Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Mbona alikuwa anasema kuwa miradi hiyo inafanywa kwa pesa za ndani??,Na kwamba nchi Ina pesa mingi?.Ametuachia deni la Trillioni 18 katika kipindi chake cha miaka 5 tu. Hili pia linapaswa lilipwe.
Ni ujinga kunyamazia uchafu wa vyombo vya usalama ukitegemea mbeleko yao. Jeshi kubwa na imara kushinda majeshi yote ni UmmaYuko mtu anadanganywa na kadanganyika. Anafikiri hii nchi ikikwama watakao jibu ni wanao mdanganya. Kumbe watakuwa pembeni wakicheka na kutabasamu.
Hajui kwamba kajichafua na kuchafua anaofanya nao kazi. Sijui kazi atafanya na nani sasa? Unachafua mpaka Jeshi na vyombo vya Usalama kuwa havi kufanyakazi yake kikamilifu wakati ndio mbereko inayo kubeba kila uchao.
Asante Mkuu kwa kuongea kisomi.Hajaacha deni tu acha uongo.kaacha vitu vilivyotumia hiyo pesa pia.Eti kaacha deni utafikiri hizo pesa alikopa akaenda kuweka pesa kwenye akaunti yake uswisi.Lugha ya ki layman utafikiri mtu hata shule hukwenda. Hiyo miradi kila mkoa na wilaya huioni au ? Elimu bure huioni au ? umeme kila kijiji huuoni au? barabara kila kona huoni au? vituo vya afya kote nchini huoni au nk
Kipindi chake nchi ilikuwa inakopesheka na madeni yalikuwa yanalipika bila shida.Wakopeshaji walituamini
Twende sasa ni challenge kwa serikali iliyopo itamudu kukopesheka na kulipa madeni na kuendesha miradi nchi nzima kama Magufuli alivyomudu? muda ni mwalimu mzui.let us wait and see tuone matusi kwa Magufuli kama yana mantiki
Muda si mrefu mtaanza kumponda huyu mama kwamba hajafanya lolote.Yangu macho na masikio.Mama ana roho ya ubinadamu,mambo mengi maovu yaliyofanyika chini ya mwendazake yanafichuka,kutokana na ripoti ya CAG.
Mwendazake alikuwa anapambana kuwamaliza wapinzani,wawekezaji huku kukiwa na mianya lukuki ya upotevu wa fedha za umma
Kura gani?!!population kubwa ya Tanzania zaidi ya asilimia 80 na ndio wanyonge wenyewe waliompigia kura
Nitakufuatilia post zako Hadi 2025,km haujaanza kumponda na huyu mama naye.Maana hakuna watu wanafiki duniani km Wabongo.Mwenda zake alikuwa hapendwi ndio maana kampeni zake alifanya mchana tofauti ilivyozoeleka ili watumishi wa umma na wanafunzi wakajaze uwanja na Mataga wakasombwe kutoka mbali ...Mama shika hapo hapo mpaka wataelewa ...
Wananchi wanataka ajira, hicho tu. Tunapaswa turudi enzi za kikwete ambapo ukiwa chuoni ajira zinakufata hukohuko. Yaani jpm miradi yake hewa iligharimu ajira na zilitoweka kabisa hasa madaktari ambao wanabrush viatu tu mtaaniSpidi aliyokuwa nayo Marehemu Magufuli ya kufanya mambo yaende na kufanyika kwa kasi inayoonekana wazi kwa kila mtu, ni challenge kwa waliopo iwe serikalini au bungeni au Mahakamani kuifikia baada ya kifo chake
Matarajio ya wananchi ni kuwa spidi itakuwa kubwa kuliko ile au itabaki ile ile.
Sasa hivi Marehemu anapondwa sana kuwa ohh alikuwa dikteta mara ohh alikuwa fisadi mara ohh staili yake haifai
Hakuna shida; cha msingi wananchi wanataka mambo yaende. Tukaneni matusi yote ila mwisho wa siku wananchi watalinganisha output yenu watukanaji na ya Magufuli kwenye kugusa maisha ya wananchi wanyonge
Marehemu Magufuli kila kona anakuwa attacked siyo kesi ila mambo yaende yasipoenda wananchi watawazomea kila kona Kila mtakakopita wadhalilisha Magufuli. Mtazomewa na kuambiwa Magufuli angekuwa hai hili lingefanyika na watawazomea.
YEHODAYAView attachment 1747010
Mmesikia serikali ya wanyonge? Serikali takatifu ya shujaa wa Afrika, tuliyeambiwa amefuta ufisadi? Ngoja nikutajie machache;
Ujenzi wa SGR umesababisha hasara ya 3.5Bil kwa kuajiri wafanyakazi wa kigeni wasiokua na vibali.
Kigwangala alitumia 172M kuandaa Kili challenge lakini pesa hizo hazijulikani zilitumikaje (hazina risiti).
Akaunti ya jeshi la zimamoto ilitumika kupitisha 261M. Yani watu walipiga "mchongo" wakakosa akaunti ya kupitishia, wakatumia akaunti ya zimamoto. Zilipoingia wakazitoa wakasepa. Just imagine watu wana ujasiri wa kupitisha pesa chafu kwenye akaunti ya jeshi? Halafu tunaambiwa mwendazake alinyoosha nchi.
Wasafi walipewa 140M, TBC 201M na Clouds 629M kutangaza tamasha la Urithi Festival. Lakini hakuna mkataba wala risiti yoyote ya kujustify malipo hayo.
18Bil zilizokusanywa ktk wilaya 135 hazikufika serikalini. Yani zilikusanywa lakini wajanja wakalala nazo mbele.
3.9Bil zilitolewa kukarabati ndege ya ATCL iliyopaki tangu mwaka 2015, lakini hela imeliwa na ndege haijakarabatibwa. Yani watu walitafuna milioni 3,900 halafu hawakupaka hata rangi.Hayo ni baadhi tu ya "madudu" ya serikali takatifu ya mwendazake. Sijaongelea HESLB, TANAPA, TANROADS, SGR, Stligler's gorge, Stand ya Magufuli. Huko kuna madudu ya kutisha.
Lakini tuliaminishwa serikali ya mwendazake haikua na doa. Watu waliokosoa waliitwa vibaraka. Serikali takatifu haikutaka kunyooshewa kidole.
Tujifunze kutofautisha mtu msafi na anayeficha uchafu. Mwendazake hakua msafi bali alijua kuficha uchafu. Ndio maana akaminya uhuru wa habari. Hatukusikia skendo kama za Escrow tukadhani serikali yake ni safi, kumbe kuna skendo kubwa zaidi ya Escrow lakini zimefichwa uvunguni.Ndio maana nasema afadhali JK aliruhusu media ziwe huru. Skendo za Richmond, EPA, Escrow aliacha wananchi wajue. Lakini mwendazake alifunika skendo zisifike kwa wananchi.
Ndio maana watu wamemtania CAG atoe pia ripoti aliyopanga kumpa mwendazake, maana angekua hai asingethubutu kusema ATCL imepata hasara ya mabilioni, au SGR imeleta hasara, au mradi wa Stigler's umejaa madudu. Angeficha kwa sababu ndivyo mwendazake alivyopenda.
Tunahitaji viongozi wasafi, sio wanaojua kuficha uchafu.!
By Malisa Godlisten
Toka tupate uhuru tulizoea kuona mafisadi yakikwapua pesa na kupeleka benki za Uswisi nk na kujenga empire zao binafsi za maliMagufuli alikua fisadi papa!!
Toka tupate uhuru tulizoea kuona mafisadi yakikwapua pesa na kupeleka benki za Uswisi nk na kujenga empire zao binafsi za mali
Fisadi papa Magufuli ndie fisadi a kibaka pekee aliyekuwa akikapua pesa na kuwapelekea wananchi wanyonge waluo wengi mbio kwa kuwapelekea miradi ya maendeleo.na ya jamii kibao nchi nxims kwa spidi ya mwewe.
La kafa mapema wanyonge wangekuwa mbali
Sasa hivi hakuna tena mkwapuaji fisadi kwa ajili ya wanyonge walio wengi
Wanyonge walio wengi kwa sasa hawana fisadi wa kuwakwapulia hela na kuwapelekea tena .Daah inauma.Tusubiri labda atatokea
Hujasikia alikuwa anakwapua anapeleka kuhifadhi CHiNA?Toka tupate uhuru tulizoea kuona mafisadi yakikwapua pesa na kupeleka benki za Uswisi nk na kujenga empire zao binafsi za mali
Fisadi papa Magufuli ndie fisadi a kibaka pekee aliyekuwa akikapua pesa na kuwapelekea wananchi wanyonge
Unamuongelea hyu shetani wa chato aliekufa??Spidi aliyokuwa nayo Marehemu Magufuli ya kufanya mambo yaende na kufanyika kwa kasi inayoonekana wazi kwa kila mtu, ni challenge kwa waliopo iwe serikalini au bungeni au Mahakamani kuifikia baada ya kifo chake
Matarajio ya wananchi ni kuwa spidi itakuwa kubwa kuliko ile au itabaki ile ile.
Sasa hivi Marehemu anapondwa sana kuwa ohh alikuwa dikteta mara ohh alikuwa fisadi mara ohh staili yake haifai
Hakuna shida; cha msingi wananchi wanataka mambo yaende. Tukaneni matusi yote ila mwisho wa siku wananchi watalinganisha output yenu watukanaji na ya Magufuli kwenye kugusa maisha ya wananchi wanyonge
Marehemu Magufuli kila kona anakuwa attacked siyo kesi ila mambo yaende yasipoenda wananchi watawazomea kila kona Kila mtakakopita wadhalilisha Magufuli. Mtazomewa na kuambiwa Magufuli angekuwa hai hili lingefanyika na watawazomea.
Huyo hayati wako alijivika umungu mtu, alihisi baada ya mungu anafuata yeye, Mungu wa kweli kapita na kipara chake sasa hvi mafunza yanasherehekea. [emoji12] [emoji12]Akija kushtuka miaka minne imepita kilichofanyika ni kumpaka matope Hayati.
Mambo gani au kila siku kutembea na tv ndio mambo yenyeweSpidi aliyokuwa nayo Marehemu Magufuli ya kufanya mambo yaende na kufanyika kwa kasi inayoonekana wazi kwa kila mtu, ni challenge kwa waliopo iwe serikalini au bungeni au Mahakamani kuifikia baada ya kifo chake
Matarajio ya wananchi ni kuwa spidi itakuwa kubwa kuliko ile au itabaki ile ile.
Sasa hivi Marehemu anapondwa sana kuwa ohh alikuwa dikteta mara ohh alikuwa fisadi mara ohh staili yake haifai
Hakuna shida; cha msingi wananchi wanataka mambo yaende. Tukaneni matusi yote ila mwisho wa siku wananchi watalinganisha output yenu watukanaji na ya Magufuli kwenye kugusa maisha ya wananchi wanyonge
Marehemu Magufuli kila kona anakuwa attacked siyo kesi ila mambo yaende yasipoenda wananchi watawazomea kila kona Kila mtakakopita wadhalilisha Magufuli. Mtazomewa na kuambiwa Magufuli angekuwa hai hili lingefanyika na watawazomea.
Msoga wamejiandaa kweli. Na fikra zangu juu ya hotuba ya mzee wa msoga pale Chato siku ya mazishi ya Hayati JPM kwamba hakua anamchukia zinazidi kuwa karibu na ukweli. Najua PM atakua analia kwa yanayoendelea na naamini ana siku chache ofisini. Hata hivyo, wawe makini, watanzania wanaona na wanajua yanayoendelea.
Tulia na UMATAGA wako, speed kubwa ya Mwendazake ilikuwa ni katika kuleta hasara, hakuna mradi wowote uliofanikiwa chini yake. Tumwache mama afanye kazi tusimpangie cha kufanya.Spidi aliyokuwa nayo Marehemu Magufuli ya kufanya mambo yaende na kufanyika kwa kasi inayoonekana wazi kwa kila mtu, ni challenge kwa waliopo iwe serikalini au bungeni au Mahakamani kuifikia baada ya kifo chake