Hayati Magufuli anashambuliwa kila kona. Siyo kesi, ila mambo yaende; yasipoenda wananchi watawazomea kila kona

Hayati Magufuli anashambuliwa kila kona. Siyo kesi, ila mambo yaende; yasipoenda wananchi watawazomea kila kona

Ametuachia deni la Trillioni 18 katika kipindi chake cha miaka 5 tu. Hili pia linapaswa lilipwe.
Mbona alikuwa anasema kuwa miradi hiyo inafanywa kwa pesa za ndani??,Na kwamba nchi Ina pesa mingi?.
 
Yuko mtu anadanganywa na kadanganyika. Anafikiri hii nchi ikikwama watakao jibu ni wanao mdanganya. Kumbe watakuwa pembeni wakicheka na kutabasamu.

Hajui kwamba kajichafua na kuchafua anaofanya nao kazi. Sijui kazi atafanya na nani sasa? Unachafua mpaka Jeshi na vyombo vya Usalama kuwa havi kufanyakazi yake kikamilifu wakati ndio mbereko inayo kubeba kila uchao.
Ni ujinga kunyamazia uchafu wa vyombo vya usalama ukitegemea mbeleko yao. Jeshi kubwa na imara kushinda majeshi yote ni Umma
 
Hajaacha deni tu acha uongo.kaacha vitu vilivyotumia hiyo pesa pia.Eti kaacha deni utafikiri hizo pesa alikopa akaenda kuweka pesa kwenye akaunti yake uswisi.Lugha ya ki layman utafikiri mtu hata shule hukwenda. Hiyo miradi kila mkoa na wilaya huioni au ? Elimu bure huioni au ? umeme kila kijiji huuoni au? barabara kila kona huoni au? vituo vya afya kote nchini huoni au nk

Kipindi chake nchi ilikuwa inakopesheka na madeni yalikuwa yanalipika bila shida.Wakopeshaji walituamini

Twende sasa ni challenge kwa serikali iliyopo itamudu kukopesheka na kulipa madeni na kuendesha miradi nchi nzima kama Magufuli alivyomudu? muda ni mwalimu mzui.let us wait and see tuone matusi kwa Magufuli kama yana mantiki
Asante Mkuu kwa kuongea kisomi.
 
Mama ana roho ya ubinadamu,mambo mengi maovu yaliyofanyika chini ya mwendazake yanafichuka,kutokana na ripoti ya CAG.
Mwendazake alikuwa anapambana kuwamaliza wapinzani,wawekezaji huku kukiwa na mianya lukuki ya upotevu wa fedha za umma
Muda si mrefu mtaanza kumponda huyu mama kwamba hajafanya lolote.Yangu macho na masikio.
 
Mwenda zake alikuwa hapendwi ndio maana kampeni zake alifanya mchana tofauti ilivyozoeleka ili watumishi wa umma na wanafunzi wakajaze uwanja na Mataga wakasombwe kutoka mbali ...Mama shika hapo hapo mpaka wataelewa ...
Nitakufuatilia post zako Hadi 2025,km haujaanza kumponda na huyu mama naye.Maana hakuna watu wanafiki duniani km Wabongo.
 
Wa
Spidi aliyokuwa nayo Marehemu Magufuli ya kufanya mambo yaende na kufanyika kwa kasi inayoonekana wazi kwa kila mtu, ni challenge kwa waliopo iwe serikalini au bungeni au Mahakamani kuifikia baada ya kifo chake

Matarajio ya wananchi ni kuwa spidi itakuwa kubwa kuliko ile au itabaki ile ile.

Sasa hivi Marehemu anapondwa sana kuwa ohh alikuwa dikteta mara ohh alikuwa fisadi mara ohh staili yake haifai

Hakuna shida; cha msingi wananchi wanataka mambo yaende. Tukaneni matusi yote ila mwisho wa siku wananchi watalinganisha output yenu watukanaji na ya Magufuli kwenye kugusa maisha ya wananchi wanyonge

Marehemu Magufuli kila kona anakuwa attacked siyo kesi ila mambo yaende yasipoenda wananchi watawazomea kila kona Kila mtakakopita wadhalilisha Magufuli. Mtazomewa na kuambiwa Magufuli angekuwa hai hili lingefanyika na watawazomea.
Wananchi wanataka ajira, hicho tu. Tunapaswa turudi enzi za kikwete ambapo ukiwa chuoni ajira zinakufata hukohuko. Yaani jpm miradi yake hewa iligharimu ajira na zilitoweka kabisa hasa madaktari ambao wanabrush viatu tu mtaani
 
Naona kuna Genge linapambana kutusaulisha mazuri ya Hayati Magufuli ni suala la Muda tuuuu
 
View attachment 1747010

Mmesikia serikali ya wanyonge? Serikali takatifu ya shujaa wa Afrika, tuliyeambiwa amefuta ufisadi? Ngoja nikutajie machache;
Ujenzi wa SGR umesababisha hasara ya 3.5Bil kwa kuajiri wafanyakazi wa kigeni wasiokua na vibali.

Kigwangala alitumia 172M kuandaa Kili challenge lakini pesa hizo hazijulikani zilitumikaje (hazina risiti).

Akaunti ya jeshi la zimamoto ilitumika kupitisha 261M. Yani watu walipiga "mchongo" wakakosa akaunti ya kupitishia, wakatumia akaunti ya zimamoto. Zilipoingia wakazitoa wakasepa. Just imagine watu wana ujasiri wa kupitisha pesa chafu kwenye akaunti ya jeshi? Halafu tunaambiwa mwendazake alinyoosha nchi.
Wasafi walipewa 140M, TBC 201M na Clouds 629M kutangaza tamasha la Urithi Festival. Lakini hakuna mkataba wala risiti yoyote ya kujustify malipo hayo.
18Bil zilizokusanywa ktk wilaya 135 hazikufika serikalini. Yani zilikusanywa lakini wajanja wakalala nazo mbele.

3.9Bil zilitolewa kukarabati ndege ya ATCL iliyopaki tangu mwaka 2015, lakini hela imeliwa na ndege haijakarabatibwa. Yani watu walitafuna milioni 3,900 halafu hawakupaka hata rangi.Hayo ni baadhi tu ya "madudu" ya serikali takatifu ya mwendazake. Sijaongelea HESLB, TANAPA, TANROADS, SGR, Stligler's gorge, Stand ya Magufuli. Huko kuna madudu ya kutisha.

Lakini tuliaminishwa serikali ya mwendazake haikua na doa. Watu waliokosoa waliitwa vibaraka. Serikali takatifu haikutaka kunyooshewa kidole.
Tujifunze kutofautisha mtu msafi na anayeficha uchafu. Mwendazake hakua msafi bali alijua kuficha uchafu. Ndio maana akaminya uhuru wa habari. Hatukusikia skendo kama za Escrow tukadhani serikali yake ni safi, kumbe kuna skendo kubwa zaidi ya Escrow lakini zimefichwa uvunguni.Ndio maana nasema afadhali JK aliruhusu media ziwe huru. Skendo za Richmond, EPA, Escrow aliacha wananchi wajue. Lakini mwendazake alifunika skendo zisifike kwa wananchi.

Ndio maana watu wamemtania CAG atoe pia ripoti aliyopanga kumpa mwendazake, maana angekua hai asingethubutu kusema ATCL imepata hasara ya mabilioni, au SGR imeleta hasara, au mradi wa Stigler's umejaa madudu. Angeficha kwa sababu ndivyo mwendazake alivyopenda.

Tunahitaji viongozi wasafi, sio wanaojua kuficha uchafu.!

By Malisa Godlisten
YEHODAYA
Em njoo huku utujibie hizi hoja, moja baada ya ingine tafadhali
 
Magufuli alikua fisadi papa!!
Toka tupate uhuru tulizoea kuona mafisadi yakikwapua pesa na kupeleka benki za Uswisi nk na kujenga empire zao binafsi za mali

Fisadi papa Magufuli ndie fisadi a kibaka pekee aliyekuwa akikapua pesa na kuwapelekea wananchi wanyonge waluo wengi mbio kwa kuwapelekea miradi ya maendeleo.na ya jamii kibao nchi nxims kwa spidi ya mwewe.

La kafa mapema wanyonge wangekuwa mbali

Sasa hivi hakuna tena mkwapuaji fisadi kwa ajili ya wanyonge walio wengi

Wanyonge walio wengi kwa sasa hawana fisadi wa kuwakwapulia hela na kuwapelekea tena .Daah inauma.Tusubiri labda atatokea
 
Unajua miradi aliyofanya Nyerere? Unajua miradi aliyofanya Kikwete? Huyo Dikteta/FIsadi Wenu haifikii hata angepewa miaka 20 Tena.

Mtu ameongoza miaka mi5 lakini amekopa fedha za hatari mara mbili ya kikwete halafu huku anatudanganya tunajenga kwa fedha zetu wenyewe tutembee kifua mberee sisi matajiri.

Miradi aliyokuwa anafanya JIWE mingi ya kupiga 10% tu na kampuni zake za MAYANGA na Sub contractors wake.
 
Toka tupate uhuru tulizoea kuona mafisadi yakikwapua pesa na kupeleka benki za Uswisi nk na kujenga empire zao binafsi za mali

Fisadi papa Magufuli ndie fisadi a kibaka pekee aliyekuwa akikapua pesa na kuwapelekea wananchi wanyonge
Hujasikia alikuwa anakwapua anapeleka kuhifadhi CHiNA?
 
Spidi aliyokuwa nayo Marehemu Magufuli ya kufanya mambo yaende na kufanyika kwa kasi inayoonekana wazi kwa kila mtu, ni challenge kwa waliopo iwe serikalini au bungeni au Mahakamani kuifikia baada ya kifo chake

Matarajio ya wananchi ni kuwa spidi itakuwa kubwa kuliko ile au itabaki ile ile.

Sasa hivi Marehemu anapondwa sana kuwa ohh alikuwa dikteta mara ohh alikuwa fisadi mara ohh staili yake haifai

Hakuna shida; cha msingi wananchi wanataka mambo yaende. Tukaneni matusi yote ila mwisho wa siku wananchi watalinganisha output yenu watukanaji na ya Magufuli kwenye kugusa maisha ya wananchi wanyonge

Marehemu Magufuli kila kona anakuwa attacked siyo kesi ila mambo yaende yasipoenda wananchi watawazomea kila kona Kila mtakakopita wadhalilisha Magufuli. Mtazomewa na kuambiwa Magufuli angekuwa hai hili lingefanyika na watawazomea.
Unamuongelea hyu shetani wa chato aliekufa??
 
Akija kushtuka miaka minne imepita kilichofanyika ni kumpaka matope Hayati.
Huyo hayati wako alijivika umungu mtu, alihisi baada ya mungu anafuata yeye, Mungu wa kweli kapita na kipara chake sasa hvi mafunza yanasherehekea. [emoji12] [emoji12]
 
Spidi aliyokuwa nayo Marehemu Magufuli ya kufanya mambo yaende na kufanyika kwa kasi inayoonekana wazi kwa kila mtu, ni challenge kwa waliopo iwe serikalini au bungeni au Mahakamani kuifikia baada ya kifo chake

Matarajio ya wananchi ni kuwa spidi itakuwa kubwa kuliko ile au itabaki ile ile.

Sasa hivi Marehemu anapondwa sana kuwa ohh alikuwa dikteta mara ohh alikuwa fisadi mara ohh staili yake haifai

Hakuna shida; cha msingi wananchi wanataka mambo yaende. Tukaneni matusi yote ila mwisho wa siku wananchi watalinganisha output yenu watukanaji na ya Magufuli kwenye kugusa maisha ya wananchi wanyonge

Marehemu Magufuli kila kona anakuwa attacked siyo kesi ila mambo yaende yasipoenda wananchi watawazomea kila kona Kila mtakakopita wadhalilisha Magufuli. Mtazomewa na kuambiwa Magufuli angekuwa hai hili lingefanyika na watawazomea.
Mambo gani au kila siku kutembea na tv ndio mambo yenyewe
 
Msoga wamejiandaa kweli. Na fikra zangu juu ya hotuba ya mzee wa msoga pale Chato siku ya mazishi ya Hayati JPM kwamba hakua anamchukia zinazidi kuwa karibu na ukweli. Najua PM atakua analia kwa yanayoendelea na naamini ana siku chache ofisini. Hata hivyo, wawe makini, watanzania wanaona na wanajua yanayoendelea.

Sahihi sana!
 
Spidi aliyokuwa nayo Marehemu Magufuli ya kufanya mambo yaende na kufanyika kwa kasi inayoonekana wazi kwa kila mtu, ni challenge kwa waliopo iwe serikalini au bungeni au Mahakamani kuifikia baada ya kifo chake

Matarajio ya wananchi ni kuwa spidi itakuwa kubwa kuliko ile au itabaki ile ile.

Sasa hivi Marehemu anapondwa sana kuwa ohh alikuwa dikteta mara ohh alikuwa fisadi mara ohh staili yake haifai

Hakuna shida; cha msingi wananchi wanataka mambo yaende. Tukaneni matusi yote ila mwisho wa siku wananchi watalinganisha output yenu watukanaji na ya Magufuli kwenye kugusa maisha ya wananchi wanyonge

Marehemu Magufuli kila kona anakuwa attacked siyo kesi ila mambo yaende yasipoenda wananchi watawazomea kila kona Kila mtakakopita wadhalilisha Magufuli. Mtazomewa na kuambiwa Magufuli angekuwa hai hili lingefanyika na watawazomea.
Tulia na UMATAGA wako, speed kubwa ya Mwendazake ilikuwa ni katika kuleta hasara, hakuna mradi wowote uliofanikiwa chini yake. Tumwache mama afanye kazi tusimpangie cha kufanya.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom