia wakisema hela zetu za ndani?? Aliyeanzisha SGR si ni JK na alishaingia mkataba wa mkopo, alishindwa nini kutembea TZ nzima ajitambe tunajenga kwa hela za ndani? Kila nchi duniani inakopa, ni nchi gani ushawahi kuisikia wakiita mkopo hela ya ndani? Ama wewe hela yako ya ndani huwa unajipa na riba?
Hawa ni makapurwa
 
Basinalikuwa nduli,fashisti na fisadi mzuri .Mtu anakwapua pesa halafu anapekeka umeme kila kijiji na Elimu bure nchi nzima na zahanati nchi nzima na miradi ya barabata hadi vichochoroni .misoko.kibao hadi mingine inaitwa ya Ndugai hilo fisadi na fashisti na nduli wananchi tunalikubali sababu lilikuwa linakwapua na kuwapelekea wanyonge miradi kibao

Lingebaki liendelee kukufisadi na kupelekea wanyonge

Haya tunasubiri msio nduli na mafashisti na msio mafisadi tuone kama spidi ya maendeleo kwa wanyonge ya hilo nduli,fashisti na fisadi tuone kama spidi hiyo mtaiweza.Tuone nani zaidi kati ya nduli fashisti na Fisadi na ambao sio nani zaidi .Wanyonge ndio watakuwa mahakimu kwa hili
Hakuna kitu mmefanya zaidi ya kelele tu mafisadi wakubwa

Mchawi huwa hapendi mwanga

Nduli alijiondoa kwenye sera ya uwazi

Akafungia vyombo vya habari na kuzima ndimi zote zilizokosoa au kuibua ufisadi leo nchi imezizima kwa taarifa za ufujaji uliokithiri

Nduli na Fashisti alikua dhulumati na fisadi that's all.
 
Kwani wao miungu .Ndio walikosea .Deni unalipa kwa hela zako halafu unasema eti.nimefanya kwa pesa za mtu nje akili zimo wewe?
Okay ulivyosema "deni unalipa..." ndiyo nimejua kumbe hii ni serious, mwanzo nilidhani ni "sarcasm". Shida yako ni kubwa unfortunately.

Ukilipa inakuwa inakuwa hela yako ya ndani, kabla ya kulipa linakuwa ni deni/mkopo. Ndiyo maana unaona kunakuwa na conditions zinazokubana kabla hujalipa. Kama bado hujaelewa hapo kalaghabao!
 
He is not being attacked,mfalme amevuliwa nguo,wananchi wamefunguliwa masikio na macho yao waweze kuona na kusikia yaliyokuwa nyuma ya pazia. Mzee Magufuli alibana uhuru wa media kuripoti habari za uchunguzi,uhuru wa watu kujadilia mada hasi za utendaji wa wake na serikali yake. Mzee amekufa na suddenly tumepata uhuru wa kusikia kuona na kujadili taka ambazo zilifunikwa na sheria kandamizi za habari.
Hujui km Uhuru umefinguliwa kwa kipindi hiki cha kujadili hz negativities za Meco zen kaz za Successor zkianza unakulaBan
 
Akija kushtuka miaka minne imepita kilichofanyika ni kumpaka matope Hayati.
Hakuna anayempaka matope. Hiyo ni rangi yake halisi.
Yalikuwa maendeleo ya vitu bila kujali watu.

Kuhamia Dodoma kwa hoja za 1973, enzi za Analogia, leo enzi ya digitali wala hapakuwa na haja. Unajenga ikulu mpya wakati tayari unayo, watu wako wanateketea katika ufukara?

Unaanzisha tuuu kwa ushamba wako, eti mradi wa ndege. Mwaka mmoja tu zimeliwa Bilioni 60. Hapo gharama za kununua bado. Hiyo pesa inatoka wapi?

Miradi yako inatia hasara kila uchao. Unaziba vyombo vya habari watangaze mazuri tu. Wakusifu na kukuabudu, umekuwa mungu?

Tunataka maendeleo ya watu. Hii kuacha watu waseme kwa uhuru tayari ni maendeleo.
 
Na hao ndio population kubwa ya Tanzania zaidi ya asilimia 80 na ndio wanyonge wenyewe waliompigia kura na ndio alijitahidi kuwapelekea miradi mingi na elimu bure nk

Ndio aliosimama nao.Lisu alisimama na wanaoielewa akaambulia kura milioni moja

Magufuli akasimama na wasiojielewa wenye elimu duni na uelewa duni na machinga na ma ntilie nk.

Nakubaliana na wewe alisima na wengi wa chini hakusimama na wachaje wa juu au middle class
Waliompigia kura? Katika uchaguzi upi? huu wa kuengua wagombea wa upinzani kwa maelfu? Jamani ebu acheni kashfa
 
Hakuna utawala mpya wala wa zamani wote wapiga madili tu. Tena utawala huu wa awamu ya sita, ndio utakuwa kama ule wa mzee ruksa shamba la bibi.
Mama aangalie watu wanaomshauri kila jambo kinyume cha Magufuli ili hali alikuwa msaidizi wake kwa karibu. Kwa sasa walio wengi wanashauri kwa maslahi binafsi awe makini ili pia wasimgeuke na kukimega chama vipande. Hatari sana
 
Hakuna anayempaka matope. Hiyo ni rangi yake halisi.
Yalikuwa maendeleo ya vitu bila kujali watu.

Kuhamia Dodoma kwa hoja za 1973, enzi za Analogia, leo enzi ya digitali wala hapakuwa na haja. Unajenga ikulu mpya wakati tayari unayo, watu wako wanateketea katika ufukara?

Unaanzisha tuuu kwa ushamba wako, eti mradi wa ndege. Mwaka mmoja tu zimeliwa Bilioni 60. Hapo gharama za kununua bado. Hiyo pesa inatoka wapi?

Miradi yako inatia hasara kila uchao. Unaziba vyombo vya habari watangaze mazuri tu. Wakusifu na kukuabudu, umekuwa mungu?

Tunataka maendeleo ya watu. Hii kuacha watu waseme kwa uhuru tayari ni maendeleo.
Ndege ni flag pride of any nation angalia Uganda,Kenya, Rwanda, Ghana, Zambia sisi nani? Hao hao mlilalamikia kuanguka kwa ATCL!
 
Sijui nisemeje but inaumiza mnooo ukiangalia maisha yetu watu wa chini kumbe kuna wenzetu wanakula maisha kiulaini kabisaa na tupo nchi moja na taab wanaijua wanatuita wanyonge na wanazidi tunyonga

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
 
Adui wa Africa ni Mwafrica
Haya kiko wapi?!
Mama Samia anapashwa kusitisha au kutengua teuzi fulani fulani vinginevyo kuna hatari ya maamuzi magumu mtaani
Haiwezekani mkazane kuwabatiza wananchi 'wanyonge' wakati wachache hao ndio wanakula pesa ya mkulima mfanyabiashara na mfanyakazi wa kawaida

Hii nchi ngumu sana
 
Spidi aliyokuwa nayo Marehemu Magufuli ya kufanya mambo yaende na kufanyika kwa kasi inayoonekana wazi kwa kila mtu, ni challenge kwa waliopo iwe serikalini au bungeni au Mahakamani kuifikia baada ya kifo chake

Matarajio ya wananchi ni kuwa spidi itakuwa kubwa kuliko ile au itabaki ile ile.

Sasa hivi Marehemu anapondwa sana kuwa ohh alikuwa dikteta mara ohh alikuwa fisadi mara ohh staili yake haifai

Hakuna shida; cha msingi wananchi wanataka mambo yaende. Tukaneni matusi yote ila mwisho wa siku wananchi watalinganisha output yenu watukanaji na ya Magufuli kwenye kugusa maisha ya wananchi wanyonge

Marehemu Magufuli kila kona anakuwa attacked siyo kesi ila mambo yaende yasipoenda wananchi watawazomea kila kona Kila mtakakopita wadhalilisha Magufuli. Mtazomewa na kuambiwa Magufuli angekuwa hai hili lingefanyika na watawazomea.
Hadi sasa mama kashafeli, mwezi mmoja madarakani ATCL haina uwezo wa kutoa GAWIO wakati enzi za mwendazake mi faida hadi raha.
 
Hajaacha deni tu acha uongo.kaacha vitu vilivyotumia hiyo pesa pia.Eti kaacha deni utafikiri hizo pesa alikopa akaenda kuweka pesa kwenye akaunti yake uswisi.Lugha ya ki layman utafikiri mtu hata shule hukwenda. Hiyo miradi kila mkoa na wilaya huioni au ? Elimu bure huioni au ? umeme kila kijiji huuoni au? barabara kila kona huoni au? vituo vya afya kote nchini huoni au nk

Kipindi chake nchi ilikuwa inakopesheka na madeni yalikuwa yanalipika bila shida.Wakopeshaji walituamini

Twende sasa ni challenge kwa serikali iliyopo itamudu kukopesheka na kulipa madeni na kuendesha miradi nchi nzima kama Magufuli alivyomudu? muda ni mwalimu mzui.let us wait and see tuone matusi kwa Magufuli kama yana mantiki
Wewe zuzu mwendazake hajawahi kukopa alikuwa akitumia fedha za ndani
 
Hailazimiki kutumia akili nyingi kujua uzuri au ubaya wa Hayati Magufuli, kama alikuwa anafanya vyema kwanini alitumia nguvu nyingi kunyamazisha waliokuwa wanakinzana naye.......???
 
Ametuachia deni la Trillioni 18 katika kipindi chake cha miaka 5 tu. Hili pia linapaswa lilipwe.
Yani tulikiwa na raisi mnafiki na muongo sana,anawadanganya Watanzania anafanya mambo kwa pesa za ndani huku deni la taifa linakuwa kwa kasi ya ajabu,anawaita wazungu mabeberu halafu anakopa pesa zao
 
Spidi aliyokuwa nayo Marehemu Magufuli ya kufanya mambo yaende na kufanyika kwa kasi inayoonekana wazi kwa kila mtu, ni challenge kwa waliopo iwe serikalini au bungeni au Mahakamani kuifikia baada ya kifo chake

Matarajio ya wananchi ni kuwa spidi itakuwa kubwa kuliko ile au itabaki ile ile.

Sasa hivi Marehemu anapondwa sana kuwa ohh alikuwa dikteta mara ohh alikuwa fisadi mara ohh staili yake haifai

Hakuna shida; cha msingi wananchi wanataka mambo yaende. Tukaneni matusi yote ila mwisho wa siku wananchi watalinganisha output yenu watukanaji na ya Magufuli kwenye kugusa maisha ya wananchi wanyonge

Marehemu Magufuli kila kona anakuwa attacked siyo kesi ila mambo yaende yasipoenda wananchi watawazomea kila kona Kila mtakakopita wadhalilisha Magufuli. Mtazomewa na kuambiwa Magufuli angekuwa hai hili lingefanyika na watawazomea.
Magufuli aliboronga ile mbaya, njia pekee ya kuendelea kuwepo madarakani ilikuwa kutumia nguvu na vitisho. Sasa mambo yameanza kufunuka na bado.
 
Nduli na Fashisti alikua dhulumati na fisadi that's all.
Basi kama alikuwa nduli,fashisti na fisadi basi alikuwa mzuri

mzuri .Mtu fisadi papa anakwapua pesa halafu anapekeka umeme kila kijiji na Elimu bure nchi nzima na zahanati nchi nzima na miradi ya barabara hadi vichochoroni .mistandi kibao hadi mingine inaitwa stendi ya Ndugai hilo fisadi na fashisti na nduli wananchi tunalikubali sababu lilikuwa linakwapua na kuwapelekea wanyonge miradi kibao

Lingebaki liendelee kufisadi na kupelekea wanyonge

Haya tunasubiri msio nduli na mafashisti na msio mafisadi tuone kama spidi ya maendeleo kwa wanyonge ya hilo nduli,fashisti na fisadi tuone kama spidi hiyo mtaiweza.Tuone nani zaidi kati ya nduli fashisti na Fisadi na ambao sio nani zaidi .Wanyonge ndio watakuwa mahakimu kwa hili
 
Kwani aliyebadilika si ni JPM tu, wengine ni wale wale tu...!!!

CCM safisheni nyumba yenu
 
CAG kageuka Traffic wa kuangalia misongamano ya magari? Kuna kitengo cha Traffic office ya CAG ? Kweli akutukanaye hakuchagulii tusi.Lakini yote maisha.

Watasema yote lakini kumuondoa Magufuli kwenye mioyo ya wanyonge itachukua miaka mingi.si rahisi hivyo
Sio kweli. Huku uswahilini tunasema nchi ishapoa na pesa tumeanza kuiona. Tushamsahau
 
Back
Top Bottom